Gadafi anafaa kuiongoza Afrika kweli?

Gadafi ni mtu mmoja asiyeeleweka. unajua kuna tatizo moja, waislam wenye msimamo mkali kama gadafi, huwa na akili pungufu sana, wanafikiri kama wenye ubongo wa samaki hakika. Kuna siku mwaka jana alishasema at BIBLIA NI MANENO YA UONGO TU NI STORI TO, na kwamba, DINI PEKEE NI UISLAM NA WAKRISTO WOTE WANATAKIWA WASILIM.

Leo tena anakuja anasema,AFRIKA WAFUTE BALOZI ZA ISRAEL. hivi anafikiri kila mtu hapa ni mwislam? au anafikiri hapa kila mtu anaupenda uislam? anafikiri kila mtu anapenda ushirika na waarabu? au tunaishi tu hapa kwa kuvumiliana kwasababu tu ndani ya nchi kuna dini nyingi na tunaishi kwa kuheshimu dini za wengine ili tuishi kwa amani?

anasahau kuwa, ukianza kuuliza swali mtu mmoja mmoja ukipitia makanisa yoote Tanzania, au east Africa yoote hata dunia, watakaosema wanaichukia Israel hawapo. hata ukiwauliza kuwa, je ni vyema Israel kulipiza kisasi kwa wapalestina, wote watasema ndiyo. ukiwauliza wakristo wote nchi ya israel ni ardhi ya nani watakwambia ni ardhi ya israel. hadi leo hii haiingii kichwani kwa mkristo yoyote kusikia kuwa Bethlehem mji aliozaliwa Yesu ni makao makuu ya palestina..hahaha. lakini tunanyamaza tu tunaishi kwa kuvumiliana. ila kila siku tunaiiombea israel izidi kupanua mipaka yake ifike hadi damascus ikiwezekana, kwasababu kulingana na Mungu alivyowapa ile ardhi, hadi Jordan yote ni yao, and even part of syria au syria yote kabisa.

Sasa, kama kuna siku kikwete atataka kuwajaribisha wakristo wa tz, aseme hakuna uhusiano kati ya israel na tz, hapo ndo ataona kuwa kumbe vile vita vya israel havipiganwi na waisrael peke yao.

sasa gadafi anapokuja na maneno yake kama hayo akirikiri labda sisi wengine ni ndugu zake, anakuwa kama mtoto mdogo.anajiona amefikia maendeleo makubwa sana kule libya ya kuweza kuwafundisha waafrika maisha.
Afie mbali kabisa shetani gadafi
 
Rais Muamar Gadafi ni mkuu wa Umoja wa afrika.Hivi kweli anafaa kuiongoza Afrika wakati nchi yake inamshinda?Kwani kuwa mkuu wa Umoja wa Afrika kunahitaji sifa gani?Au hakuna kigezo?
Mimi sijui.

LEO Tar. 1/7/2009,
Kwa mujibu wa Shirika la habari la AFP Rais Mahamoud Ahmednejad wa Iran ambaye alialikwa na kiongozi wa Libya Kanali Muhamar Gadafi kuhutubia mkutano huo sasa hatohudhuria.

Hakuna taarifa zilizotolewa juu ya hatua hiyo.Kadhalika Waziri Mkuu wa Italia Silvio Berlosconi ambaye pia alialikwa na Kanali Gadaff amefuta ziara hiyo..

Kanali Gadaffi ambaye ndiye kiongozi wa umoja huo wa Afrika kwa sasa, anategemewa kusukuma zaidi ajenda yake ya kutaka kuundwa kwa serikali ya Afrika.Hata hivyo ajenda kuu ya mkutano huo wa siku tatu wa wakuu wa Afrika ni kuimarisha uwekezaji katika sekta ya kilimo barani Afrika.

Je hii ni dalili ya kwamba hakubaliki?
Ukitaka hao wazungu wakuuwe fasta, jaribisha kuiunganisha Africa. Watakufutilia mbali. Ukiona kiongozi wa hayo mataifa wanampenda kiongozi wa Africa, ujuwe huyo kiongozi ni bure kabisa na hana manufaa kwa wananchi wala future ya taifa lake na bara la Africa kwa ujumla.
 
Uenyekiti wa AU ni mzunguko, hii ni zamu yake. Kuna aina mbili za viongozi bora. Kuna wale wanasiasa wenye nguvu kubwa ya ushawishi na wazungumzaji wazuri mfano wa JK, Makamba, Mugabe, Mbeki etc lakini sometimes vitendo ni zero.
Na kuna viongozi wakimya, wenye nguvu kubwa ya kufanya mambo. Huyu ndiye Gadafi. Ana nguvu ya fedha ya kufanya mambo na mwaka huu mtaona mambo. Hawa ndio kama akina Mhe.Rostam na Mhe.Mkono hawaulizi maswali bungeni na hawachangii mijadala yoyote bungeni lakini wana uwezo wa kufanya mambo.
Wao hutinga Dodoma kwa ndege zao kama rais, makamo na waziri mkuu. Tofauti na viongozi wakuu wa nchi, ndege ni za serikali, wao ni za kwao. Kikwete akitaka maendeleo kwao
Bagamoyo, lazima amobilize wananchi na serikali, Rostam na Mkono wao wanatoa mfukoni. Huyo ndie Gadafi.
Wakati wa vita na Amin, alimpelekea majeshi na sisi akatuletea vifaa vya kivita vya mabilioni.
Enzi za Mkapa ni Gadafi ndiye aliyeleta yale mabenzi mapya makubwa meusi ya Ikulu.
Pamoja na pesa yote hiyo, kuna tetesi Gadafi pia ni mbaya sana kwa wanawake wapenda pesa, baada ya kuwa rafiki na Dr. Salmini, akatembea na mkewe Salma. Salmini kusikia, akamtwaga talaka rejea. Gadafi akaoa jumla, ikabidi jamaa atoe talaka tatu.
Duh! Huyu kiongozi nilikuwa namkubali sana. Hapo kwenye issue ya Dr Salmin ni kweli mkuu?
 
Huyu alijiuona sana kama Mungu mtu akumjua marekani vizuri akuna alichokuwa anakijua zaidi ya kusambaza ushetani wake
Mkuu kirumbuyo , the late Ghadafi alikuwa ana matatizo yake mengi tu, lakini alijenga nchi yake.

Angeweza kuwa na impact kubwa sana Africa, tatizo aliingiza mambo ya dini. Pia baada ya kuwa influential miongoni mwa mataifa ya Africa kwa kutoa misaada, na vilevile, kuweka yale malengo yake wazi, ie one Africa, one currency, kuuza mafuta kwa gold badala ya usd and euro etc, mataifa hayo ya magharibi yalishtushwa sana!

Ange concentrate kwenye Pan Africanism. Nia yake ya kuiunganisha Africa was a nightmare kwa hayo mataifa. Hilo limechangia kuondolewa fasta. Alkaeda wakishirikiana na NATO.

Give credit where it’s due!
 
Indeed
Well said walahi
 
Rais Muamar Gadafi ni mkuu wa Umoja wa afrika.Hivi kweli anafaa kuiongoza Afrika wakati nchi yake inamshinda?Kwani kuwa mkuu wa Umoja wa Afrika kunahitaji sifa gani?Au hakuna kigezo?
Mimi sijui.

LEO Tar. 1/7/2009,
Kwa mujibu wa Shirika la habari la AFP Rais Mahamoud Ahmednejad wa Iran ambaye alialikwa na kiongozi wa Libya Kanali Muhamar Gadafi kuhutubia mkutano huo sasa hatohudhuria.

Hakuna taarifa zilizotolewa juu ya hatua hiyo.Kadhalika Waziri Mkuu wa Italia Silvio Berlosconi ambaye pia alialikwa na Kanali Gadaff amefuta ziara hiyo..

Kanali Gadaffi ambaye ndiye kiongozi wa umoja huo wa Afrika kwa sasa, anategemewa kusukuma zaidi ajenda yake ya kutaka kuundwa kwa serikali ya Afrika.Hata hivyo ajenda kuu ya mkutano huo wa siku tatu wa wakuu wa Afrika ni kuimarisha uwekezaji katika sekta ya kilimo barani Afrika.

Je hii ni dalili ya kwamba hakubaliki?
Huyu mzee Ndio maana wazungu walimuua, alikuwa na maono ya mbali sana Kuhusu Africa, natamani Angekuwa hai hadi Leo atimize ndoto zake za kuunganisha Africa
 
Uenyekiti wa AU ni mzunguko, hii ni zamu yake. Kuna aina mbili za viongozi bora. Kuna wale wanasiasa wenye nguvu kubwa ya ushawishi na wazungumzaji wazuri mfano wa JK, Makamba, Mugabe, Mbeki etc lakini sometimes vitendo ni zero.
Na kuna viongozi wakimya, wenye nguvu kubwa ya kufanya mambo. Huyu ndiye Gadafi. Ana nguvu ya fedha ya kufanya mambo na mwaka huu mtaona mambo. Hawa ndio kama akina Mhe.Rostam na Mhe.Mkono hawaulizi maswali bungeni na hawachangii mijadala yoyote bungeni lakini wana uwezo wa kufanya mambo.
Wao hutinga Dodoma kwa ndege zao kama rais, makamo na waziri mkuu. Tofauti na viongozi wakuu wa nchi, ndege ni za serikali, wao ni za kwao. Kikwete akitaka maendeleo kwao
Bagamoyo, lazima amobilize wananchi na serikali, Rostam na Mkono wao wanatoa mfukoni. Huyo ndie Gadafi.
Wakati wa vita na Amin, alimpelekea majeshi na sisi akatuletea vifaa vya kivita vya mabilioni.
Enzi za Mkapa ni Gadafi ndiye aliyeleta yale mabenzi mapya makubwa meusi ya Ikulu.
Pamoja na pesa yote hiyo, kuna tetesi Gadafi pia ni mbaya sana kwa wanawake wapenda pesa, baada ya kuwa rafiki na Dr. Salmini, akatembea na mkewe Salma. Salmini kusikia, akamtwaga talaka rejea. Gadafi akaoa jumla, ikabidi jamaa atoe talaka tatu.
E bwana hii aya ya mwisho Kuhusu mke wa Dk salim imenivutia sana,.

Hebu ielezee kidogo Pascal
 
Huyu mzee Ndio maana wazungu walimuua, alikuwa na maono ya mbali sana Kuhusu Africa, natamani Angekuwa hai hadi Leo atimize ndoto zake za kuunganisha Africa
Hata sisi tuna weza
Mwenye Enzi Mungu ni mwaminifu
That was a powerful spirit haiwezi kuangamia
 
Back
Top Bottom