Gazeti la MwanaHALISI kumuanika Paul Makonda

Serikali itende haki!
Kwa ajiri ya haki kwa watumishi hawa na watoto wao,ebu haki itendeke!
Kwa ustawi wa Chama chetu,haki itendeke!
Tunakosa ujasiri mitandaoni tunapokitetea Chama na Serikali!
UKAWA wametukalia kooni na hatupumui!
Haki itendeke!
Operesheni peleka Bashite jela!!
 
Madawa ya kulevya ndio tatizo kuu
Wauza madawa wamejivika Kofia ya Dini
wauza madawa wamejivika kofia ya uenyekiti wa chama
kila kona wauza madaw!!
hata wale watetezi wa watanzania ndio wauza madawa wakubwa.
Makonda anajua hii ni vita
Mungu na Shetani
kamwe hawezi rudi nyuma
 
Mimi nilianza kumjua wakati ule alivyokuwa anamuokoa Jaji asipigwe.....nikajua kabisa huyu muokoaji kuna kitu anatafuta.
 
- Good idea ila please naomba kuuliza ni Mwanasiasa yupi aliyewahi kutumbuliwa na Rais kwa sababu ya vyeti? maana usichanganye Poliiticians na Watumishi wa Serikali ni vitu viwili tofauti, hahahahahahhahahaha

le Mutuz
Wanasiasa wenzake wanatumia vyeti vya watu wengine wanapo fail mitihani?
 
- Swalehe Shiza ndilo jina lako? hahahahahha mtu anayesoma UDSM hawezi kuwa na hoja shallow like yours, hahahahaa pole sana hahahahahahah halafu nataka kuamini ni mtoto mchanga vipi ukiwahi maziwa maana hapa sio pako hamna watoto humu hgahahahahahahah

le Mutuz
Sasa babu hoja zangu na zako zipi zipo shallow? Maana babu hivi hujui kama BASHITE ni kama mwanao? Ila kwakuwa umepigika mjini umekuwa mdananda unaona ni saizi yako? Babu kwanini usitafute kazi hata ya kufagia ofisi ili ujikidhi kimaisha? Acha kuwa omba omba mjini bana unajua kbs DAUD BASHITE akitumbuliwa tu ndio itakuwa mwisho wako hapa mjini utarudishwa Dom kwa mzee wako
 
Hiyo idadi ya 19,000 ni hewa. Tuanzie hapo!
Wachapishe tuione kama kweli ipo!
 
Mkuu wa mkoa hakuomba kazi ya kitaalum ya RC kwa kutumia vyeti ndo maana hata RC wa njombe alikula 0 form six na hatujaandamana tukitaka asipewe URC
Mkuu wa mkoa wa Njombe ni Nani vile? Kupata zero sio hoja, hoja ni kununua na kutumia jina la mtu. Kufeli darasani sio kufeli maisha. Daudi ndio jina lake kwa nini alijiita Paulo hapo ndio shida ipo.
 
Serikali itende haki!
Kwa ajiri ya haki kwa watumishi hawa na watoto wao,ebu haki itendeke!
Kwa ustawi wa Chama chetu,haki itendeke!
Tunakosa ujasiri mitandaoni tunapokitetea Chama na Serikali!
UKAWA wametukalia kooni na hatupumui!
Haki itendeke!

Kweli Mmeshikwa Pabaya Mpaka Wewe CCM Lia Lia Umefunguka Basi Hali Sio Nzuri Huko LUMUMBA.
 
Madawa ya kulevya ndio tatizo kuu
Wauza madawa wamejivika Kofia ya Dini
wauza madawa wamejivika kofia ya uenyekiti wa chama
kila kona wauza madaw!!
hata wale watetezi wa watanzania ndio wauza madawa wakubwa.
Makonda anajua hii ni vita
Mungu na Shetani
kamwe hawezi rudi nyuma

Kwani yeye suala la Madawa anahusika nini?

Si alishakabidhiwa kamishna?

Anatafuta excuse ya madawa pale anapohojiwa kuhusu vyeti.



Aweke vyeti kwanza.
 
Baba njaa mbaya! Njaa ilisabbisha Baba yako kutaka kututia sokoni! Naona na wewe ndiyo wale2 na wew unataka uitweje Salum au Abdalah? Ukilipenda mojawapo unganisha na jina JUMANNEEE
Achana naye huyo, tunamwita ganda la ndizi , amezoea lift , na pia ni muoga wa maisha ndio maana umri na tabia na maisha yake havirandani kabisa, huyo kwa age yake alitakiwa akae pale Tanzania Legion na wenzake waongee vitu vigumu, lakini yuko kuwasifia wanaume wenzake tu, ambao wakikaa pembeni wanamcheka na kumsanif, hamna siku niliyosikitika kama alivyopata msiba wa bi mkubwa wake, nilitegemea tunduma ingefurika mabilionea.
 
Back
Top Bottom