Gazeti la Jamhuri: Zitto ANYUKWA, Ndege mpya iliyonunuliwa ikiendelea Kutengenezwa

Iacheni Tanzania ipae kiuchumi

Tz inapaaje kiuchumi ikiwa kuna madudu ya kutosha kwenye mkataba wa kuuziana hiyo ndege mkuu? Tusubiri tuone kilichopo kwenye mkataba wa manunuzi kama alivyodai ZZK! Time will tell, sio swala la kishabiki, linahitaji "professionalism".
 
Kama ninkweli hiyo ni ndege yetu, basi Nadhani kuna mchezo umeshachezwa hapa, baaada ya Kelele naona wameamua kuachana na lile bomu la "Terrible Teen" Prof. mbalawa alisema ndege iko tayari wapo kwenye mchakato wa Kuchagua engine gani ndio itumike, lakini hii inaonekana ni mpya kabisa, na sidhani kama itakuwa 787-8 kama tulibyoambiwa, nadhani hii itakuwa 787-9
wicked thinking, cynical minded, cheap narrative.
 
Mimi bado nina imani na Zitto haya ya Jamhuri nangojea. Kwakuwa toka TRA wakanushe hadharani madai ya tozo ya VAT kwa vocha za simu kwa mteja lakini hatimaye imekuwa kama alivyoeleza Zitito tunatozwa nitaendelea kumuamini sana kwa hoja zake za kitafiti.
Si kweli. Jibidishe kuelewa hesabu za sehemu, asilimia na desimali halafu tumia dhana utakayoipata kuchambua na kuelewa tozo unayoisema. Soma kila kitu uelewe mwenyewe badala ya kumtegemea Zitto. Na inawezekana ndio maana Zitto anaendekeza Siasa za ulaghai kwa kuwa najua kuna akina nyie msiosoma na kuelewa ila kumeza kila anachokisema.
 
Mkuu umejenga hoja vyema kabisa..Kwa maelezo ya Mbarawa na muda ambao tuliambiwa ndege itakabidhiwa na hali halisi ya picha iliyipigwa Jumamosi hii mi napata ukakasi
Rejea tena maelezo ya Prof. Mbarawa. Unatakiwa kufahamu manufacturing ya aircraft na kuikamilisha kunachukua phase ngapi na ni zipi ili uweze ku-challenge maelezo ya waziri Mbarawa.
 
Si kweli. Jibidishe kuelewa hesabu za sehemu, asilimia na desimali halafu tumia dhana utakayoipata kuchambua na kuelewa tozo unayoisema. Soma kila kitu uelewe mwenyewe badala ya kumtegemea Zitto. Na inawezekana ndio maana Zitto anaendekeza Siasa za ulaghai kwa kuwa najua kuna akina nyie msiosoma na kuelewa ila kumeza kila anachokisema.
Naona akili yako inakusaidia kidogo sana kuliko inavyo paswa na hesabu unazozijua wewe inaonekana ni zile za kutumia visoda, bahati mbaya hujitambui ila unajiamini kuwa unauwezo wa kuchambua data wakati ukweli hauko hivyo. pole.
 
Endeleeni kushangaa upuuz huo huku hata kidonge hospitals zetu hakuna mwafwaa!
Kidonge hamna wapi? Mie Nina mgonjwa ninampeleka hospitali kila mwezi kwa miaka 11 sasa napata dawa kama kawaida Mara ya mwisho nimepata dawa muhimbili wiki moja iliyopita kwenye duka jipya la msd lilopo karibu na jengo la morgue. Najua kuna upungufu wa madawa tokea awamu ya pili pesa zilizonunuliwa ndege zisingeweza kumaliza tatizo la madawa for good bali kuzizalisha ili ziendelee kutoa huduma. Kwakuwa ndege zitakuza pato la taifa kupitia utalii na usafiri wa anga ni uwekezaji mzuri utakaowezesha kupungua matatizo ya jamii ikiwemo afya.
 
Kama ninkweli hiyo ni ndege yetu, basi Nadhani kuna mchezo umeshachezwa hapa, baaada ya Kelele naona wameamua kuachana na lile bomu la "Terrible Teen" Prof. mbalawa alisema ndege iko tayari wapo kwenye mchakato wa Kuchagua engine gani ndio itumike, lakini hii inaonekana ni mpya kabisa, na sidhani kama itakuwa 787-8 kama tulibyoambiwa, nadhani hii itakuwa 787-9
Utadhani mpk mwisho wa dunia sisi tunafanya kazi hatudhani.
 
Tz inapaaje kiuchumi ikiwa kuna madudu ya kutosha kwenye mkataba wa kuuziana hiyo ndege mkuu? Tusubiri tuone kilichopo kwenye mkataba wa manunuzi kama alivyodai ZZK! Time will tell, sio swala la kishabiki, linahitaji "professionalism".
Madudu Gani??Hivi una akili kweli.
 
Yaani nchi yetu ina kazi. Nikiri kwamba sijaisoma story ya gazeti la Jamhuri. Lakini kama responses zinazotolewa na wenzangu hapa zinazingatia tu picha iliyowekwa hapo juu, basi tuna kazi - what happened to critical thinking? Zitto alionesha misingi ya hoja yake. Na hoja yake itabatilishwa kwa kubatilisha misingi (premises) hiyo, si kwa kuleta a random picture of a plane under construction (hata kama kinachofanyika ni minor adjustments & painting/branding). Kwa vyovyote vile, kama hujui chochote kuhusu jambo flani, na ukaulizwa uchague kati ya Zitto na Gazeti la Jamhuri (yaani Manyerere Jackton) unamwamini nani kama chanzo cha taarifa kuhusu jambo hilo, kumchagua Manyerere is insanity. Si lazima kwamba Zitto yuko sahihi, lakini argument yake ni complete - logical flow from premises to conclusion. Je Manyerere ametoa hoja za kuonesha mapungufu katika misingi ya hoja ya Zitto? I am operating under the following assumptions: (1) Zitto amekuwa "tipped off" kwamba kuna udanganyifu kwenye huo mkataba (2) Manyerere amelipwa pesa ili kuacha kazi yake kama journalist na kufanya kazi ya public relations (kuisifu serikali iliyoko madarakani sasa). Wenye busara walisema: "Journalism is printing what someone else does not want printed: everything else is public relations".
The same appliy kwa zitto mropokaji ,ili ili apate publicity.
 
Naona akili yako inakusaidia kidogo sana kuliko inavyo paswa na hesabu unazozijua wewe inaonekana ni zile za kutumia visoda, bahati mbaya hujitambui ila unajiamini kuwa unauwezo wa kuchambua data wakati ukweli hauko hivyo. pole.
Any real world example?
 
Back
Top Bottom