Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 49,879
- 55,729
Bado Anadaiwa Na Niguse Ninuke Japo HayupoHivi kashalipa deni la Membe?
Bado Anadaiwa Na Niguse Ninuke Japo HayupoHivi kashalipa deni la Membe?
Mwanaume huyo oh,Makaburi gani mtu kajiunga juzi lakini ana nyuzi zaidi ya 30 na zote zina dhima moja?
Mdogo wako anakutafuta Leejay49Happy weekend wapenzi
Niende kwa mada.
Nimekuwa nikijiuliza sana kwanini maisha ya sasa yamekuwa magumu sana.
Jamani wapenzi wangu wa jf kitu gani kifanyike tuweze kupata dawa ya mwanaume asiyejua mapenzi.
Yaani kuna mijianaume mdada mzuri kama mimi nashindwa kuelewa katoka mkoa gani.
A gentleman no romance ,no swag direct yeye ni kuchomeka kwelibasi useme.uwe romantic mwenzako kauzu kama roboti.
Dk 1 kakojoa.
Hey Guys wapi tunaweza kupata chuo cha kufundisha wanaume mapenzi ?
Kama hamwezi niambie mie nifunguenakera jamani?
Figo part 2 😁😁😁Bora ww umeona sema hata wakulungwa wameshtuka najua hilo. Wanachukua tahadhari. 🤣🤣🤣
Kesho umtafute, maana leo kanisumbua ajabu.Ooh Sorry, ndo naona saizi my friend 😔😔
huko dar ndio mnapotezaga muda hivyo,Happy weekend wapenzi
Niende kwa mada.
Nimekuwa nikijiuliza sana kwanini maisha ya sasa yamekuwa magumu sana.
Jamani wapenzi wangu wa jf kitu gani kifanyike tuweze kupata dawa ya mwanaume asiyejua mapenzi.
Yaani kuna mijianaume mdada mzuri kama mimi nashindwa kuelewa katoka mkoa gani. A gentleman no romance ,no swag direct yeye ni kuchomeka kwelibasi useme.uwe romantic mwenzako kauzu kama roboti.
Dk 1 kakojoa.
Hey Guys wapi tunaweza kupata chuo cha kufundisha wanaume mapenzi ?
Kama hamwezi niambie mie nifunguenakera jamani?
SawasawaKesho umtafute, maana leo kanisumbua ajabu.
Tunajitahidi ila na nyie mtuunge mkonoSawasawa
Una uhakika!Ooh Sorry, ndo naona saizi my friend 😔😔
Yani sijui niseme ni bahati mbaya au ni nini 😔😔... tunapishana sana yaniUna uhakika!