Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,921
- 15,613
George Bush kamlaumu vikali rais Putin wa Russia akisema kuwa Putin kaivamia Iraq kijeshi kwa uonevu tu pasi na sababu yoyote ya msingi...
Bush aliposhtukia kuwa anaongea mambo ya ajabu aliyoyafanya yeye mwenyewe Iraq, akacheka kwa kuchapia kisha akasingizia uzee wake.
Mwaka huu tutaona mengi aisee...Kumbe Bush anaendelea kuteseka na damu za waIraq
======