Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 18,757
- 29,316
Si unaona bado iko kwenye assembly? engine si kitu rahis kuchagua.. hilo sio gar useme utachagua engine kirahisSi walisema ndege IPO tayari wanasubiri kuchagua injini tu, Hii nchi hii
Si unaona bado iko kwenye assembly? engine si kitu rahis kuchagua.. hilo sio gar useme utachagua engine kirahisSi walisema ndege IPO tayari wanasubiri kuchagua injini tu, Hii nchi hii
Sasa kidonge kinahusiana vipi na majibu kwa tuhuma za Zitto dhidi ya serikali kununua ndege chakavu? au jumla ya maisha ni tiba?Endeleeni kushangaa upuuz huo huku hata kidonge hospitals zetu hakuna mwafwaa!
Kaka hata picha umeshindwa kusoma...? Bombadier sio wide body airliner. Boeing na airbus ndio wana wide body. Hiyo BoeingZitto...hakuongelea Bombadier aliongelea...Boeng 767
Hiyo pichani ni...bombadier walete...boeng
Zitto ni mbinafsi sitaki kumsikia,
watnzania ndiyo wamenyukwa na tapeli aliyejifanya dalali kwenye ununuzi wa hizi ndege.
hebu elezea hilo la vat kwenye vocha tukukamate uongoMimi bado nina imani na Zitto haya ya Jamhuri nangojea. Kwakuwa toka TRA wakanushe hadharani madai ya tozo ya VAT kwa vocha za simu kwa mteja lakini hatimaye imekuwa kama alivyoeleza Zitito tunatozwa nitaendelea kumuamini sana kwa hoja zake za kitafiti.
Upinzani una maana pana sana. Uwe ni mpinzani uwe ni mwana CCM, lengo ni moja tu, kuhakikisha Tanzania na matarajio ya watanzania wanaweza kufikiwa.Hivi Zitto na Mkumbo ni wapinzani Bukililo?
Unajua hawa Jamhuri, badala ya kufanya uchunguzi wa alichoongea Zitto, wameenda kufanya uchunguzi wa kuisafisha serikali. Na bahati mbaya habari nimeisoma yote, haina hata mashiko. Ni habari inayoonyesha kwamba habari aliyoitoa Zitto Kabwe zina mlengo wa maslahi kati ya Airbus na Boing. Kwamba inawezekana Airbus ndiyo wanaeneza uongo kwa kuwa eti wamekosa tenda. Lakini hata ukiisoma habari yote, utagundua kwamba wanajikanganya sana katika maelezo yao, kitu kinachoonyesha kwamba walikuwa wanaandika kwa maelekezo maalumu. Hata hivyo, juhidi zao zimelipa maana wamepata matangazo kibao toka serikali na mashirika ya umma. Page 8 ya gazeti ina tangazo la EWURA (full page) , page 9 kuna Tanngazo la Water Institute (1/4 page), Page 20 - 21 wana tangazo la PPF (ukurasa mmoja na Nusu).
Ukiona matangazo ya serikali yamerundikwa kwenye gazeti la uchunguzi, jiulize mara mbili mbili .
wEWE ULIYESOMA BILA KUWEKA HUO MCHANGANYIKO NDIO UNAKOSA MAANA HAYA YA KUANDIKA HAYO YOTE. NAONA SPEED YOTE ULIKUWA UNATAKA KUTAFUTA EXCUSE YA HAYO MATANGAZO. HAPA HATUANGALII MATANGAZO WALA KUTUMIKA JEE WANACHOANDIKA KINA MANTIKI. UCHAMBUZI WAKO UNAKIWANGO CHA WIVU NA HISIA HASIUnajua hawa Jamhuri, badala ya kufanya uchunguzi wa alichoongea Zitto, wameenda kufanya uchunguzi wa kuisafisha serikali. Na bahati mbaya habari nimeisoma yote, haina hata mashiko. Ni habari inayoonyesha kwamba habari aliyoitoa Zitto Kabwe zina mlengo wa maslahi kati ya Airbus na Boing. Kwamba inawezekana Airbus ndiyo wanaeneza uongo kwa kuwa eti wamekosa tenda. Lakini hata ukiisoma habari yote, utagundua kwamba wanajikanganya sana katika maelezo yao, kitu kinachoonyesha kwamba walikuwa wanaandika kwa maelekezo maalumu. Hata hivyo, juhidi zao zimelipa maana wamepata matangazo kibao toka serikali na mashirika ya umma. Page 8 ya gazeti ina tangazo la EWURA (full page) , page 9 kuna Tanngazo la Water Institute (1/4 page), Page 20 - 21 wana tangazo la PPF (ukurasa mmoja na Nusu).
Ukiona matangazo ya serikali yamerundikwa kwenye gazeti la uchunguzi, jiulize mara mbili mbili .
Kabla ya kwenda huko, Ni kuthibitisha kuwa hiyo ndege sio TT na ni Ile mpya ambayo price yake inajulikana duniani kote haiihitaji CAG itakuwa ni matumizi mabovu ya kodi za wananchi. Boeing na Serikali wathibitishe ili Queries zote zijibiwe na wakosoaji wa huo ununuzi wanyamaze. Kama ikidhibitika ni Brand New Boeing 787 na sio TT basi automatically mengine yote yanavapourize na kupotea. Hayo mengine Sijui. Ndio maana Wakosoaji wanapaswa kupinga hicho kilichoandikwa kwenye gazeti kwa facts sio Mange kasema au ZZK anatuhumu. Hivyo tu haitoshi...
Kaka hata picha umeshindwa kusoma...? Bombadier sio wide body airliner. Boeing na airbus ndio wana wide body. Hiyo Boeing
Nyie mbumbumbu kweli sasa kama hamuamini hiyo picha inakuwaje muamini ndege inayotengenezwa ni tt wakati haujaona picha yake. You guys mko biased vibaya sanauna uhakika gani kama hii ndio Boing ya TZ..! ?
UKIINGIA GOOGLE HATA SASA, UTAPATA PICHA HATA ZA MELI ZIKIWA KWENYE MATENGENEZO? Nashindwa kuziweka hapa na kusema ni Bakressa kaagiza, sasa inatengenezwa?
Kuweka picha hiyo front page haina maana kuwa ni ya TZ, ..? Wahusika wajibu hoja za Zitto