Gaudensia Kabaka aeleza sababu za kuzuia Ujenzi wa Msikiti UDOM na kuhamisha wafanyakazi wa hapo

Kwa wale waliyowahi pita CIVE : Dr. Masoud Masoud kapelekwa DIT, Prof.Mvuma kateuliwa VC MUST na Prof.Anatory kateuliwa DVC MUST.Najiuliza kwanini hawa watu muhimu sana kwenye college ya CIVE na chuo kwa ujumla wanaondolewa ndani ya muda mfupi hivi ?????
 
Tatizo ni watu wa Dini kushinikiza vitu ambavyo havipo..Elimu ya Chuo haina uhusiano moja kwa moja na dini wala dhehebu lolote..Kujengwa Msikiti au Kanisa kuna Taratibu zake,Mara nyingine wenzetu Waislam ratiba za sala zinaingiliana na muda wa vipindi..Huko Arabia wakati wa sala watu wanasimamisha Gari wanashuka wanasali..Nchi yetu si ya dini,busara itumike tu katika pande hizo mbili
 
Duh si kasema kwa "wale waliowahi kupita CIVE... " kama wewe hujapita basi waachie walopita uzi wao huu mkuu.
Unaweza kuta maana ya neno hilo tu likawafanya wengi washindwe kutoa kinachokihitajika....
KWA BUSARA ZA KI-ASSAD (CAG wetu), aseme tu ili wampe anachokihitaji maana ambao hatujaelewa maana ya hilo tunaweza tukawa wengi... MIMI NI MMOJA WAPO
 
Tatizo ni watu wa Dini kushinikiza vitu ambavyo havipo..Elimu ya Chuo haina uhusiano moja kwa moja na dini wala dhehebu lolote..Kujengwa Msikiti au Kanisa kuna Taratibu zake,Mara nyingine wenzetu Waislam ratiba za sala zinaingiliana na muda wa vipindi..Huko Arabia wakati wa sala watu wanasimamisha Gari wanashuka wanasali..Nchi yetu si ya dini,busara itumike tu katika pande hizo mbili

Chuo kikuu cha Dar es salaam enzi na enzi kuna msikiti kwani hapo hakuna vipindi?. Hii siyo hoja.
Siyo wanafunzi wote kwa muda wote wanakuwa na vipindi katika muda fulani, wasio na vipindi wanaendelea na ibada, wale waliokuwa darasani wakitoka darasani wanakwenda nao kupata ibada

Halafu University Community kuna watu wa aina nyingi
1. Kuna wafagizi
2. Kuna walimu
3. Kuna matarishi

Etc

Wote hawa wanahitaji huduma ya kiroho
 
Mkuu Sime wacha Mvuma na Anatory wakaongeze nguvu huyu Masoud Mzee wa PICHU aende tu akaendelee kuwagonga gonga na huko DIT,ila kuna akina Msele wanaweza kuendeleza mazuri ya Prof.Mvuma Masoud huyo u examination officer tu enzi hizo ilibidi wamtoe apewe Nyondo kwa kuendekeza vipochi Manyoya
 
Tatizo ni watu wa Dini kushinikiza vitu ambavyo havipo..Elimu ya Chuo haina uhusiano moja kwa moja na dini wala dhehebu lolote..Kujengwa Msikiti au Kanisa kuna Taratibu zake,Mara nyingine wenzetu Waislam ratiba za sala zinaingiliana na muda wa vipindi..Huko Arabia wakati wa sala watu wanasimamisha Gari wanashuka wanasali..Nchi yetu si ya dini,busara itumike tu katika pande hizo mbili
Nani kakwambia kuwa wakati wa Sala ukipingina na vipindi ni tatizo? Kuna Sala ya safari ambayo no fupi, pia unaweza kulipia mda uliokosa kipindi cha sala

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom