Elections 2010 Godbless lema achangisha 21ml

never

JF-Expert Member
Apr 4, 2011
240
77
Mbunge wa jimbo la Arusha mjini kamanda Lema siku ya leo amechangisha zaidi ya sh 21 ml, kwaajili ya ukarabati wa shule za jiji hilo, huku yeye kama yeye akitoa kiasi cha sh ml 1.8.

Akitoa shukrani hizo kwa wakazi wa arusha alisema: Arusha yetu tutaijenge wenyewe, tupunguze kula mirungi , bia na hanasa zisizo za lazima tushirikiane kwenye mambo ya kijamii, ili Arusha iwe mfano wa kuigwa.Tunajua watawala roho zinawaumwa kuukosa huu mji, ila msijali sinto waangusha endeleeni kunipa ushirikiano Arusha itaenda mbali sana kiuchumi, thnx guyz mungu awabariki sana
 
Hongera sana Mh Lema.
Watakuwa wanakusikia tu kwenye bomba wanassm. Hawajui Arusha wanakupenda mwana wa kwao? Wenye uchungu na nchi yetu tutakuwa nyuma yako kukusaidia.
Kila la kheri
 
lema anatumia mirungi?mbona kasema tuache kula milungi badala ya kusema acheni kula milungi,achunguzwe
 
Mbunge wa jimbo la Arusha mjini kamanda Lema siku ya leo amechangisha zaidi ya sh 21 ml, kwaajili ya ukarabati wa shule za jiji hilo, huku yeye kama yeye akitoa kiasi cha sh ml 1.8.
huku yeye akitoa .......

Akitoa shukrani hizo kwa wakazi wa arusha alisema: Arusha yetu tutaijenge wenyewe, tupunguze kula mirungi , bia na hanasa zisizo za lazima tushirikiane kwenye mambo ya kijamii, ili Arusha iwe mfano wa kuigwa.Tunajua watawala roho zinawaumwa kuukosa huu mji, ila msijali sinto waangusha endeleeni kunipa ushirikiano Arusha itaenda mbali sana kiuchumi, thnx guyz mungu awabariki sana

ame malizia vyema sana,ila wewe ndo ume mkosea Mungu heshima,...capitalize the name.
Big up sana wana wa Arusha
 
That's good,Mungu ibariki Tanzania,Mungu wabariki na watu wake,pia Mungu kibariki chama cha Chadema
 
hv lema kwanini ulimjia juu zito kwenye kikao chakamati kuu ukitetea chama kinunue magari mabov toka india wakat zito alitetea ushaur wa mzee baregu?hop unachembe zakifisadi toka kijiji cha kilema kule juu.
 
we tulia umejiunga juz af pumba ndo nying!
hv lema kwanini ulimjia juu zito kwenye kikao chakamati kuu ukitetea chama kinunue magari mabov toka india wakat zito alitetea ushaur wa mzee baregu?hop unachembe zakifisadi toka kijiji cha kilema kule juu.
 
uelewa mdogo,tofautisheni mtu anaeteuliwa na mtu mmoja,na anaeteuliwa na watu zaidi ya malaki.mr smile anaweza mteua shemeji yake kwenye ngazi yoyote bila kuulizwa na yeyote,kama alivyo mpa ubunge mama mkwe wake.kumbuka uteuzi wa wakuu wa mikoa ni uoga wa viongozi walioko madarakani,angalia vyeo vya wastaafu wa jeshi alafu fanya tafakuri unaweza pata jibu.lema ni chaguo la wana wa arusha ,wapenda maendeleo sio wala gomba na wale wepesi wakungwa kanga na kofia,angalia tofauti kati ya people power na hao vilaza wa kujivua gamba ,kama hukupata jibu basi endelea na taksima yako.kamanda lema anasonga mbele na anaweza kiukweli.big up lema,tunaokusapoti tupo wengi kuliko hao mashabiki wakujivua gamba.
 
ni heri kuendelea kuchangishana wenyewe kuliko kukaa kuwasubiri wezi wa taifa hili kuja kutuendeleza, LEMA BIG UP
 
Back
Top Bottom