Gharama kuunganisha umeme wa majumbani bure mwakani

Utafungiwa bure lkn mita ya luku utaiogopa na sasa hivi mita zinafungwa juu kwenye nguzo hata kuchakachua ngumu
 
Siasa mchezo mchafu sanaaaaaaaa......harakati za kuanza kuwazuga wananchi(wadanganyika) kuelekea uchaguzi mkuu zimesha anzaa mapemaaa.Mie yangu macho tu kuzidi kushuhudia unafiki utakao kuwa unafanywa na kuonyeshwa na hawa wanasiasa uchwara wa nchi za Afrika.

Na tutavikwa vikapu mpaka tukome..utasika oooh barabara za mwendo kasi sasa zi tayari,oooh daraja la kigamboni limekamilika,ooooh ajira kwa vijana sasa ni za kumwaga,ooooh huduma za afya bure(wagonjwa wa moyo na presha wameshaanza),oooooh elimu imeboreshwa(big result now)......n.k

BANDUGU TUWE MACHO NA HII MIZUGO.NCHI KAMA TANZANIA KUWA HIVI VYOTE HATA BILA KUTEGEA MAJIRA NA NYAKATI ZA CHAGUZI INAWEZEKANA SEMA SHIDA NI HAWA VIONGZI UCHWARA NA WACHUMIA MATUMBO NA FAMILIA ZAO.

Nawasilisha kwa magwadu mengi sana nikijua fika tunadanganyika huku tukichekelea!.SHTUKA NDUGU SHTUKA EWE KIJANA!
 
Kwani mikataba ya symbion,agreco,iptl nk imekwisha? Kama bado wapo bei ya umeme haiwezi shuka, tusidanganyane.
 
Wanashindwa sasa wakati tunachangia gharama ni pale watakapoamua kutoa bure. Hizo ni mbwembwe za uchaguzi 2015
 
"no aid without a string "
"aid is relatively given without a string "
"no easy come"
hiyo ndo janjajanja ya serikali dhalimu ya ccm
mim huo umeme wa kuunganishiwa bure siutaki ,unaweza ukaja kuniunguzia nyumba ,hapo mi sipo kabisaaaaa
 
Mi mpaka wagombea waje na hela cash, bla bla kama hizi sidanganyiki!
 
N hivi washazibiti rushwa tz. Kuunganishiwa meme bure, kwa nchi yetu hi bado sana! ni kama ndoto za alinacha sijuwi. Maana hi huduma ya sasa ya kuunganishiwa umeme ni yakulipia na watu tunalipia gharama zote za kuunganishiwa umeme, na bado hatupewi hiyo huduma kwa wakati, mpaka utoe rushwa ndipo unganishiwe umeme. Sembusa hi kampeni ya kuunganishiwa umeme bure, sindiyo itakuwa bala!
 
Ari mpya nguvu mpya na kasi mpya huu ndo upuuzi wao wanadanganyia wajinga wengi na werevu wachache sasa 2015 mtunge tena upuuzi mwingine tuwaone ila uwe unasound na logic shenzi type sisiem!!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom