Gazeti la UHURU linajiendesha kwa hasara

DOMA

JF-Expert Member
Mar 17, 2011
944
365
Wakuu
kuna kuna jamaa mmoja anafanya kazi uhuru media na amenidokeza kuwa gazeti la Uhuru linajiendesha kwa hasara na kwa kutegemea ruzuku katika chama kutokana na kususiwa na jamii kubwa ya watanzania na hivyo kubaki kutawanywa bure katika ofisi za ccm na kubaki kusomwa na wana ccm wenyewe hapo ndipo nilipongundua kuwa kweli wafu watazika wafu wenzao
 
Mkuu kama bado linasomwa na wanaccm wenyewe basi bado lina soko! Takwimu zao za magumashi ni 5milioni, wanachama wote wa ccm, toa milion 4 waliochukuliwa na upepo mkubwa wa M4c. Kama wanachapa nakala 2000 toa labda nakala 100 zinazogaiwa bure kwenye ofisi na vituo vya redio na runinga. Mauzo ya kusuasua ya nakala 1900 kwa Tanzania nzima sio mchezo.
Gazeti moja ni 500 mara 1900 = 950,000/= toa gharama za uendeshaji na uchapaji.
Bila shaka wanaweka kibindoni 1500 kama faida kwa siku ambayo ni magazeti matatu. Moja FF, Lingine Nape, na lingine shibuda.
Watafika tu, kila jambo na wakati.
 
like this
 
Back
Top Bottom