Get well soon my hubby jg!!?!

He he he he, get well soon.
Mweleze mkeo awe anasema jina lako vizuri

Lol, umenikumbusha siku moja tuko msibani kijijini kwetu huko umang'atini. Akaja mdada, tumesimama na wazee tunapeana habari za mjini na kuwadanganya hela tumeziotea. Kaja hi-hi, 'samahani, eti mumemona wapi D?'
mi nikaangua kicheko manake najua wanaitanaga na mwenzi wake darling ama d hadharani. Nikamuambia amelala, nikamuamshe? Yeye akapata msg kuwa namuongelea d wangu. Wazee wanauliza d ndo nani? Tukawayeyushia hapo.
hilo litakuwa jina la chumbani limemponyoka nahisi.
 
Ha ha ha ha ha

Ache tu, kuna majina mkizoezana kuitana yaweza waumbua hadharani.
Umenikumbusha kitu, ila sisemi ng'o maana am 'shy':eek2:

Hehehe, ninong'oneze banaa. Sasa umbea umenishika siwezi hata kupumua!
Sasa kuna mwenza ambae yeye ku-express affection haoni taabu. Hakawii kukushika kalio ama nyonyo hadharani. Unabakia kulabua viganja makofi kama mtoto alieshika mshumaa. Noma kweli yaani, ila hata uonye vipi, akikaa dk 5 keshajisahau!
:loco:
 
He he he he, get well soon.
Mweleze mkeo awe anasema jina lako vizuri

Usijali Kongosho wetu!
Overlookin it may happen anywhere!
Hawajambo huko kwa Mfaranyaki , no i mean kwa Mtogole ? Au nilisikia vibaya unapoishi, hebu nikumbushe .
 
Lol, umenikumbusha siku moja tuko msibani kijijini kwetu huko umang'atini. Akaja mdada, tumesimama na wazee tunapeana habari za mjini na kuwadanganya hela tumeziotea. Kaja hi-hi, 'samahani, eti mumemona wapi D?'
mi nikaangua kicheko manake najua wanaitanaga na mwenzi wake darling ama d hadharani. Nikamuambia amelala, nikamuamshe? Yeye akapata msg kuwa namuongelea d wangu. Wazee wanauliza d ndo nani? Tukawayeyushia hapo.
hilo litakuwa jina la chumbani limemponyoka nahisi.

Si nilikwambia uchokozi najifunzia kwako! Kwa hiyo hapa mnakolezana umbeya na Konnie eti eeh !
Afu namshangaa eti anaona aibu Kongosho?
Kongosho na aibu wapi na wapi ? Si afadhali hata wewe ungedai ndo mwenye shame does it make sense.
 
Sasa hivi nimetajirika, nimehamia kwa 'Popobawa' kwenye lile gorofa jeupe

Usijali Kongosho wetu!
Overlookin it may happen anywhere!
Hawajambo huko kwa Mfaranyaki , no i mean kwa Mtogole ? Au nilisikia vibaya unapoishi, hebu nikumbushe .
 
Sasa hivi nimetajirika, nimehamia kwa 'Popobawa' kwenye lile gorofa jeupe

Duuh !
Hongera , hata hivyo nimebumbuwaa kukusikia eti unamlaghai King'asti , eti una aibu kutaja neno flani !
Hizi aibu umezianza lini weyee ? Kama si uzza'ndikk !
 
Heh, hujui wewe??

Nina aibu kweli, kama unabisha muulize baba watoto wangu.
Imebidi atafute njia mbadala ya kutengezeza watoto via food

Duuh !
Hongera , hata hivyo nimebumbuwaa kukusikia eti unamlaghai King'asti , eti una aibu kutaja neno flani !
Hizi aibu umezianza lini weyee ? Kama si uzza'ndikk !
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom