Ghalib wa GSM atoa vielelezo kuthibitisha Umiliki wa Kiwanja na Nyumba. Aagiza wanasheria kumchukulia hatua anayepotosha umma

Huyu mwanasheria ni poyoyo, huo ushahidi wa GSM ni wa kubumba maana mwenzake kaleta ushahidi wa tangu 2013. Pamoja na udhaifu wa Makonda hapo Riziwani Kikwete anahusika na hii kitu nawahakikishia itakuja kumgharimu yeye na huyo GSM.
2013 lakini hapo imesemwa GSM KAANZA umiliki wa eneo hilo 2016..ina 2013 hakuwa mmiliki wa hilo eneo
 
Ngoja tuone Bi Tozo mama yake wakufikia Makonda atafanya nini, nadhani ndio lengo la kurusha ile clip salamu zimfikie.

Ina maana Makonda chizi akiwa mkuu wa mkoa alikuwa na uwezo wa kujipa kiwanja maeneo mazuri tu, iweje akavamie cha GSM na alipajuaje hapo, kwanini hiko na si vya watu wengine.

Maswali ni mengi kushinda majibu.

Anyway ndio ajifunze na yeye, ubaya unamwisho, leo wapambe wake wote wamekula kona anapambana mwenyewe.
 
Huyu mwanasheria ni poyoyo, huo ushahidi wa GSM ni wa kubumba maana mwenzake kaleta ushahidi wa tangu 2013. Pamoja na udhaifu wa Makonda hapo Riziwani Kikwete anahusika na hii kitu nawahakikishia itakuja kumgharimu yeye na huyo GSM.

d991e9da-fa3f-43a0-a04a-82d4fea1484c.jpg

Ushahidi wa 2013 mihuri iko chini ya picha hujioni ni mjini hata kusema hivyo !? kiufupi makonda wako kapigwa toka siku ya kwanza ana sign hiyo mikataba yakurudisha nyuma tarehe eti 2013 !!?
Who was makonda 2013 hata udc hana soma hiyo nilokutumia mkataba huwo fake alosainishwa 2017 wakaurudisha nyuma 2013 ili isionekane alikua madarakani
 
Huyu mwanasheria ni poyoyo, huo ushahidi wa GSM ni wa kubumba maana mwenzake kaleta ushahidi wa tangu 2013. Pamoja na udhaifu wa Makonda hapo Riziwani Kikwete anahusika na hii kitu nawahakikishia itakuja kumgharimu yeye na huyo GSM.

Katika watu waliozungumza point ni wewe hongera sana ukweli kuna mchezo utachezwa au umechezwa na naibu waziri wa ardhi kwenye ushahidi huo kubadilisha kila kitu ili kumkomoa makonda. gsm sasa hivi ndio mwenyewe kila anachotaka kufanya utafanya kwa baraka zote maana nguvu yake imerudi iliyokuwa awamu 4
 
View attachment 2147932
Ushahidi wa 2013 mihuri iko chini ya picha hujioni ni mjini hata kusema hivyo !? kiufupi makonda wako kapigwa toka siku ya kwanza ana sign hiyo mikataba yakurudisha nyuma tarehe eti 2013 !!?
Who was makonda 2013 hata udc hana soma hiyo nilokutumia mkataba huwo fake alosainishwa 2017 wakaurudisha nyuma 2013 ili isionekane alikua madarakani

Maadishi kwenye hati mbona kama imeandikwa jana. maana maandishi ya 2017 yatakuwa yamefubaa kidogo
 
All in all, sioni haja ya GSM na utajiri wake kuanza kukimbizana na vitu vidogo vya kijinga kwa mgogo wa wanasiasa. Alipaswa atulie achovuna kwa kukwepa kodi ya nchi yetu kinamtosha. Walinzi wa taifa wanamuangalia tu na uhalali wa uraia wake na kuiibia nchi kupitia kodi. Iko siku atakuja kujuta!
 
Huyu mwanasheria ni poyoyo, huo ushahidi wa GSM ni wa kubumba maana mwenzake kaleta ushahidi wa tangu 2013. Pamoja na udhaifu wa Makonda hapo Riziwani Kikwete anahusika na hii kitu nawahakikishia itakuja kumgharimu yeye na huyo GSM.
Hata mmnilisema hvyo
 
magufuli was a devil now is in hell
You are the Devil proper bababikko!bababikko this is the bottom line,ikiona mabeberu wanapenda kiongozi yeyote,know for sure,he is collaborating with him in stealing or pinching the resources of his country.Magufuli alichukiwa na mabeberu upeo,that alone should give you a picture of his character.
 
maadishi kwenye hati mbona kama imeandikwa jana. maana maandishi ya 2017 yatakuwa yamefubaa kidogo
GSM ana akili kama za ndugu yangu Riziwani. Dkt Magufuli aliwaheshimu, Riziwani pamoja na kashfa zake zote Dkt Magufuli hakuwa kumdhalilisha, bali yeye alisimamia misingi ya ukweli ya uzalendo, akawabana ili marafiki zao wasikwepe kodi, leo hii Riziwani ni mtu wa kufoji document ili kufanikisha jambo la kisiasa, hivi hawajui timu ya walinzi wa taifa inawaangalia tu???? Just the matter of time watalia na kusaga meno
 
Makonda nae Atoe vielelezo ili Mamlaka husika ivichunguze Luna VIELELEZO VYA KUGUSHI ili mhusika na Wahusika WASHTAKIWE
Kwaakili ya harakaharaka bashite alipewa makaratasi feki akajua mchezo umeisha kumbe wenzake watoto wa mjini wakawa wanamlia timing tuu sasa kajaa kwenye 18.
 
Back
Top Bottom