Fursa ya safari ya kibiashara China (kwa wajasiriamali wenye mitaji midogo)

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,634
697,928
Kutakuwa na safari ya kibiashara kwa wajasiriamali wenye mitaji kidogo nchini China mji wa YI WU mwezi wa tatu mwaka huu wa 2024 tarehe kumi hivi
Safari itakuwa ya pamoja kwa watu wasiopungua 10 na wasiozidi 20.. Faida ya safari hii ya pamoja
.Kupata barua ya mwaliko kwa bei nafuu
. Kupata tickets kwa bei nafuu
. Malazi ya pamoja ya bei nafuu uwapo huko
. Usafiri wa bei nafuu
. Ukalimani
. Mtandao wa maduka ya jumla makubwa na madogo
.Kupata connection mbalimbali za wafanyabiashara na wazalishaji wa China
. Gharama nafuu za chakula, vinywaji matembezi nknk
. Gharama nafuu na za uhakika za kusafirisha mizigo kurudi nchini..

Hii ni fursa mpya na wale watakaoweza kwenda ndio watafungua pazia kwa wengine huko mbeleni
Yale mambo ya kuagiza online ama kumuagiza mtu na kuishia kutapeliwa sasa yanafika mwisho.. Lakini vilevile kununua kitu kwa picha nayo yamafikia ukomo wake

Nitaweka mawasiliano rasmi kwa wale wote walio tayari.. Dirisha la waendaji litafungwa wiki ya pili ya mwezi February siku ya wapendanao

Nyongeza:
Kwa vijana wasio na mishe naweza kuwapa mizigo ya mali kauli kama wakitimiza vigezo na masharti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kutakuwa na safari ya kibiashara kwa wajasiriamali wenye mitaji kidogo nchini China mji wa YI WU mwezi wa tatu mwaka huu wa 2024 tarehe kumi hivi
Safari itakuwa ya pamoja kwa watu wasiopungua 10 na wasiozidi 20.. Faida ya safari hii ya pamoja
May God bless you , unawasaidia sana watu .
Amkeni wajasiriamali , amkeni vijana njia za kutokea ni hizi

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Imekaa vizuri sana
Maelezo yameshiba
Kwa walio serious hii ni Fursa ya uhakika

Mimi nimebugi juzi kati tu hapa nilikopa M 6 nikaishia kwenye pagara na nyingine nikaipiga chini ya pua kumbe ningejua ningesubiri niende China nirud na Viatu vya kike,flash,memory card,vifaa vidogovidogo vya kimachinga

Kwa wale mtakaofanikiwa kwenda muwe chachu mrudi na full info za kutuwezesha kipindi tunajitafuta za kuwekeza

Inshallah
 
M6 haitoshi kwenda China ukafanya la maana. Tafuta angalau 15m.
 
Imekaa vizuri sana
Maelezo yameshiba
Kwa walio serious hii ni Fursa ya uhakika

Mimi nimebugi juzi kati tu hapa nilikopa M 6 nikaishia kwenye pagara na nyingine nikaipiga chini ya pua kumbe ningejua ningesubiri niende China nirud na Viatu vya kike,flash,memory card,vifaa vidogovidogo vya kimachinga

Kwa wale mtakaofanikiwa kwenda muwe chachu mrudi na full info za kutuwezesha kipindi tunajitafuta za kuwekeza

Inshallah
Ushajisajili kwenye mfumo wa ess?
 
Back
Top Bottom