Gari nimenunua Afrika Kusini Milioni 4, kodi Tanzania Milioni 18!

Kwanini hukuchek hio TRA calculator kabla hujaleta hio gari boss?
Assumption yangu na uzoefu wangu kdg wa kuagiza magari Japan ninajua nikinunua price a huku hata ikizidi haifiki Mara mbili yake sasa nimeoverlook aina ya gari hilux kumbe ni gari ya starehe bongo!
 
Assumption yangu na uzoefu wangu kdg wa kuagiza magari Japan ninajua nikinunua price a huku hata ikizidi haifiki Mara mbili yake sasa nimeoverlook aina ya gari hilux kumbe ni gari ya starehe bongo!
Hizi pick up huko kwny calculator ya TRA ni very expensive kuliko unavyoweza kudhania,sijui ni kwanini lkn.
 
Jamani hii nchi Mungu tu aingilie kati! Unaweza ukafurahi ukiwa ugenini the moment unagonga tu pass kukanyaga Ardhi ya bongo na vimizigo vyako ulivotokanavyo kuhemea huko unakutana na ngumi za USO! Yaani hilux Toyota nimenunua mil 4.5 south calculator ya magu TRA hapo bila kupepesa macho mzee baba anataka m 18.4! Kurudi nalo nilikotoka ni issue! Wakati south nimetembelea gari hiyo bila mushkeli kabisa! OMG!
Hapa kazi tuu
Ushauri: kama Gari lipo kwenye meli, na meli umefika bandarini lishushe litumbukize kwenye maji kesi imeishaa! Usengee huu 4.5 mpaka almost 5 times??
 
Jamani hii nchi Mungu tu aingilie kati! Unaweza ukafurahi ukiwa ugenini the moment unagonga tu pass kukanyaga Ardhi ya bongo na vimizigo vyako ulivotokanavyo kuhemea huko unakutana na ngumi za USO! Yaani hilux Toyota nimenunua mil 4.5 south calculator ya magu TRA hapo bila kupepesa macho mzee baba anataka m 18.4! Kurudi nalo nilikotoka ni issue! Wakati south nimetembelea gari hiyo bila mushkeli kabisa! OMG!
Hapa kazi tuu
Ungeweka na kapicha ka hilux ingependeza
 
Hizi pick up huko kwny calculator ya TRA ni very expensive kuliko unavyoweza kudhania,sijui ni kwanini lkn.
Kweli mkuu mimi nina hilux 12r nilitaka kuiuza ninunue pick up ya 2000 lakin nimepiga mahesabu iliniweze kuifikisha bongo single cabin hilux lazima niwe na zaidi ya 18m ilinipate gari mzuri kodi ni zaidi ya 9m...gari zenyewe bei imechangamka kweli huko japan
 
Hapo serikali ya viwanda itatimia kweli ???Hilux gari ya kazi sasa ishu kama izi ni kufanya makongamano kuishauri serikali ilegeze kidogo masharti .
 
Jamani hii nchi Mungu tu aingilie kati!

Unaweza ukafurahi ukiwa ugenini dakika unagonga tu kibali kukanyaga Ardhi ya bongo na vimizigo vyako ulivotokanavyo kuhemea huko unakutana na ngumi za USO!

Yaani Toyota Hilux nimenunua Milioni 4.5 Afrika Kusini calculator ya TRA hapo bila kupepesa macho mzee baba anataka Tsh. Milioni 18.4!

Kurudi nalo nilikotoka ni issue! Wakati Afrika Kusini nimetembelea gari hiyo bila mushkeli kabisa! OMG!

Hapa kazi tuu
Ndio maana hatuendelei tunaoneana wivu wa kipumbavu
 
Nimekumbuka mwaka jana kuna Mrus mmoja aliniambia atanipa zawadi ya gari VW mpya yeye ataisafiri mm nitafute hela nikaitoe tu bandarini ikifika, nikamwambia anitumie aina ya gari na specification za gari alipo nitumia nikaangalia kwenye calculator ya TRA duh, iliniletea kiasi cha shilingi Milion 98...... Wakati mfukoni na laki 6 tu na sina mpango wa kupata hela,
 
Wel
Jamani hii nchi Mungu tu aingilie kati!

Unaweza ukafurahi ukiwa ugenini dakika unagonga tu kibali kukanyaga Ardhi ya bongo na vimizigo vyako ulivotokanavyo kuhemea huko unakutana na ngumi za USO!

Yaani Toyota Hilux nimenunua Milioni 4.5 Afrika Kusini calculator ya TRA hapo bila kupepesa macho mzee baba anataka Tsh. Milioni 18.4!

Kurudi nalo nilikotoka ni issue! Wakati Afrika Kusini nimetembelea gari hiyo bila mushkeli kabisa! OMG!

Hapa kazi tuu
Welcome back home. Huku tunajua bei za magari zaidi ya watengenezaji wenyewe.
 
Sera tuliyonayo dhidi ya wananchi ni pasua kichwa .
Mpakani cement ya Kenya ni 16,000/= Lakini ole wako uitumie !! Unatakiwa ununue ya Tz 21,000/=.

Huwa najiuliza ni lini watu wote watachukuliwa kama wakulima wa korosho ?!. Kama mwingine anahangaika na mahindi mwaka mzima, leo wa korosho na jeshi lisaidie :oops: :D
Uongo na unafiki huwa unawasaidia nini nyinyi chadema ?
 
Back
Top Bottom