gwijimimi
JF-Expert Member
- Sep 24, 2011
- 7,344
- 3,604
huna lolote unajishaua tu kama kweli si uwe wazi biashara gani za vificho hzo?watu mnafanya biashara mnaogopa hadi kuzisema manina what a shameWewe huna nia. Wenye nia nawasiliana nao na wanaokuwa tayari wanaanza kazi mara moja na hivyo kujiongezea kipato. Unatumia lugha ya maudhi ili nikasirike lakini mi si mwingi wa hasira. Pengine ni kutokana na umri wako ndio maana unatumia lugha za aina hii.