Godbless Lema akamatwa Kajiado akitorokea Kenya yeye na familia yake. Kurudishwa nchini kesho Novemba 9, 2020

Lema ana madhara gani wajameni.?
~hana bunduki
~hana jeshi
~hata jiwe hana

au mdomo wake umekuwa kifaru?
Hivi una amini kweli anataka kuuwawa? Kwa threat ipi aliyonayo kwenye taifa hili. Drama tu hizo...
 
Kwani si ilitolewa amri ya kuandamana mbona hukutoka kwenda kuandamana, huoni hapo kuwa wewe ndio mnafiki namba moja kwa hao viongozi?
You're right

20201107_150129.jpg
 
It's now confirmed, Kenya is our second home. Expect us in numbers; be it in transit or on long term stay
 
I hope this is fake news....

Otherwise, nini kinaendelea hapa Tanzania?

Waulize kina ngoooosha wenzako
 
Aiseee sio kwa povu hili
Nyie ndio mashetani duniani

Lissu aliposema anafautwa na watu wasio na nia nzuri mkasema anaigiza

Mpaka akapigwa risasi mchana kweupe, amepata ulemavu wa kudumu na akanyimwa haki zake zote kama mbunge kwa makusudi na hadi leo hakuna mrejesho wa hao watu waliotaka kumuua.

Ukiandika fikiri, sio unaruhusu bakuli lako kubwabwaja kama choo.
 
Vile vivuli walivyohangaika usiku na mchana ili kuvichonga kwa midomo ya siasa ya ujeuri, unafiki, kiburi na kupinga kila kitu majukwaani na mbele ya vyombo vya habari sasa ndivyo vinawaandama, havitaki kuwaacha kabisa.
Ujinga mtupu mkuu, huyu Lema si ndio yule aliye ota Kisha akaita waandishi wa habari kuwa ameota Rais atakufa kabla ya 2020.
Kama hakufuatwa kuuawa kipindi kile ndo aje awindwe kuuawa leo?
 
Naanza kuamini,afrika organ muhim za nchi ,ndo zinaharibu taswila za nchi zao,
Hii ni shida juu ya shida, nimefunga siku kumi nne, lakini sielewi mbona mungu Kama kweli u mkweli uniambii lazida japo ulisema nitafute mti mrefu kuliko yote tz nami sio mtafasili Sana wa maandiko nimejitahidi nimeuliza sipati jibu mpaka mda huu, mti mrefu ni upi? Wana wa mungu,
Ok mungu pitia kwa viumbe vyako ulivyovileta Tanzania naomba nijulishwe mti mrefu kuliko yote Tanzania nini maana yake
Huo mti mrefu kuliko yote Tanzania ni Dkt. Magufuli. Njoo chini ya mti huo tulijenge taifa letu.
 
Nadhani wamekaa na kukubaliana kuwa hii iwe strategy mpya ya kuharibu image ya nchi baada ya kuukosa ubunge.

Wanajua wakiwa wabunge wanakuwa na Parliamentary Immunity, so wanaweza ongea lolote wakiwa ndani ya bunge.

Kwakua sasa hawana hiyo the ONLY cover ni kuwa wakimbizi wa kisiasa huko watazungumza lolote wakiwa uhamishoni.

Wapinzani ni watu hatari Sana kwa Ustawi wa Taifa letu, ni wabinafsi kupindukia,

Tutaendelea kusikia Taarifa kama hizi toka kwa wengine.
 
Stunt

Lema hakuuawa alipokuwa mbunge leo sio mbunge kabakiwa na suruali nani anataka kumuua?

Lema ni threat kwa nani??

Kama personal issue alikabili tu
Unauliza Lema Godless ni threat kwa nani? Kama upo kwa shemeji yako au una maslahi na watawala hawa wa mabavu hutoshangaa kuhusu hilo. . ila amini kwamba dikteta anawaogopa watu aina ya Lema kuliko huyo mumeo anavyoogopa kufukuzwa kazi kwa kumteta vibaya Nduli.
 
Nadhani wamekaa na kukubaliana kuwa hii iwe strategy mpya ya kuharibu image ya nchi baada ya kuukosa ubunge.

Wanajua wakiwa wabunge wanakuwa na Parliamentary Immunity, so wanaweza ongea lolote wakiwa ndani ya bunge.

Kwakua sasa hawana hiyo the ONLY cover ni kuwa wakimbizi wa kisiasa huko watazungumza lolote wakiwa uhamishoni.

Wapinzani ni watu hatari Sana kwa Ustawi wa Taifa letu, ni wabinafsi kupindukia,

Tutaendelea kusikia Taarifa kama hizi toka kwa wengine.
Mkuu stroke, kitu gani ambacho unaamini ni kizuri kutoka kwa wapinzani wa nchi hii hasa CHADEMA? Hata kitu kimoja, au hoja moja waliyowahi kuileta au kuianzisha au kuiongelea katika nchi hii.
 
Nadhani wamekaa na kukubaliana kuwa hii iwe strategy mpya ya kuharibu image ya nchi baada ya kuukosa ubunge.

Wanajua wakiwa wabunge wanakuwa na Parliamentary Immunity, so wanaweza ongea lolote wakiwa ndani ya bunge.

Kwakua sasa hawana hiyo the ONLY cover ni kuwa wakimbizi wa kisiasa huko watazungumza lolote wakiwa uhamishoni.

Wapinzani ni watu hatari Sana kwa Ustawi wa Taifa letu, ni wabinafsi kupindukia,

Tutaendelea kusikia Taarifa kama hizi toka kwa wengine.
Tundu Lissu alishambuliwa kwa risasi akiwa na hiyo parliamentary immunity. Kuna uchunguzi wowote ulifanyika?
 
Back
Top Bottom