Genge la Lowassa ni janga la Taifa, wenye macho ya ziada walisaide Taifa hili

Mkuu mimi sijaenda shule,hivi Unataka kusema Lowasa ndiye alikuwa Kiongozi wa wabunge,Wanachama,viongozi na mwenyekiti wa ccm ambao kwa umoja na wingi wao ndio waliokwamisha rasimu ya pili ya katiba au sijakulewa mkuu?

Kwa kuongezea tu, ni kwamba ile rasimu ya pili haitopitishwa hata kama CHADEMA watachukua madaraka, manake viongozi wetu Tanzania wote ndio wale wale tu. Hamna hata mmoja mwenye nia njema kwa wananchi. Ile rasimu inawabana sana hawa viongozi wapenda rushwa na ufisadi, hawatoweza kuipitisha kamwe.
 
nimetafakari haya baada ya kupewa taarifa za zanzibar kuwa mawakala wake wapo wanasambaza pesa na magari kwa baadhi ya watu ili atakapoenda huko wajiunge nae ili kuwaonyesha watu kuwa anakubalika kumbe amewanunu kwa pesa na magari ya mashangingi,

pili,wameanza kupingia simu viongozi wa heshima na wazee wenye heshima kubwa katika taifa hili ili kuwatisha wakaekimia na wasionge ,

maana yake ni nini kama tunaanza kujenga misingi ya kupata viongozi kwa namna hii,

nashauri
aliyeweza kumzibiti lowasa alikuwa nyerere peke yake ,

kwa sasa hili genge linaweza kuzibitiwa na mambo mawili

1, dora yenye dhamana ya pekee katika taifa hili wayaone hata kwa chama chochote
2, viongozi wa dini waongeza maombi hili mungu alisaidie taifa hili kumpata mtu sahihi aliyempanga yeye na sio mbinu zozote chafu zinazotumiwa na wana
siasa wetu,

Hapa si mahala pake, Fikisha tuhuma hizo Polisi.
 
Nimetafakari haya baada ya kupewa taarifa za Zanzibar kuwa mawakala wake wapo wanasambaza pesa na magari kwa baadhi ya watu ili atakapoenda huko wajiunge nae ili kuwaonyesha watu kuwa anakubalika kumbe amewanunua kwa pesa na magari ya mashangingi.

Pili,wameanza kupingia simu viongozi wa heshima na wazee wenye heshima kubwa katika taifa hili ili kuwatisha wakae kimya na wasiongee.

Maana yake ni nini kama tunaanza kujenga misingi ya kupata viongozi kwa namna hii?

Nashauri: Aliyeweza kumdhibiti Lowassa alikuwa Nyerere peke yake.

Kwa sasa hili genge linaweza kudhibitiwa na mambo mawili

1. Dola yenye dhamana ya pekee katika taifa hili wayaone hata kwa chama chochote
2. Viongozi wa dini waongeza maombi hili Mungu alisaidie taifa hili kumpata mtu sahihi aliyempanga yeye na sio mbinu zozote chafu zinazotumiwa na wanasiasa wetu.

Kwa utajiri gani alionao wa kuhonga kihasi icho? Acheni chuki
 
Ukiona muembe unachuchwa mawe na watoto jua maembe yapo. Mbona mnamshupalia sana sana huyu Lowasa?
 
Mpuuzi mwingine huyu

Unaelewa vizuri hoja unayo lengakuandika?
Nini maana ya UFISADI?

Je kufanya UFISADI ni kosakisheria?

Kama si kosa sawa, ila kama ni kosa aliye kosaana fanywa nini?
J
e, Lowasa ni FISADI?
Je, umejiuliza kwa nini hakuchukuliwa hatua zakisheria?
List of shame ilikua na MAFISADI wangapi?

Je,wame chukuliwa hatua yoyote?
Kwa nini hawatajwi au kuadamwa kama Lowasa?

Rejea tafisiri ya UFISADI, kisha nipe majibuESCROW ni kitendo cha UFISADI ?

Richmod na Escrow kipi kili sababisha hasarakubwa kwa Taifa?
Na kati ya Richmond na Escrow kipi bado ni hot na kwaninihakizungumzwi wala walio kwapua wahatajwi (Stanibic Bnk Acount) pamoja nakwamba nao wanasaka madaraka?

Kwa kuhitimisha , ni kweli LOWASA angebaki CCMangetajwa na Chama na Serikali kwamba ni FISADI?
Kama nikweli waliobakia CCM mbona hawa tajwi ingawa wamo katika list of shame na zadi ya miaka nane ilyopita?
Kwanini CCM wasiwatajwe MAFISADI tena siyo wote hadi iwe zaidi ya miaka nane na iwe kwa walio jitenga na CCM? Je, ni kweli katika CCM hakuna MAFIS-A-I-DI?Kwa nini hawatajwi? Nini kilichopo katika agenda zenu dhidi yaLowasa?

Inatosha kusema kwamba anaonekana ni FISADI kwa sababu alipata mgao au NI HOFU kwa vile anakijua CCM na ana siri nyingi za Chama na Serikali hivyoakiwa nje wizi ndani ya CCM na Serikali liyopo hakustahili kuwa mtu wa hivyokwa sababu bila CCM kushinda CCM itakufa na wezi watajulikana au kuchukuliwahatua?

KUWENI WA KWELI KAMA KWELI MNAWAPEDAWANANCHI... ACHENI HADAA

Instructions:

All questions carry equalmarks

Answer all questions.

Duration: 30 Min
 
Nimetafakari haya baada ya kupewa taarifa za Zanzibar kuwa mawakala wake wapo wanasambaza pesa na magari kwa baadhi ya watu ili atakapoenda huko wajiunge nae ili kuwaonyesha watu kuwa anakubalika kumbe amewanunua kwa pesa na magari ya mashangingi.

Pili,wameanza kupigia simu viongozi wa heshima na wazee wenye heshima kubwa katika taifa hili ili kuwatisha wakae kimya na wasiongee.

Maana yake ni nini kama tunaanza kujenga misingi ya kupata viongozi kwa namna hii?

Nashauri: Aliyeweza kumdhibiti Lowassa alikuwa Nyerere peke yake.

Kwa sasa hili genge linaweza kudhibitiwa na mambo mawili

1. Dola yenye dhamana ya pekee katika taifa hili wayaone hata kwa chama chochote
2. Viongozi wa dini waongeze maombi ili Mungu alisaidie taifa hili kumpata mtu sahihi aliyempanga yeye na sio mbinu zozote chafu zinazotumiwa na wanasiasa wetu.
hata mimi ni mwana c.c.m ila sina mahaba kwa chama kama wewe....!
 
Wala hayuko peke yake tuko wengi. janga la taifa alsemalo ni nyie mnaoshabikia kitu msichokijua. el hafai kuliongoza taifa il na ndo maana ccm makin ilimuondoa ktk kinyanganyiro hk lakn kwakua ukawa ni zoazoa mkajbebea.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom