Next Level
JF-Expert Member
- Nov 17, 2008
- 3,153
- 176
Nyano!!
Alatanga si ndiyoyo huyo huyo Lutondwe, yupo kwapani sasa hivi. hana lolote sasa. Watu walishamwona madudu hela baada ya kuhamia SemCem.
Huyu Alatanga hana msaada kwetu......mnafiki mtupu si mwanamaendeleo wa kweli! Tunataka new guys out there ambao ni very committed kwa maendeleo ya wilaya yetu bana!
Bibi keshachoka, filosofia za maendeleo ni kizamani, babu ndo usiseme amshukuru sana JK 2005 hangechomoza pale tena!