Gazeti la jana Mawio liliandika uongo wa Instagram (kuhusu DC Makonda), ombeni radhi now!

Nimemsikia efm akizungumzia ishu ya magari na ajari...alikanusha kuwa si yy kwenye hiyo picha....watanzania yufanye kazi jamani
 
mwambie anaitwa na mange kimambi.

- Yaani hakuna majibu wala picha tofauti, I rest my case now nawaachia waliodhalilishwa kufanya yao maana wamechafuliwa sana na hii picha na maelezo huku picha ikiwa sio ya kweli na wala haihusu. Jamani ukipatikana ushahidi tofauti na wangu nifahamisheni nitakuja, thanks guys!1

le Mutuz
 
Le mutus, ungekuja na picha nyingine inayothibisha kuwa huyu si Makonda.

Maana kuwa dukani au Ikulu siyo issue in kwamba we we unasema huyu so Makonda. Basis tuwekee hapa ushahidi ili tuamini kuwa huyo so Makonda ni MTU mwingine.

La sivyo kama huna ushaidi Nenda kwa Makonda akunulie Konyagi ushtue

Sasa kwani wewe unathibitishaje hapo kama ni makonda wakati mtu mwenyewe ameinama tuache mapenzi ya siyo na maana
 
Gazeti linalomilikiwa na waandishi makanjanja,Habari za gazeti hili ni zaidi uzushi.
 
sawa hiyo bendera ya Taifa nyuma ya kiti pembeni imetumika kama pazia dukani au? Mtetezi wa makonda tupashe zaidi.....!
 
1450451873238.jpg
Hahahaha Le Mutuz hata kuku zitakucheka kuwa unadanganya.
 
Gazeti la kikanjanja hata caption inaandikwa kama sms za kwenye simu eti RZ1
 
Kwa kifupi ti le mutuz umeshinda maana wengi tulijua yule ni makonda baada ya kuoana mazongira yale kama Ikulu ivi au ofisi za serikali baada ya kuweka picha yako wewe na Ngowi wenye akili kubwa tumeelewa waliobaki ni ukawa na haters tu. Hata iyo picha inaonesha huyo dogo kafanana dizaini na Makonda na Makonda ajapewa u DC kwa ajili hiyo sisi wajuaji tunaelewa sifa za kuwa mkuu wa wilaya au mkoa.
 
Pale Mawio kuna Mhariri mmoja mpemba somebody Jabir bila ya shaka itakuwa hiyo picha na caption kaweka yeye..Jabir na muongo na mzushi sijapata kuona tokea nizaliwe
 
Wivu mbaya sana. Huyu Makonda mnamuonea wivu tu, hii ni moja ya haiba ya watz tulio wengi, wivu, uzandiki, fitna, hatutaki wengine wafanikiwe.
Le Mutuz kaleta habari kama wengine mnavyoleta habari zenu, kwa nini mumshambulie yeye bila kujadili hoja.
kuchukiwa pia ni sehemu ya ubinaadamu makonda hapendwi.na kama ni wivu waliuanza baada ya kumpiga warioba.usuwalazimishe watu wafanane.hawampendi le mutuz na vilevile hawampendi makonda.la wivu wasema wewe.
 
- Gazeti la Mawio jana liliandika habari ya KUTUNGA na ya UONGO likiwa na nia ya kumdhalilisha Mkuu wa Wilaya ya Kinodnoni Mh. Makonda kwamba alipewa Ukuu wa Wilaya kwasababu aliwahi kumfunga kamba za viatu Mtoto wa Rais wa zamani Dr. JK huku likionyesha picha ambayo Mtoto huyo wa Rais wa zamani na Mbunge wa Chalinze (CCM) Mh. Ridhiwani Kikwete akifungwa kamba viatu na mtu ambaye sio Mkuu huyo wa Wilaya ya Kinondoni.

- Ukweli ni kwamba picha hiyo ni ya Mh. Ridhiwani akifungwa kamba za viatu na Msaidizi wa Mwanamitindo maarufu hapa nchini Sheria Ngowi na kitendo hicho kilifanyika Dukani kwa Mwanamitindo huyo Masaki. Gazeti la Mawio linaonekana kuzibeba habari hizo kwenye mtandao wa kijamii hasa wa Instagram bila kufanyia UTAFITI na UKWELI wa habari hii.

- Sijui sheria inasema nini unapotokea udhalilishaji kama huu, tabia ya kubeba habari za Instagram bila kuzifanyia utafiti inaonekana kuwatesa mpaka baadhi ya Watendaji wa Serikali, mimi nafikiri ni muhimu sana Gazeti la Mawio likaomba radhi hasa kwa sisi wasomaji wake kwa kutulisha habari ya uongo.

Le Mutuz Nation

attachment.php

Tupia hako ka picha ambako hakajaeditiwa tuone
 
Inawezekana unayosema kweli...magazeti yetu mengi yapo yapo tu. ..lakini hii just for curiosity.. Ngowi anasuka Rasta muda wote..huyu hapa haoneshi kuwa na rasta
Sasa labda alikua mfanyakazi wa ngowi
 
- Gazeti la Mawio jana liliandika habari ya KUTUNGA na ya UONGO likiwa na nia ya kumdhalilisha Mkuu wa Wilaya ya Kinodnoni Mh. Makonda kwamba alipewa Ukuu wa Wilaya kwasababu aliwahi kumfunga kamba za viatu Mtoto wa Rais wa zamani Dr. JK huku likionyesha picha ambayo Mtoto huyo wa Rais wa zamani na Mbunge wa Chalinze (CCM) Mh. Ridhiwani Kikwete akifungwa kamba viatu na mtu ambaye sio Mkuu huyo wa Wilaya ya Kinondoni.

- Ukweli ni kwamba picha hiyo ni ya Mh. Ridhiwani akifungwa kamba za viatu na Msaidizi wa Mwanamitindo maarufu hapa nchini Sheria Ngowi na kitendo hicho kilifanyika Dukani kwa Mwanamitindo huyo Masaki. Gazeti la Mawio linaonekana kuzibeba habari hizo kwenye mtandao wa kijamii hasa wa Instagram bila kufanyia UTAFITI na UKWELI wa habari hii.

- Sijui sheria inasema nini unapotokea udhalilishaji kama huu, tabia ya kubeba habari za Instagram bila kuzifanyia utafiti inaonekana kuwatesa mpaka baadhi ya Watendaji wa Serikali, mimi nafikiri ni muhimu sana Gazeti la Mawio likaomba radhi hasa kwa sisi wasomaji wake kwa kutulisha habari ya uongo.

Le Mutuz Nation

attachment.php

Naomba kueleweshwa hv Ngowi si ana rasta au?
 
huyo ni makonda wala hakuna ubsh kubenea hawezi kutudanganya waga ni mkweli siku zote

Hadi leo wapo wanaopinga juu ya uwepo wa Mungu ingawa ushahidi wote wa uwepo wake upo dhahiri...Hivyo sikushangai na wewe kuupinga ufafanuzi wa Le Mutuz ilhali ushahidi wote ameweka kwenye uzi huu.
 
Kiukweli mm makonda nlikuwa cmkubali mwanzo,kwa maneno ya watu..ila kwa sas naona watu wengi wanamshambulia kwa point ya uchama kmbe..sas nmeamin ata hyoo picha ni watu wanamchafua 2 maana kwa hii michango wanayotoa..wengne hawaongei point wanatukana 2
 
Back
Top Bottom