Gazeti la tanzania daima linahujumiwa kibaha-pwani

nyabhingi

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
15,515
20,005
Kwa muda wa takribani wiki tatu,gazeti la tanzania daima limekuwa halipatikani mini kibaha sababu mtu aliyekuwa na mkataba wa kusambaza magazeti hayo haleti tena,kuna tetesi kwamba CCM wamepiga biti yasije tena....kumbuka hapa kibaha ndipo yule dogo MCHANGE,MGOMBEA WA CHADEMA alishinda na kuchakachuliwa
 
Hii miCCM inachowazaga ni hujuma-hujuma tuu, hakuna mtu anaefikiria kuijenga nchi,wao ni kuibomoa tuu.ndio maana mi.......yao imefanana na bichwa la MA-ROPE!! SHAME ON U ALL CCM MEMBERS!!
 
Back
Top Bottom