Gari aina ya 'Noah' naomba zipigwe marufuku kubeba abiria

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,284
21,397
Kutokana sasahivi kumetapakaa hizi gari aina ya Noah kujihusisha na biashara ya kubeba abiria hadi uchochoroni, gari hizi zimegeuka kuwa chanzo cha mauaji kwakuwa zinaendeshwa na madreva wasiozingatia sheria, wengi wao wakiwa ni wale mabodaboda, wakibeba abiria siti za mbele wanabeba watu watatu hadi wanine, nyuma kwenye buti wanapakiza abiria, barabarani wanaendesha kwa fujo bila tahadhari kama wafanyavyo mabodaboda.

Naomba serikali ipige marufuku huu usafili utaangamiza raia kwa ajali.

AJALI INA KINGA; CHUKUA TAHADHALI

IMG_9779.JPG
 
Panda mwendokasi

Tukipiga marufu
Kutokana sahivi kumetapakaa hizi gari aina ya Noah kujihusisha na biashara ya kubeba abiria hadi uchochoroni;
Gari hizi zimegeuka kuwa chanzo cha mauaji kwakuwa zinaendeshwa na madreva wasiozingatia sheria, wengi wao wakiwa ni wale mabodaboda,
Wakibeba abiria siti za mbele wanabeba watu watatu hadi wanine, nyuma kwenye buti wanapakiza abiria, barabarani wanaendesha Kwa fujo bila tahadhari kama wafanyavyo mabodaboda ;
Naomba serikali ipige marufuku huu usafili utaangamiza raia Kwa ajali.
AJALI INA KINGA; CHUKUA TAHADHALI
View attachment 414640
U Malaya watoto wanapatikanaje
 
in njaa za wasimamizi wa sheria maana nakumbuka Noah zilishapigwa marufuku ya kubeba abiria kitambo
 
Kosa hapo liko upande gan mkuu, noah au madereva??? Solution yako hailengi tatizo lililopo. Naona kuwa elimu itolewe na matrafic wafanye kazi zao kwa ualed zaid.
 
Noah si gari ya kibiashara ya kubeba abiria
Siasa tu ndo zimetufisha hapa
 
Kutokana sahivi kumetapakaa hizi gari aina ya Noah kujihusisha na biashara ya kubeba abiria hadi uchochoroni;
Gari hizi zimegeuka kuwa chanzo cha mauaji kwakuwa zinaendeshwa na madreva wasiozingatia sheria, wengi wao wakiwa ni wale mabodaboda,
Wakibeba abiria siti za mbele wanabeba watu watatu hadi wanine, nyuma kwenye buti wanapakiza abiria, barabarani wanaendesha Kwa fujo bila tahadhari kama wafanyavyo mabodaboda ;
Naomba serikali ipige marufuku huu usafili utaangamiza raia Kwa ajali.
AJALI INA KINGA; CHUKUA TAHADHALI
View attachment 414640

Umepolwa gari na boss nn ndo unatak kuwaalibia na wengine au cio......acha umbea abiria wenyw wanapenda kubanana
 
Kutokana sahivi kumetapakaa hizi gari aina ya Noah kujihusisha na biashara ya kubeba abiria hadi uchochoroni;
Gari hizi zimegeuka kuwa chanzo cha mauaji kwakuwa zinaendeshwa na madreva wasiozingatia sheria, wengi wao wakiwa ni wale mabodaboda,
Wakibeba abiria siti za mbele wanabeba watu watatu hadi wanine, nyuma kwenye buti wanapakiza abiria, barabarani wanaendesha Kwa fujo bila tahadhari kama wafanyavyo mabodaboda ;
Naomba serikali ipige marufuku huu usafili utaangamiza raia Kwa ajali.
AJALI INA KINGA; CHUKUA TAHADHALI
View attachment 414640
Hivi tatizo ni aina ya gari au uendeshaji wa gari pasi na kuzingatia sheria za usalama barabarani????????????
 
juzi juzi hapa kuna jamaa alipata ajali na V8 lakini kuna kipindi pia kuna msafara wa Kiongozi flan ulipata ajali na Ulikuwa unatumia V8 na kipindi kingine tena ni V8. SASA NADHANI HATA HIZI LAND CRUISER V8 ZIFUNGIWE.

kwa hitimisho lako nadhani. si ndiyo? MASKINI NOAH ZA WATU ZIMEKUKOSEA NINI ndugu yangu? NOAH ukiipaki sehemu hata miaka 100 itabaki hapo hapo mpaka inaweza ikaoza hata haitaondoka itakufa inajiona hivi hivi. NOA INA KOSA GANI? kwa nini umetokea kuichukia NOAH? wajapan wamezitengeneza hizi gari bila hiyana maskini. wewe unakuja kuzifanyia mtima nyongo. kwa nini umezichukia noah ndugu yangu?

hizi noah toka lini zinajiendesha? toka lini? nauliza toka lini umeona noah inatoka inapoishi inaingia barabarani na kuanza kukimbia hovyo na kusababisha ajali? toka lini? hebu tafuta chanzo cha ajali halafu uje hapa tuongee na pamoja tufikie hitimisho. ila nakuomba usizionee noah za watu kwa sababu ni nyonge haziwezi sema ,haziwez jitetea.

Kutokana sahivi kumetapakaa hizi gari aina ya Noah kujihusisha na biashara ya kubeba abiria hadi uchochoroni;
Gari hizi zimegeuka kuwa chanzo cha mauaji kwakuwa zinaendeshwa na madreva wasiozingatia sheria, wengi wao wakiwa ni wale mabodaboda,
Wakibeba abiria siti za mbele wanabeba watu watatu hadi wanine, nyuma kwenye buti wanapakiza abiria, barabarani wanaendesha Kwa fujo bila tahadhari kama wafanyavyo mabodaboda ;
Naomba serikali ipige marufuku huu usafili utaangamiza raia Kwa ajali.
AJALI INA KINGA; CHUKUA TAHADHALI
View attachment 414640
 
OTE="jogi, post: 17968122, member: 26923"]Umeshatengeneza mbadala wake?[/QUOTE]
Kwani kabla ya Noa si Hiace zilikuwepo? Kwa jinsi ambavyo wabongo tu napenda ku maximize profits Noa hazifai kwa biashara, watumie Toyota Hiace.
 
Tatizo sio Gari
Unachanganya kati ya Driver na aina ya gari

Tuwe tunaweka Kumbukumbu,juzi tu Jeshi la polisi limesema limekusanya zaidi ya 400m ndani ya wiki mbili,usifikirie watu wa Noah wanapatikana humo.Wengi wenye makosa ni hao unaowaona wewe kwamba ni madereva wazuri.
Umesikia lini NOAH ikagongwa na gari la mwendo kasi?umeona lini NOAH ikagonga Train?
Ukiweka Record ya Noah hapa na gari binafsi basi utakuta private cars ndio zenye majanga teleee
 
Back
Top Bottom