Dam55
JF-Expert Member
- Oct 8, 2015
- 5,592
- 11,831
Huo ndio ukweli, usishangae kesho ukasikia mwingine kakimbilia ubalozi wa marekani Zambia.Nadhani wamekaa na kukubaliana kuwa hii iwe strategy mpya ya kuharibu image ya nchi baada ya kuukosa ubunge.
Wanajua wakiwa wabunge wanakuwa na Parliamentary Immunity, so wanaweza ongea lolote wakiwa ndani ya bunge.
Kwakua sasa hawana hiyo the ONLY cover ni kuwa wakimbizi wa kisiasa huko watazungumza lolote wakiwa uhamishoni.
Wapinzani ni watu hatari Sana kwa Ustawi wa Taifa letu, ni wabinafsi kupindukia,
Tutaendelea kusikia Taarifa kama hizi toka kwa wengine.