General Tyres

awuyegani

Senior Member
Oct 8, 2012
147
35
Wakuu leo nimepita katika maeneo ya kiwanda cha General Tyres kuelekea njiro (Arusha) nikaona kuna ukarabati unaendelea pale.
Kiwanda hiki kimesimamisha uzalishaji kwa zaidi ya miaka kumi sasa. tafadhali kwa mwenye habari kamili anijulushe tafadhali
 
Pale siku hizi ni eneo la kufanyia bonanza la "kitambi noma!"
 
Lowasa anasubiri mpaka atakapo ingia ikulu ndio afanye ghala la kuhifadhia mali zake.kwa sasa ni eneo la kufanyia mazoezi watu wenye vitambi kama sisi,panaitwa KITAMBI NOMA GROUND.
 
Wanapaka rangi majengo.... nafikiri anayesimamia hilo amefanya vizuri.. kwani majengo yalikuwa yamechakaa sana! Tunajua mashine zake zipo kenya zikitumiwa na sameer tyres zikitengeneza matairi yale yale lakini leo yanitwa yana!! yanaingizwa nchini kama mali toka nje masikini!!! wakati ukweli ni kwamba yametengenezwa na mashine zetu alizotuachia Nyerere lakini leo zimepelekwa nje ili walafi wachache waweze kufaidika.
 
Pale siku hizi ni eneo la kufanyia bonanza la "kitambi noma!"

Inasikitisha sana! Kiwanda kilikuwa kinaweza kutuingizia pesa za kigeni nyingi tu kwani kwa East n centrl africa kulikuwa hakuna kiwanda kama kile!
 
Mambo ya Abdallah Kigoda leo hii ni Waziri anaeahidi kufufua GT wakati alikiua. CCM ndiyo hiyo ya machozi ya mamba
 
Wakuu leo nimepita katika maeneo ya kiwanda cha General Tyres kuelekea njiro (Arusha) nikaona kuna ukarabati unaendelea pale.
Kiwanda hiki kimesimamisha uzalishaji kwa zaidi ya miaka kumi sasa. tafadhali kwa mwenye habari kamili anijulushe tafadhali
NDC wamepata mbia ambaye ameshatoa fungu la fedha kwa ajili ya kukifufua kiwanda. Kitaanza kufanya kazi baada ya miezi michache
 
Pale siku hizi ni eneo la kufanyia bonanza la "kitambi noma!"

Hawa 'vitambi noma' wamekuwa kero sana hapa Arusha!Kila baa wapo,yaan nawachukia kama hamna!nimeacha kwenda kula nyama choma 2i pub kwa ajili yao!ni kero kiasi wana nanilii na mademu zao hapohapo,matusi ndo usiseme!yaan basi!
 
Nimeipenda sana post yako Borakufa,ningekuwa siyo kwamba natumia simu ningekupatia "LIKE" pamoja sana!

Wanapaka rangi majengo.... nafikiri anayesimamia hilo amefanya vizuri.. kwani majengo yalikuwa yamechakaa sana! Tunajua mashine zake zipo kenya zikitumiwa na sameer tyres zikitengeneza matairi yale yale lakini leo yanitwa yana!! yanaingizwa nchini kama mali toka nje masikini!!! wakati ukweli ni kwamba yametengenezwa na mashine zetu alizotuachia Nyerere lakini leo zimepelekwa nje ili walafi wachache waweze kufaidika.

Mafisadi hakika siku zao zinahesabika nawaambia!
 
Back
Top Bottom