Gazeti la The East African na propaganda chafu dhidi ya Tanzania

Hata kama tunasoma The East African wanafanya propaganda, let's be honest. Nimefanya kazi na NMG pamoja na baadhi ya media houses hapa kwetu jamani NMG ni level nyingine. Hapa Bongo hakuna media house utakayoilinganisha na NMG ambao ni wachapishaji wa The East African, Daily Nation, Taifa Letu huku Mwananchi Communications Ltd ikiwa ni subsidiary yake. Nikiwa kama mtu ninaependa kujifunza mambo mazuri let's accept ubora wa The East African.

Hata kama NMG ni level nyingine kama unavyodai haiondoi ukweli kuwa gazeti the East African linafanya propaganda against our country. Mimi siku zote sipendi watu wanaoipiga vita Tanzania. Siwapendi watu wanafiki na wenye majungu.
 
Hata kama tunasoma The East African wanafanya propaganda, let's be honest. Nimefanya kazi na NMG pamoja na baadhi ya media houses hapa kwetu jamani NMG ni level nyingine. Hapa Bongo hakuna media house utakayoilinganisha na NMG ambao ni wachapishaji wa The East African, Daily Nation, Taifa Letu huku Mwananchi Communications Ltd ikiwa ni subsidiary yake. Nikiwa kama mtu ninaependa kujifunza mambo mazuri let's accept ubora wa The East African.
Ila waache propaganda
 
Yes they are intelligent propagandists, that's what makes them more dangerous.
 
Mbona huwa mnababaika ovyo kama kuku aliyekatwa kichwa. Kwani hapo gazeti limedanganya? Kwamba mnanunua meli zitumie ziwa Malawi mbona lipo. Sasa magazeti yasiandike.
Tatizo mumezoea kubembelezwa na magazeti hadi likitokea linaloandika ipasavyo mnalialia.

Magazeti yataandika taarifa tu maana hakuna namna.
siyo mara ya kwanza Tanzania kuwa na meli katika ziwa Nyasa,zilikuwepo siku nyingi na zilitumika kusafirisha abiria na mizigo kati ya nchi ya Malawi na Tanzania.
 
Sasa tatizo liko wapi gazeti likiandika kwamba mnakusudia kuwa na meli tatu zaidi huko. Mbona mna wasiwasi kama mnajishuku vile na kutojiamini.
 
Lifungiwe tu maana hamna namna nyingine lifungiwe tu

Hakuna haja ya kulifungia, ni kawaida kwa binadamu wenye hulka ya ubinafsi na roho mbaya kushikwa shikwa hasira kirahisi rahisi, sasa wakikutana na watu ambao wako level headed na cool like a cucumber unawapatia enough rope wajimalize wenyewe - na hicho ndicho kilicho wakumba kwenye mradi wa bomba la mafuta, huwezi kuwa na an inflated view of your importance katika East Africa Region ukafikiri wenzako hawana mbinu za kuwa cut to size kilaini kabisa.

Gazeti la East African linatumika kama his Master's Voice ku vent hasira za kukosa mradi wa bomba ndio maana wanatumbukiza masuala ya Lake Nyasa, wanazungumza lolote linalo waingia kichwani! Ukiwahoji kuhusu sakata la kisiwa cha Magingo kilichopo ziwa Victoria wanakaa kimya i. e hawana jibu, kazi yao ni kubuni buni stori za kuonyesha ubaya wa Tanzania.
 
Hata kama tunasoma The East African wanafanya propaganda, let's be honest. Nimefanya kazi na NMG pamoja na baadhi ya media houses hapa kwetu jamani NMG ni level nyingine. Hapa Bongo hakuna media house utakayoilinganisha na NMG ambao ni wachapishaji wa The East African, Daily Nation, Taifa Letu huku Mwananchi Communications Ltd ikiwa ni subsidiary yake. Nikiwa kama mtu ninaependa kujifunza mambo mazuri let's accept ubora wa The East African.
Hakika wewe ni miongoni mwa wale wanaojifanya watz kumbe ni raia wa nchi jirani. Hiyo NMG ni level nyingine kivipi? Mbona kawaida sana? Waulize wenzako uliowaacha kule jinsi sales za magazeti yenu zilivyoshuka. Hamna lolote nyie - kwishney!
 
Asante kwa kuutambua uandishi wa NMG.
 
Hilo gazeti halisomwi tz nzima,linalatikana sana arusha,dar na mwanza kwenye newstand ya pale amana bank.Ndio wana.uandishi mzuri lakini haliuzi kama unavosema

Sijasema linasomwa Tanzania yote, fahamu kwamba hili gazeti husomwa na watu wasiokua na uvivu wa kusoma na wenye uwezo wa kudadavua taarifa kwa kina. Sasa mliozoea uandishi wa mipasho na udaku, lazima hili mtalichambia tu maana hauwezi ukaelewa hata paragraph moja.

Kuna watu tukiamua kusoma magazeti, tunapitia kurasa moja baada ya nyingine, neno kwa neno na kuhakikisha tumefaidi kwa kila kilichoandikwa humo. Wazembe hamtanielewa.
 
Hakika wewe ni miongoni mwa wale wanaojifanya watz kumbe ni raia wa nchi jirani. Hiyo NMG ni level nyingine kivipi? Mbona kawaida sana? Waulize wenzako uliowaacha kule jinsi sales za magazeti yenu zilivyoshuka. Hamna lolote nyie - kwishney!
Acha ufinyu wa mawazo yako wewe. Silazimishi ukubali utanzania wangu. Kwa kifupi nimefanya kazi na print media za hapa home kuanzia New Habari, The Guardian, MCL na hata TSN sijaona standards nilizokutana nazo pale NMG. Kuanzia mazingira ya kazi hadi umahiri wa waandishi wa pale. Kama tunabishana kwa ushabiki I will not go for that ila kama lengo ni kujifunza, I will recommend our print media houses to learn from NMG
 
Sijasema linasomwa Tanzania yote, fahamu kwamba hili gazeti husomwa na watu wasiokua na uvivu wa kusoma na wenye uwezo wa kudadavua taarifa kwa kina. Sasa mliozoea uandishi wa mipasho na udaku, lazima hili mtalichambia tu maana hauwezi ukaelewa hata paragraph moja.

Kuna watu tukiamua kusoma magazeti, tunapitia kurasa moja baada ya nyingine, neno kwa neno na kuhakikisha tumefaidi kwa kila kilichoandikwa humo. Wazembe hamtanielewa.
Bila shaka,unayo maslahi ktk hilo.Mwisho wa siku Tanzania itanyenyekewa tu ktk East Africa.Time will tell.
 
Hapo hakuna propaganda ni jambo la kweli kuwa tanzania inaweka meli kubwa kwa ajili ya usafiri na usafirishaji mizigo...ni mtazamo wa gazeti kuwa kwa tanzania kuendelea kufanya miradi katika ziwa nyasa wakati kuna usulihishi ni jambo la wazi tanzania haipo tayari kwa suluhu itakayoipora ziwa nyasa...na ndiyo msimamo wetu sote
 
Watapiganaaa...!!! Lakini hawatashinda NMG ni propaganda machine ya keii
 
Economic growth in sub-Saharan Africa will likely slow this year to its weakest in nearly two decades, hurt by a slump in commodity prices, the Ebola virus outbreak and drought, the IMF said on Tuesday.

In its African Economic Outlook, the Fund said the region would likely grow 3 per cent this year - the lowest rate since 1999 - after expanding by 3.4 per cent in 2015.

Growth is seen recovering to 4 per cent next year, helped by a slight recovery in commodity prices, and the Fund said it was still optimistic about the region's prospects in the longer term.

"However, to realise this potential, a substantial policy reset is critical in many cases," the Fund said.

ALSO READ: World Bank lowers 2016 growth projections for sub-Saharan Africa

Affected countries needed to contain fiscal deficits as the reduction in revenue from the commodities sector was expected to persist, it added.

Major oil exporters Angola and Nigeria were hardest hit by the slump in commodities prices, as were Ghana, South Africa and Zambia, the report said.

Guinea, Liberia, and Sierra Leone were only gradually recovering from the Ebola epidemic, while several southern and eastern African countries including Ethiopia, Malawi and Zimbabwe were suffering from a severe drought, the IMF added.

On the upside, Côte d’Ivoire, Kenya and Senegal would see growth of more than 5 per cent, mostly "supported by ongoing infrastructure investment efforts and strong private consumption," the report said.

"The decline in oil prices has also helped these countries, though the windfall has tended to be smaller than expected, as exposure to the decline in other commodity prices and currency depreciations have partly offset the gains in many of them," it added.

IMF sees sub-Saharan Africa growth near two-decade low in 2016

Kama kawaida ya The East African wameshindwa kuitaja Tanzania ambayo ni nchi ya pili Africa kwa ukuaji wa uchumi wa 6.9% wakaitaja Senegal ambayo ni nchi ya tatu kwa ukuaji uchumi 6.6%.Tanzania inaongoza Afrika Mashariki kwa ukuaji uchumi jambo la kushangaza hili gazeti maarufu kwa propaganda za kijinga limekwepa maksudi kuitaja Tanzania kisa nongwa ya kukosa mradi wa bomba la mafuta ya Uganda.
 
Back
Top Bottom