Going to the USA.

Resi

Member
Aug 29, 2007
73
17
hello, guys.
i have a friend, who has a son. the son did his 'a' levels this year, and could'nt qualify for university, which is what his dad desired, for obvious reasons. so the dad told the boy to re-sit the exam. he did, but on observation, he was only half-hearted about it. now the boy has come up with a project on 'Youth Conference on HIV/AIDS Prevention & the Elimination of Child Labour' to be held...you guessed it, the USA! His paper has been accepted by the organisers there. presentation is december, 2008. the only nub is: the organisers will foot the bill for visa fees, plane ticket, etc, except upkeep-food, accomodation, etc and passport application charges, in his native country - somewhere in africa. dad does not want him to go untill his results come out, and for fear he might 'zamia' over there. i agree with dad, 'cause in effect the boy is still 'o' level; at the moment we have forbidden the boy to go anywhere mpaka kieleweke kuhusu status yake ya 'a' level na kuingia university. my issue is: are we being unfair to the boy?? sh'd we let him go?? what are the risks?? JF Members, please advise.
 
You meant to say A-level I think?

.
 
Mimi nawashauri sana mufuatilie kwa makini sana kwani mimi na wasiwasi hao nimatapeli kwani nimeshakutana na watu wengi wakiongelea mambo hayo.

Kama nihao watawaambieni mtume namba ya Passport ili waanze kushughulikia. Pia watawapa option kua kunanyingine sijui itafanyika Italy. Mtaenda nao kisha wataambia mtume fedha kidoga kama $100 sijui za nini
 
Mimi nakubaliana na Tukufu hapo juu. Huu ni utapeli tu. Nami nimeshawahi sikia habari kama hizi ila details tu ndio zimebadilika. Huyo jamaa aliyewasiliana na mimi alidai kwamba amechaguliwa kushiriki kwenye Youth League event moja Marekani ila anahitaji financial support kwajili ya upkeep yake, malazi etc. Mimi nikashtuka maana najua hakuna sponsor ambaye anaweza kuwapeleka minors Marekani ama nchi yeyote iliyoendelea bila ya ku guarantee malazi na chakula maana those are basic needs. Kwa hivyo, maswala kama haya (ya kizushi, uongo na kitapeli) mi naomba msitusumbue hapa JF. Tujadili mambo yenye vichwa tu. Sijui wenzangu mnasemaje?
 
asingeuliza jamani si angeingia mkenge? ni vema ameuliza hapa jamvini na kapata ukweli. Haukuwa usumbufu.
 
mama Subi na Tukufu
Hao jamaa ni matapeli mimi nilikutana nao 2005 na bahati nzuri nilikuwa na mtu ubalozi wa US DAR Niliemuliiza kuhusu hao jamaa ndio aliyenishtua. watakuambi ufanye NI WAZUSHI.

Lakini pia mimi sikuona mantiki ya huyo bwana kuleta habari hii hapa maana yy sio mzazi wa huyo kijana, maaana its a family matter, kwa nini anaweka wazi siri za watu???????
 
Bowbow, hizi siri siri ndizo zinazoumiza watu na taifa letu. Openness imesaidia sana kufichua maovu katika jamii tunazoziona zimeendelea. Kitu kidogo kama hicho kuwekwa hapa kwa lengo la kutaka nasaba si kitu cha kusema kiko so sacred na ni vyema kibakie kwenye enclosures za familia tu. Ona sasa mambo yaliyojitokeza baada ya huyo mtu kuuliza... asingechukua uamzi huo si yawezekana angeingia mkenge? Wewe pia usingeuliza mtu ambaye yupo pale ubalozi, ambaye yawezekana akawa wala siyo mwanafamilia, si ungejikuta unaingia mkenge?.... Tusiogope na kujifichaficha sana. Let's increase the degree of openness, perhaps we might change one or two things for better in our communities.

SteveD.
 
Mimi nakubaliana na Tukufu hapo juu. Huu ni utapeli tu. Nami nimeshawahi sikia habari kama hizi ila details tu ndio zimebadilika. Huyo jamaa aliyewasiliana na mimi alidai kwamba amechaguliwa kushiriki kwenye Youth League event moja Marekani ila anahitaji financial support kwajili ya upkeep yake, malazi etc. Mimi nikashtuka maana najua hakuna sponsor ambaye anaweza kuwapeleka minors Marekani ama nchi yeyote iliyoendelea bila ya ku guarantee malazi na chakula maana those are basic needs. Kwa hivyo, maswala kama haya (ya kizushi, uongo na kitapeli) mi naomba msitusumbue hapa JF. Tujadili mambo yenye vichwa tu. Sijui wenzangu mnasemaje?

Mama Subi niko nawe pamoja. Yaani aliyepost hii thread ajitahidi kuwasiliana na huyo friend wake na amkataze asijiingize katika issue hii. Hii ndo inaitwa the highest degree of utapeli. Hawa matapeli wanatumia kila njia and very tricky unaweza kuamini kuwa ni kweli.

Ninachofahamu ni kuwa kama kuna events kama hizo kwa Youth mara nyingi zinapitia kwa Seriikali au taasisi nyingine ambazo zinahusika na theme husika. Na pia minors huwa wanakuwa full funded i.e empowered and sponsored by the organisers or their governments/institutions full.

At the same time, nina wasiwasi kuwa ati huyo kijana ameweza kuandika a paper ambayo inapitia critically na panel na kuipitisha. Samahani hapa sina ubaya au kuona kuwa hawezi but I know as of my experience ya International presentations and my skills. Si kirahisi tuonavyo!!!! So ujue hakuna hata panel iliyosoma paper yake na utakuta ni wengi wamekuwa aproached with the same theme na wataambiwa they have the best papers so are invited to the Conference subjet to whatever conditions kama walizompa huyo kijana.

Anyway, those are my views. All the best kijana.
 
mama Subi na Tukufu
Hao jamaa ni matapeli mimi nilikutana nao 2005 na bahati nzuri nilikuwa na mtu ubalozi wa US DAR Niliemuliiza kuhusu hao jamaa ndio aliyenishtua. watakuambi ufanye NI WAZUSHI.

Lakini pia mimi sikuona mantiki ya huyo bwana kuleta habari hii hapa maana yy sio mzazi wa huyo kijana, maaana its a family matter, kwa nini anaweka wazi siri za watu???????

Mama Subi,,, kwani ni lazima niseme mimi nimepata mwaliko ila nadaiwa nipeleke hiki na hiki! Inawezekana ni yeye, mdogo wake hata mwanaye. Alitaka kujua tu hii issue inakuwaje.
Unajua wazazi wengi wanafurahia tu mwanae anapochaguliwa au kupata chance ya kwenda nje ya nchi bila kutambua mazila yatakayowakuta.
Nawashauri watu wenye wasiwasi na mialiko waulize kama huyu mwana JF
 
Back
Top Bottom