Highlander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 3,093
- 1,075
Sikubali waafrika tuna uwezo mdogo wa kufikiri.
Uchunguzi wa muda mrefu wa sisi tulivyo ambao mimi
nakaubaliana nao ni huu hapa:
Hatua tatu za mtu kukua kisaikolojia ni kuzaliwa na
Id, tamaa zisizowaza wengine za kitoto,
ego, tamaa ya kujiona wewe kwanza japo unaanza kuwaza wengine kidogo,
na superego, ile hali ya kujua vizuri jamii inakutaka uweje.
Id, ego, na super-ego si kufikiri: ni hulka.
waafrika wengi wapo fixed kwenye id. wanasoma sana, wanaweza kumbuka fomula zote duniani
lakini kwa kuwa hawajafanikiwa kupanda ngazi kuiacha id, wanaendelea kuendekeza mahitajio ya kitoto.
ukitaka kujua sikiliza tv. mtaro umechafuka mtaani, watu wanatame serikali ije iuzibue.
Kuna tatizo katika hizi psychoanalytic development stages. tupo fixed somewhere,
hapo kwenye id na ego: na hiki ndicho kinaitwa Miafrika selfish sana. an infantile fixation
and that has nothing to do with ability to remember formulas.
ndiyo maana unaweza kuta mtu ana CV kali sana lakini anafanya madudu very very selfish.
It's an under developed super-ego or a FIXED ID. Hili ndio tatizo la mtu mweusi!

No wonder Prof. Watts kama sijakosea hili jina lake alihitimisha kwenye moja ya tafiti zake (ambayo iliibua mjadala mkubwa sana!!!) kwamba anatilia shaka uwezo wa kufikiri wa watu weusi (waafrika) ukilinganisha na races zingine (watu weupe) akiimaanisha kwamba waafrika wana uwezo mdogo wa kufikiri kuliko watu wepe.....Hivi kama anafikiri sawa sawa huyu mzee anawezaje kuishi kifahari kiasi hiki katikati ya watu wake masikini wa kutupwa?? Ndio mana ataka afie kwenye kiti cha uraisi.