Going to Kingolwira Fish Farm

newmzalendo

JF-Expert Member
Mar 23, 2009
1,378
550
i am Going to Kingolwira Fish Farm on Satarday 30 April.
Nimefanikiwa kuchimba bwawa la samaki .nahitaji contacts details za wahusika wa Kingolwira fish farm.
kwa member aliyewahi kufika ktk hiki kitengo please give some advice
i will be driving there kama kuna member with intrest to come along please let me know.(Jamii Farm Unit)

nawakilisha
 
Hongera mkuu,

Jaribu kuwasiliana na Mr. Kalinga, 0713 577052
Ningelipenda kuja na wewe kesho lakini ratiba imebana kidogo. If you do'nt mind nitapenda kuja kuona na kujifunza zaidi kutoka kwako hapo mbeleni.
 
mkuu.... NM

kwanza hongera

umechimba bwawa maeneo gani..(yaani geographical location).....?.... na unategemea kufuga samaki wa aina gani ...maji baridi au...? samaki wa kitoweo au ornamental fish..?
 
Asanteni sana,kwa contacts details,and Malila nashukur sana kwa ushauri,
nimechimba bwawa kigamboni eneo linaitwa Mwanzo Mgumu B,somangira. bwawa lina ukubwa wa mita 29 by 10.natarajia kufuga samaki wa kwanza 600 kwani hesabu za wataalam ni samki 2 kwa square meter moja
katika jitihada zangu Jana nilienda manispaa ya Temeke,sikufanikiwa kupata namba ya kingolwira,nimeuliza zaidi ya maofisa watano,nikaenda kwa assistant wa mkuu wa kituo hicho,pia naye hana ,sikuvunjika moyo nikapiga safari mpaka wizara ya kilimo na uvuvi,nikaenda kitengo cha samaki,hapo nikapata ushirikiano mzuri sana,na kwa bahati chief wao mmoja alinipa hadi namba za Mr.Kalinga na kunipa mtu wa kuwa ananisaidia tecknical support( Nicholas Mlalila)

nimeongea na Mr.Kalinga ameshauri niende wiki ya pili ya mwezi may.

nitatoa updates siku zikikaribia
 
Hujataja aina ya samaki utakaoanza nao, kwa idadi hiyo lazima ni Sato(tilapia) kwa sababu mziki wa African catfish ni mnene kidogo. Good trial. Sato wanazaliana sana mkuu, na kama utachukua majike na madume, ndani ya miezi minne utakuwa na utitiri wa samaki, ili ufanye vizuri, waambie wakuandalie clarias( african cat fish kwa ratio) ili kubalance idadi ktk bwawa lako.
 
asante kwa Ushauri,ninatarajia kupanda sato,kwani ndani ya miezi sita inabidi uvune na kuanza upya,-according to wataalam-
nitazingatia swala la kuweka Cat Fish
 
nimepata safari ya kyela,nitakaporudi DAR nitaenda.nitawapa updates 3 days before going
 
Newmzalendo mambo vp naomba feedback ya project yako ya ufugaji wa samaki,niko impressed sn nataka unisaidie ABCD zake
 
im interested to know the outcome of the project, mtoa mada kokote uliko njoo utupe updates
 
nimepata safari ya kyela,nitakaporudi DAR nitaenda.nitawapa updates 3 days before going
Mkuu mbona umeukimbia huu uzi??? Vipi feedback ya mradi wako wa ufugji samaki??

Tunaomba mbili tatu ili na sie tujitose kwenye guo mradi.........
 
NewMzalendo,

Kumbuka una deni hapa Jamvini la kuweka Feedback ya project yako.Fanya hivyo kusaidia Members wanaofatilia uzi huu.
 
Hongera mkuu,

Jaribu kuwasiliana na Mr. Kalinga, 0713 577052
Ningelipenda kuja na wewe kesho lakini ratiba imebana kidogo. If you do'nt mind nitapenda kuja kuona na kujifunza zaidi kutoka kwako hapo mbeleni.

Imepita miezi sasa tangu uende pale Kigolowira,, je ulipata mafanikio ya safari yako???? 0785867847
 
Back
Top Bottom