Gari hili nimelifuma likipakua mzigo wa wizi t 264 aca

LEGE

JF-Expert Member
Oct 14, 2011
5,123
9,168
Habari zenu wana jf katika pitapita zangu mida hii nimelifuma gari fuso lenye kibin nyeupe na box body ya blue namba T 264 ACA mkoani wa arusha maeneo ya lemara mabwawan kwan walikuwa wamelificha na kushusha mzigo ambao ulikuwa ni sheet ,angle line pamoja na cross section ndiyo hivyo nilivyofanikiwa kuvina kwa haraka haraka kwan wa2 walikuwa wanashusha vi2 hivyo kwenye fuso hiyo na kupakia kwenye pegeout.Kwa mwonekano wa haraka haraka 2 hao jamaa wanaonyesha waz kuwa mzigo huo ni wa wizi ama wamechakachua kiwandan au kunabosi alikuwa amenunua mzigo na aende akashushiwe ofisini kwake na haojamaa hawaja ushusha wote.
Lazima 2 kuna mtu atakuwa kalizwa.
 
Sometime kuwa makini kwani mtaa uliokuwepo na tukio uliloliona ni danger sana kwa kila namna. Kuna best wangu mmoja majuzi tu alinyang'anywa camera yake na simu yake ya mkono ingali ni mchana kweupe. Be care Best! Na kwa ujumla Nchi imeshatelekezwa kitambo.!
 
Mkuu watu wamechoka na haya maisha.....mtoto wa rais mwenyewe anaish kimjini mjin unategemea na raia wengine waishije...ukichunguza sana maisha ya raia weng wa nch hii ya mfalme Kikwete yanapelekwa kisanii na kimagumash....TENA HAPA USHAWAHARIBIA JAMAA POZI MAANA UMEANIKA mpaka number za gari
 
Hii tabia ya kushaabikia maovu unachangia kwa kiasi kikubwa kurudisha nyuma nchi hii wala siyo uchovu wa polisi na serkali peke yake. Dowans ilipwe watu washabikie, mafisadi wakifisadi watu washaabikie, mitaani nako watu wakiiba bado mtu ashaabikie. Polisi wanafanya kazi kwa kupata taarifa kutoka kwa watu, sasa kama watu wenyewe ndo washaabiki wa maovu na wezi basi wezi wataendelea kupeta maana wanahifadhi ya uhakika kutoka kwa wananchi. Suluhisho la ugumu wa maisha siyo wizi maana kuiba kutakupatia nafuu wewe na kuwaumiza wengine, maendeleo ya pamoja kama nchi ndo suluhisho la ugumu wa maisha na litaletwa na uongozi bora pamoja na wananchi wenye elimu ya kujua haki zao za kiraia
 
loh kaka umewape utajiri maaskari(tunao humu)sasa hivi watafuatilia ,watapewa kitu kidogo then habari kwishne,kwa kifupi kwa kutoa taarifa hapa umeshawapa ulaji askari waliopo Arusha
 
Habari zenu wana jf katika pitapita zangu mida hii nimelifuma gari fuso lenye kibin nyeupe na box body ya blue namba T 264 ACA mkoani wa arusha maeneo ya lemara mabwawan kwan walikuwa wamelificha na kushusha mzigo ambao ulikuwa ni sheet ,angle line pamoja na cross section ndiyo hivyo nilivyofanikiwa kuvina kwa haraka haraka kwan wa2 walikuwa wanashusha vi2 hivyo kwenye fuso hiyo na kupakia kwenye pegeout.Kwa mwonekano wa haraka haraka 2 hao jamaa wanaonyesha waz kuwa mzigo huo ni wa wizi ama wamechakachua kiwandan au kunabosi alikuwa amenunua mzigo na aende akashushiwe ofisini kwake na haojamaa hawaja ushusha wote.
Lazima 2 kuna mtu atakuwa kalizwa.

Hapa unawajulisha polisi na wao wakapate mgao wao
 
Hii tabia ya kushaabikia maovu unachangia kwa kiasi kikubwa kurudisha nyuma nchi hii wala siyo uchovu wa polisi na serkali peke yake. Dowans ilipwe watu washabikie, mafisadi wakifisadi watu washaabikie, mitaani nako watu wakiiba bado mtu ashaabikie. Polisi wanafanya kazi kwa kupata taarifa kutoka kwa watu, sasa kama watu wenyewe ndo washaabiki wa maovu na wezi basi wezi wataendelea kupeta maana wanahifadhi ya uhakika kutoka kwa wananchi. Suluhisho la ugumu wa maisha siyo wizi maana kuiba kutakupatia nafuu wewe na kuwaumiza wengine, maendeleo ya pamoja kama nchi ndo suluhisho la ugumu wa maisha na litaletwa na uongozi bora pamoja na wananchi wenye elimu ya kujua haki zao za kiraia
Issue sio kushabikia maovu...............mwisho wa story hii ni Polisi kufaidika ndo uniambie ni maovu yapi wakati hayo maovu yamekuwa sehemu ya maisha ya watu wlio wengi
 
mambo ya watu achana nayo maisha yenyewe yako wapi kila mtu anaangaika na pakufia tu ;',,,,,,,,,,,,,[UNAWEZA UMIA]
 
Kwa nini hukuripoti Polisi? tunaendekeza uovu halafu utaturudi, namna hii hatufiki.
 
kwanini hukutoa taarifa polisi!? JF is not a police department! next time you see people committing a crime or anything like it that gives you doubt you should report to the police with immediate effect!
 
kama kuna mwenye namba za S.Mwema ampatie jamm ili iwe rahisi kwake next time
 
loh kaka umewape utajiri maaskari(tunao humu)sasa hivi watafuatilia ,watapewa kitu kidogo then habari kwishne,kwa kifupi kwa kutoa taarifa hapa umeshawapa ulaji askari waliopo Arusha

sasa kama ni hivi...habari za uhalifu tuzipeleke wapi....ukikaa nazo unaendeleza uhalifu....ukitoa taarifa polisi....nao umewapa ulaji....tufanyeje sasa....?
 
Back
Top Bottom