Gavana wa BOT atangaza Serikali kuichukua na kuisimamia Benki ya Twiga Bancorp

Habari wanaJF,

Leo Oktoba 28, 2016 Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) Profesa Benno Ndulu jioni hii anaongea na wana habari kwa suala lililoelezwa na BoT kuwa ni la dharura.

View attachment 425677

Taarifa rasmi kuhusu Benki Kuu ya Tanzania (BOT) kuchukua usimamizi wa Benki ya Twiga hii hapa
:
View attachment 425714
=======
Prof. Ndulu: Tumeamua kuchukua usimamizi wa Bank ya Twiga Bancorp kuanzia leo kutokana na upungufu wa mtaji wa benki hiyo.

Prof. Ndulu: BOT imekuchukua usimamizi wa benki ya Twiga baada ya kubaini upungufu mkubwa wa mtaji kinyume na matakwa ya sheria ya mabenki.

Prof. Ndulu: Shughuli zote za kibenki za banki hiyo zitasimamiwa na msimamizi kutoka Benki Kuu ya Tanzania.

Prof. Ndulu: Tutaisimamia benki hiyo mpaka atakapopatikana muwekezaji wa kuendesha shughuli zote za kibenki hiyo.

Prof. Ndulu: BOT itaendelea kutoa huduma kwa benki ya Twiga kutahatarisha usalama wa amana za wateja wake.

Prof. Ndulu: BoT itaendelea kulinda maslahi ya wenye amana ktk mabenki kwa lengo la kuleta ustahimilivu ktk sekta ya fedha
Hizo Ni dalili za mdororo wa uchumi wa nchi
tuache ushabiki jpm ni janga la kitaifa
 
Hivi lizaboni kila anayekosoa nchi lazima awe chadema? Unawafahamu wachangiaji wa humu wote kama wanavyama au la? Usijekuta mnaoshabikia vyama humu ni only one third the rest sisi ni watu wa kuangalia na kukosoa na ku aplause pale pamekwenda sawa. Huwa nasikitika mtu anapotoa point mradi isikufurahishe unakuja na mara bawacha sijui au whatso ever mimi sijui. Kumbuka wengine hata kura tulishaacha kupiga tangu wakati wa Nyerere sababu it does not help anything. Kabla hujamsema mtu muullize au mpm je wewe chama gani then unaweza andika utumbo wako wote. Wenzio tumepiga kura tangu 75 na ikawa mwisho hivyo tunajua siri za kura na siri za siasa za nchi za kiafrika hasa hizi za kisocialist. Wanasiasa hubadilika lakini maendeleo husonga na kurudi nyuma kulingana na nani kaharibu/katengeneza. Watendaji wana uwezo wa kufanya kazi na hawa siyo wanasiasa ila siasa zinawafanya wasitekeleze majukumu yao wala wasi implement walichosomea.
Shikamoo uncle/aunt. Kweli jf ina rika zote.
 
Mimi siwezi kushangaa, na wimbi la wakuu kuachia ngazi litakuja kwa kasi ngoja wajipange tuu.
Tanzania haina watu wenye audacity ya kuachia madaraka, bado hatunafikia huko. Kazi yetu ni kucheza undumilakuwili tu....
 
Watu wameanza kuweka hela majumbani! au ni nn tulezwe kwa nini hali hiyo inatokea? Hizo ni Solution Rahisi Rahisi tu kwa mambo yanayohitajika kuwekwa wazi.
 
Hivi lizaboni kila anayekosoa nchi lazima awe chadema? Unawafahamu wachangiaji wa humu wote kama wanavyama au la? Usijekuta mnaoshabikia vyama humu ni only one third the rest sisi ni watu wa kuangalia na kukosoa na ku aplause pale pamekwenda sawa. Huwa nasikitika mtu anapotoa point mradi isikufurahishe unakuja na mara bawacha sijui au whatso ever mimi sijui. Kumbuka wengine hata kura tulishaacha kupiga tangu wakati wa Nyerere sababu it does not help anything. Kabla hujamsema mtu muullize au mpm je wewe chama gani then unaweza andika utumbo wako wote. Wenzio tumepiga kura tangu 75 na ikawa mwisho hivyo tunajua siri za kura na siri za siasa za nchi za kiafrika hasa hizi za kisocialist. Wanasiasa hubadilika lakini maendeleo husonga na kurudi nyuma kulingana na nani kaharibu/katengeneza. Watendaji wana uwezo wa kufanya kazi na hawa siyo wanasiasa ila siasa zinawafanya wasitekeleze majukumu yao wala wasi implement walichosomea.

Asante
 
Serikali leo imeiweka Benki ya Twiga Bancorp chini ya usimamizi wa Benki Kuu(BoT) kutokana na upungufu wa mtaji wa Benki hiyo. Hatua hii imeifanya benki kuu kuongeza mtaji katika benki hiyo huku amana zikipungua kwa kasi kutokana na upungufu wa mzunguuko wa fedha
 
Habari wanaJF,

Leo Oktoba 28, 2016 Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) Profesa Benno Ndulu jioni hii anaongea na wana habari kwa suala lililoelezwa na BoT kuwa ni la dharura.

View attachment 425677

Taarifa rasmi kuhusu Benki Kuu ya Tanzania (BOT) kuchukua usimamizi wa Benki ya Twiga hii hapa
:
View attachment 425714
=======
Prof. Ndulu: Tumeamua kuchukua usimamizi wa Bank ya Twiga Bancorp kuanzia leo kutokana na upungufu wa mtaji wa benki hiyo.

Prof. Ndulu: BOT imekuchukua usimamizi wa benki ya Twiga baada ya kubaini upungufu mkubwa wa mtaji kinyume na matakwa ya sheria ya mabenki.

Prof. Ndulu: Shughuli zote za kibenki za banki hiyo zitasimamiwa na msimamizi kutoka Benki Kuu ya Tanzania.

Prof. Ndulu: Tutaisimamia benki hiyo mpaka atakapopatikana muwekezaji wa kuendesha shughuli zote za kibenki hiyo.

Prof. Ndulu: BOT itaendelea kutoa huduma kwa benki ya Twiga kutahatarisha usalama wa amana za wateja wake.

Prof. Ndulu: BoT itaendelea kulinda maslahi ya wenye amana ktk mabenki kwa lengo la kuleta ustahimilivu ktk sekta ya fedha
Hahahaaaa. Halafu wanajiuma uma eti uchumi unaimarika wakati mabenki yanaanza kufilisika. Kweli kenge hasikii mpaka atoe damu.
 
Masunga sijaona point katika ujumbe wa Mafuru. Ni muendelezo ule ule wa kuwapa watu vyeo waliharibu katika benki fulani.. Jamaa kaharibu NBC akapelekwa hazina sasa FBME inafia mikononi mwake soon ...mwingine kaharibu Azania na Kufukuzwa na BOT jamaa kampeleka TIB....Bisha... Masunga. Kwa ufupi kinachofanyika Twiga Bangcork ni aibu.Hiyo management mpya iliyoteuliwa tokea January imefanya nini. .watu wanalipwa mishahara mikubwa arafu unaenda kwenye public unatangaza ntaifunga benk...unategemea nini..wewe mkubwa umechangia kuiuwa hiyo benki kwani toka umetangaza hata mim niifunga akaunti yangu
 
ngosha hapa kaniangusha sasa si apige push up kama mia hiv anusuru uchumi
 
Kila mtu amekuwa mtoa matamko, kwa nini asimuachie waziri mwenye dhamana ya BOT
BOT chombo huru ktk utendaji wake. Km una mda unaweza kugoogle independence of central bank....Gavana ndio final say ktk usimamizi wa banks na sera za uchumi. Waziri ana mamlaka katika fiscal policy tu!!!!
 
Vya Serikali ni vya kula na kulala mbele. Wasalimie TTCL, Air Tz, GENERAL TYRE na wengine wako nyuma yenu.
 
Back
Top Bottom