Godoro gani ni zuri?

project planner

JF-Expert Member
Jul 8, 2019
1,166
1,532
Wakuu naomba msaada natafuta godoro zuri 5*6 inch 10 ambalo litadumu miaka mingi nishachoka kununua godoro ya inch 6 Kila baada ya mwaka nanunua jingine naomba msaada kampuni nzuri godoro la kudumu angalau Miaka 5 bajeti yangu ni 300k mpaka 350k
 
Hiyo bajeti nunua Super banco Nchi 12 halibonyei utapata kuanzia 300k na Kama upo vzr nenda keko kiwandani Kama upo DSM
 
Kuna MTU kuniambia vita supreme ni zuri zaidi ya tanfoam wala qfl je kuna ukweli kuhusu Hilo ? Kwa waliowahi kutumia
 
Wakuu naomba msaada natafuta godoro zuri 5*6 inch 10 ambalo litadumu miaka mingi nishachoka kununua godoro ya inch 6 Kila baada ya mwaka nanunua jingine naomba msaada kampuni nzuri godoro la kudumu angalau Miaka 5 bajeti yangu ni 300k mpaka 350k
Mkuu upo wapi?
 
Hio bajeti ni ya inch12 sio 10
Upo wapi. Mkuu?
 
Tanfoam ndo kila kitu ni wewe na mfuko wako.

Nb mkuu kila mwaka unanunua godoro? Kwa kazi ipi mnalolifanyia jamani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom