Gharama za kusafiri hadi Comoro na Mauritius

snochet

JF-Expert Member
Mar 31, 2011
1,407
1,110
kwa wale wanaofahamu,gharama za kwenda nchi hizo mbili kutokea dar es salaam,kwa kutumia njia ya maji(boat) au ndege...ni vitu gani muhimu natakiwa nijue,gharama zikoje huko,kama msosi,malazi na usafiri.nashukuru..waiting for your comments
 
Hata mimi nataka kujua gharama za huko'maana napanga kwenda honey moon maeneo hayo'mwenye data hebu tujuze
 
hizi info ni muhimu sababu hata mimi nataka kwenda huko kucheki fursa za kijasiliamali. wenye info tupeni
 
Back
Top Bottom