PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 9,206
- 30,246
Magaidi wote wataingia peponi na kukabidhiwa mabikira 72 yaani Huko peponi ni kufanya ngono Tu mwanzo mwisho....
Nimekuuliza maana ya Gaidi ili uniambie IDF na HAMAS wanatofauti gani katika matendo yao?Gaidi ni neno tulilolitafsiri kutoka kwenye kiingereza, yaani terrorist.
Terrorist ni mtu au kikundi kinachofanyanya terrorism. Terrorism ni noun ya neno terror. Terror ni kutisha, yaani kufanya mauaji kwa nia ya kutisha au kuleta taharuki.
Magaidi ya Hamas, yametamka wazi kuwa yenyewe yaliwaua hata watu wa mataifa mengine ili watu wote Duniani wajue kuwa wakienda Israel wanaweza kuuawa kwa sababu ni kama wanaunga mkono uwepo wa Taifa la Israel. Hivyo vitendo vyote vya Hamas vimelenga kuleta terror, yaani kuwatisha watu.
Magaidi ya Hamas yamewaua raia wa Israel, na kuwabaka mabinti wa Israel kisha kuwaua, yamewakata shingo hata watoto wadogo, lengo lao likiwa moja tu yaani kuleta terror/taharuki. Yaani kupeleka ujumbe wa kitisho kwa waliosalia kuwa kama waisrael hawataridhia matakwa yao hawa magaidi, hayo mauaji yataendelea.
Nimefafanua kwa kirefu kuhusu gaidi na ugaidi.
Nimekuuliza maana ya Gaidi ili uniambie IDF na HAMAS wanatofauti gani katika matendo yao?
Watoto na wasio na hatia wamejikuta tu kwenye mazingira lakini sio walengwa.Nimewaza tu, eti Mandela naye alikuwa Gaidi na wale ANC, hata wale wamakonde wa msumbiji waliitwa Magaidi.
Talebani ni magaidi lakini USA kaondoka kawaachia nchi Magaidi.
Njia ileile anayoitumia Hamas ndio ileile anayoitumia Israel lakini tunamlaani Hamas na kumuona Israel ni mwema, Israel na Palestina zote zimeshakuwa battle ground na lolote hutokea wakati wowote tena tukumbuke mwenye nguvu na mamlaka anapigana na mnyonge asiye nachochote.
Wote tunauchungu kijana wetu Mtanzania mwenzetu ameuwawa, lakini tuangalie intention ya Hamas kuingia Israel ilikuwa ni nini? kuja kumuua huyu kijana na kuondoka? Hapana, bali dhamira ilikuwa kuua na kuteka kila ajaye mbele yao, ndio maana haikuua na kumteka Mtanzania tu bali watu wa mataifa mbalimbali.
Kwanini tunailaani Hamas na si Israeli inayotumia mbinu zilezile za Hamas kutimiza dhamira yake?..,, Ugomvi wa hawa watu wawili ni ardhi na imani, Palestina akidai pale ni kwao na Israel akidai pale ni kwao, Ushahidi wa Israeli ni Bible na ushahidi wa Palestina ni uwepo wao pale na dunia imeshindwa kuprove zaidi ya kumtaka mmoja awe mnyonge na kukubaliana huku yeye akiamini si sawa..
tutafakari sana kabla ya kuandika.
Vita haina machoNimekuuliza maana ya Gaidi ili uniambie IDF na HAMAS wanatofauti gani katika matendo yao?
Halafu eti yakifa kwenye harakati zao za ugaidi thawabu/ ujira wao ni kufanya ngono na mabikra 72 huko aliko mudy na Osama bin laden. Na cha ajabu anayepiganiwa ni Mungu wetu huyu huyu eti Allahu Akbar SHENZI KABSA WITH CAPITAL LETTERS.Kanuni kuu ya gaidi ni kuua yeyote. Hivyo ujue kuwa gaidi akitaka kuua tajiri, halafu maskini nao wakawepo hapo hapo, na maskini nao watauawa pamoja na huyo tajiri. Ndiyo maana yale magaidi ya September 11 kule US, hayakuuliza wala kuchunguza ndani ya zile ndege kulikuwa na wageni wangapi wala kwenye yale majengo kama kulikuwa na wageni au waislam.
Magaidi ya Hamas, hayajawaua watanzania, Waafrika Kusini, Wamalawi, Wamarekani, Waingereza na wengine wote kwa bahati mbaya. Wamefanya hivyo makusudi, na kwa kujua kabisa kuwa yanawaua watu wa Mataifa mbalimbali. Yaliwaua waafrika huku yakichukua video kwa lengo la kuhakikisha video hizo zinafika kwa Waafrika wenzao ili waogope kwenda Israel, na Israel ikose wafanyakazi wa mashambani.
Magaidi yaliyoshambulia ubalozi wa Kenya pale Nairobi, hayakuuliza humo ndanii kuna waislam wangapi au wakristo wangapi. Yaliua kila ambaye bomu liliweza kumfikia.
Magaidi ya Hamas yamewahi kuwaua wapalestina wenzao kwa madai kwa nini wanafanya mazungumzo na Wayahudi.
Magaidi ya Hizbollah yalimwua Waziri mkuu wao Rafiq Hariri kwa madai kuwa kwa nini alikuwa anawashirikisha wakristo wachache kwenye Serikali yake.
Magaidi ya Hamas, sasa yamefikia kutoa tamko kuwa yamewaua na kuwateka watu wa mataifa mbalimbali Duniani, siyo kwa bahati mbaya, bali kwa kukusudia, ili kuweka tishio kuwa ukienda Israel hupo salama. Yaani watu wote waogope kwenda Israel.
Na ndicho magaidi ya Houthi ya kule Yemen yanachofanya pia. Yanaziteka meli zinazopita kwenye ghuba ya Yemen. Lengo ni kuyafanya makampuni ya meli yaogope kupitisha meli zao eneo hilo; na kama meli hazitapita hapo, basi Israel ikose mizigo.
Ni punguani pekee anayeweza kuunga mkono ugaidi wa Hamas. Haya magaidi yanaweza kuondoa hata uhai wake yeye anayeuyaunga mkono. Chukulia unasafiri, umepanda ndege, ndani ya ndege kuna mtu ambaye haya magaidi yanamtafuta. Yakiamua kuilipua hiyo ndege, haya magaidi hayafikirii kabisa juu ya uhai wa wale abiria wengine nje ya yule wanayemtaka. Yatawaua ninyi nyote pamoja.
Urafiki qetu na mamlaka ya Palestina, haujasaidia chochote kuzuia magaidi haya yasiwaue vijana wetu. Huo ni ujumbe tosha kuwa gaidi hana rafiki, na kwamba tumekuwa wajinga kufanya urafiki na jamii hizi za magaidi.
Magaidi ya Hamas yametenda unyama wa kila aina siku ile ya tarehe 7 Octoba kule Israel. Yaliua bila ubaguzi. Na kuna uthibitisho yaliwabaka wasichama wa Israel maeneo ya mashambani, kisha kuwakata shingo. Na sasa yanajivunia kutekeleza unyama huu.
Dunia isipoungana kuyaangamiza haya magaidi ya Hamas, Hizbollah na mengine yaliyojazana hapo Mashariki ya Kati, kuna siku Dunia itajuta.
Tuombee kampeni ya Israel ya kuyaangamiza haya magaidi, ifanikiwe. La sivyo, Dunia nzima siyo salama. Angalia yalivyotusumbua kule Kibiti na Mkurunga. Fikiria huko jimbo la Cabo Delgado Msumbiji, Somalia, Nigeria, Mali, na maeneo mengine mengi.
Haya magaidi yakipata ushindi ja yakizidi kujijenga, itafika mahali yatakuwa yanashambulia nchi yoyote au kiongozi yeyote kama hayaungi mkono.
Kwa hiyo tarehe 7/10 Hamas walienda vitani Israel? Watu wako mashambani na wengine wako kwenye festival unaenda unawamiminia risasi na kuwabaka na kuwachinja eti kisa Imani sijui ardhi.!!!!!! Madai ya Boko Haram ni genuine? Je Al shabab? Isis? Alqaida? Islamic jihad? Vipi kama huyo Mtanzania mwenzetu angekuwa mwarabu/muislamu mweupe kafanyiwa huo ukatili si ungeshaanza kusikia makanisa yanachomwa moto. Imani ya kishenzi kabsa eti jihad....nyoko nyokoNimewaza tu, eti Mandela naye alikuwa Gaidi na wale ANC, hata wale wamakonde wa msumbiji waliitwa Magaidi.
Talebani ni magaidi lakini USA kaondoka kawaachia nchi Magaidi.
Njia ileile anayoitumia Hamas ndio ileile anayoitumia Israel lakini tunamlaani Hamas na kumuona Israel ni mwema, Israel na Palestina zote zimeshakuwa battle ground na lolote hutokea wakati wowote tena tukumbuke mwenye nguvu na mamlaka anapigana na mnyonge asiye nachochote.
Wote tunauchungu kijana wetu Mtanzania mwenzetu ameuwawa, lakini tuangalie intention ya Hamas kuingia Israel ilikuwa ni nini? kuja kumuua huyu kijana na kuondoka? Hapana, bali dhamira ilikuwa kuua na kuteka kila ajaye mbele yao, ndio maana haikuua na kumteka Mtanzania tu bali watu wa mataifa mbalimbali.
Kwanini tunailaani Hamas na si Israeli inayotumia mbinu zilezile za Hamas kutimiza dhamira yake?..,, Ugomvi wa hawa watu wawili ni ardhi na imani, Palestina akidai pale ni kwao na Israel akidai pale ni kwao, Ushahidi wa Israeli ni Bible na ushahidi wa Palestina ni uwepo wao pale na dunia imeshindwa kuprove zaidi ya kumtaka mmoja awe mnyonge na kukubaliana huku yeye akiamini si sawa..
tutafakari sana kabla ya kuandika.
- Maana ya ultimatum ni kuwapa muda wa kuondoka maeneo hatarishi kabla ya mashambulizi kuanza, mashambulizi yakianza hayachagui mtoto wala mtu mzima, hili uelewe.Ultimatum huku unaua watoto na wanawake? Why wasiue HAMAS ila watoto wasiojua linaloendelea. Pia Westbank nimeeleza wameua raia wengi na kupora makazi, Google kitu kinaitwa "Walowezi wa Israel " yaani hao ni waisrael wanaoishi ardhi ya palestina huko westbank, Gaza, na Golan Heights (Syria) wapo zaidi ya laki 5 na wamepora kwa kuua raia wenyeji. Kawasome kwanza ndio urudi kuchangia.
Na hapa ndio tunatofautiana tunadhani ugaidi ni mpaka kiwe kikundi, kwani waliposema Iran au gafaffi ni magaidi hawakuwa na majeshi?
Kingine Hamas ni chama cha siasa kina wabunge kabisa hata balozi wa huku Tanzania kutoka Palestine ni member wa Hamas. Hao wanaopigana wanaitwa Al Qassem Brigade ni military wing ya Hamas kama de facto leaders wa Gaza. Ni organised army yenye clear leadership ndio maana licha ya intelijensia ya Israel wameshindwa kujua walipo mateka!!!
Sio kweli mbona Khalifa Haftar kule Libya sio jeshi la serikali ila hamumuiti gaidi zaidi mnamuita mpinzani tu!! Ila akiwa sio upande wa US ndio anaitwa gaidi. Saudia inaua raia wangapi? Ina support vikundi vingapi vya ugaidi ila umewahi sikia USA au Israel inawaita magaidi? Kisa tu ni makuwadi wa wazungu basi wanageuka malaika.
Yes hata Israel inafanya hivyo imeshaua raia wa US, UK na hata jumapili imeua wayahudi wenzake kwa kuwadungua wakidhani ni Hamas!!? Je na wao kwanini tusiwaite magaidi? Wameua pia wafanyakazi wa UN, Al Jazeera na afisa wa kifaransa je nao sio magaidi?
Sio kweli huko westbank wameshaua watu maelfu tokea miaka ya 60 ili kupora ardhi yao. Kingine ultimatum imesaidia nini kama unaua bado watoto na wamama waliopo hospitalini. Yaani Hamas wanakufa 20 alafu raia 80 kwa kila watu 100, sasa ultimatum ina msaada gani?
Ipo, Russia imevamia Ukraine dunia imepiga kelele na sasa wanajikomboa wote mnawaunga mkono. Cha ajabu Palestina wakienda pambania ardhi yao iliyokaliwa kimabavu na raia wa Israel nje ya mipaka ya Israel mnawaita magaidi? Kama unamsupport Zelenksy lazima usupport Palestina maana wanachofanya ni kilekile.
Kingine Hamas wameua raia kama ambavyo IDF wameua raia wa mataifa tofauti cha ajabu Hamas wanaitwa magaidi ila IDF tunaambiwa wako sahihi!! Sijui walitoa taarifa? Hivi sio double standard hiyo?
Unamaanisha Hamas hawana silaha? hizo wanazotumia kuua watu ni vitu gani?Hakuna mwenye afadhali kama tumeamua kuwaita Hamas magaidi hatuna budi kuwaita IDF magaidi pia maana nao hutumia mbinu ileile....
Umeshasema ni jeshi kamili lenye utalaam na mafunzo, kwanini lisitumie huo utalaam kuua magaidi tu na kuacha wasio magaidi, kwanini wawalazimishe watu kwenda ukimbizini na si kutumia utalaam wao kupambana na hao magaidi?..
Umeshasema IDF ni jeshi kamili linalosema lina haki ya kujilinda, Je hawa ambao wamezungukwa kila kona na kuzuiwa kuwa na jeshi wala kuingiza silaha na utalaam wa kijeshi wanajilindaje?
Hii ndio tabia yenu ya ku- shift blame, tatizo nini, imani au?!..Magaidi wa hapa Tz wa genge la " watu wasiojulikana " nao wapigwe vita.
Hamas imeundwa na Israel kwa maslahi yake, Iran anachotetea Palestina ni uhuru na maisha ya wapalestina.Mfadhili mkuu wa ugaidi Duniani, anafahamika. Ni IRAN. Iran ilianzisha na inafadhili makundi mengi ya kigaidi kama vile Hamas, Hizibollah, Harakat al Nujaba.
Sasa mtu anaingia tu mtaani na kuanza kuteka na kuua watu hovyo,alafu unasema hamas sio magaidi.Nimewaza tu, eti Mandela naye alikuwa Gaidi na wale ANC, hata wale wamakonde wa msumbiji waliitwa Magaidi.
Talebani ni magaidi lakini USA kaondoka kawaachia nchi Magaidi.
Njia ileile anayoitumia Hamas ndio ileile anayoitumia Israel lakini tunamlaani Hamas na kumuona Israel ni mwema, Israel na Palestina zote zimeshakuwa battle ground na lolote hutokea wakati wowote tena tukumbuke mwenye nguvu na mamlaka anapigana na mnyonge asiye nachochote.
Wote tunauchungu kijana wetu Mtanzania mwenzetu ameuwawa, lakini tuangalie intention ya Hamas kuingia Israel ilikuwa ni nini? kuja kumuua huyu kijana na kuondoka? Hapana, bali dhamira ilikuwa kuua na kuteka kila ajaye mbele yao, ndio maana haikuua na kumteka Mtanzania tu bali watu wa mataifa mbalimbali.
Kwanini tunailaani Hamas na si Israeli inayotumia mbinu zilezile za Hamas kutimiza dhamira yake?..,, Ugomvi wa hawa watu wawili ni ardhi na imani, Palestina akidai pale ni kwao na Israel akidai pale ni kwao, Ushahidi wa Israeli ni Bible na ushahidi wa Palestina ni uwepo wao pale na dunia imeshindwa kuprove zaidi ya kumtaka mmoja awe mnyonge na kukubaliana huku yeye akiamini si sawa..
tutafakari sana kabla ya kuandika.
So hapo unamaanisha mtu akiwa mkristi hawezi kuwa gaidi?Hayo makundi hayatawakubali ila mpaka Wasilimu laa sivyo watamuona ni Spy.
Nimeona Video moja kijana wa Kenya amekamatwa akiwa na Magaidi wa Alshababu alisema kwao wote ni Wakristo na nyumbani kwao ni Kisumu, lakini yeye aliamua kujiunga na Dini ya Kiislamu.
Basi utasema IDF ndiyo Gaidi zaidi ya HamasMatendo yao ni dhahiri, na ni tofauti. Hamas ni magaidi yaliyoingia kwenye dola ya Israel na kufanya ugaidi wao kwa kuua na kuteka kila waliyemfikia.
IDF inapambana na hao magaidi kuyamaliza ili siku moja hayo magaidi yasije kurudia kama yalivyofanya au kufanya jambo baya zaidi.
Yanafanana katika aspect moja tu, kwamba katika matukio yoye mawili kuna vifo vya wanadamu wengi.
Mama ako nae ety ni bikra mtarajiwa huko ahera Hamas watakula bikra za ajabu ajabu sana
Hii ndio tabia yenu ya ku- shift blame, tatizo nini, imani au?!
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app