Gold Mining equipments and Trade

Mseriandy

Member
Mar 27, 2011
35
6
Mimi ni Mtanzania.

Nina mawasiliano na wawekezaji kutoka Nje ya Nchi.

Wanataka kuleta modern mining equipments na pia kununua gold.

Natafuta wachimba madini wadogo wadogo au makampuni ya wazawa yanayochimba madini.

Nitawaunganisha na wawekezaji hao ili iwe win win situation. Wao walete vifaa vya kisasa vya kuchimba dhahabu na pia watanunua dhahabu.

Naomba address zao na contact people.
 
Mkuu wanaleta vifaa vya aina gani? make mitambo ya uhakika ya kuweza kuchimbua dhahabu ni kama ile ya wakina Barick, je wanaleta ya aina hiyo?

Pls ni vizuri uweke hapa aina ya mitambo/vifaa ambavyo wako tiyali kuvileta
 
Mimi ni Mtanzania.

Nina mawasiliano na wawekezaji kutoka Nje ya Nchi.

Wanataka kuleta modern mining equipments na pia kununua gold.

Natafuta wachimba madini wadogo wadogo au makampuni ya wazawa yanayochimba madini.

Nitawaunganisha na wawekezaji hao ili iwe win win situation. Wao walete vifaa vya kisasa vya kuchimba dhahabu na pia watanunua dhahabu.

Naomba address zao na contact people.
Ni pm namba yako ya kiganjani tafadhali
 
Back
Top Bottom