Kweli ni lazima uwe mzuri kichwani,hasa wanaangalia jinsi unavyoendesha harakati zako za ukombozi(unazodai unafanya),unajua kama unategemea misaada,halafu unaishi maisha ya juu,ukifumbia macho ubadhilifu,uzembe, mwenendo huu unawaudhi sana wafadhili hasa ukichukulia na wao mambo ni magumu kifedha.Kwa hiyo basi,ni dhahili chadema watazidi kukubalika nje na ndani.Hii njia itamuumiza sana JK na chama chake.