Fursa kwa wakulima wa mahindi wa Tanzania; Malawi yatangaza janga la njaa kwa sababu ya ukame

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,076
49,774
Serikalini ya Malawi imetangaza Hali ya hatari kutokana na ukame ambao umepelekea njaa kwenye Wilaya nyingi 23 kati ya 28 Nchini humo.

Serikalini imesema kipindi Cha ukame kimefuatia baada ya mfululizo wa majanga ya mvua za El nino zilizoleta maafa na uharibifu mkubwa wa Mali na mashamba msimu uliopita Nchini humo.

View: https://www.instagram.com/p/C471vaBIH_h/?igsh=MXVrOGgwbzE3Z3N5YQ==

My Take
Serikalini msifunge mipaka Ili Wakulima Wetu wauze mahindi Kwa sababu uzalishaji msimu wa mwaka Jana na huu ni mkubwa kiasi kwamba bei za nafaska hasa mahindi zimeporomoka na soko hakuna.

View: https://youtu.be/m6lU08OSgco?si=3VoO49UNb47sr4dF

Mpaka Sasa Zambia, Malawi, Zimbabwe na Ethiopia Wanakabiliwa na njaa Kali.

Tunawapa pole nyingi ila Kufa kufaana.

View: https://twitter.com/BloombergAfrica/status/1775448652447707179?t=O-bcDRxzyOvKq598-ZzVxQ&s=19
 
Serikalini ya Malawi imetangaza Hali ya hatari kutokana na ukame ambao umepelekea njaa kwenye Wilaya nyingi Nchini humo.

Hawa walipata kuipa msaada wa chakula Tanzania miaka kadhaa baada ya mzozo wa mpaka kama sijakosea ilikuwa miaka ya 1970 kwenda 1980
 
Serikalini ya Malawi imetangaza Hali ya hatari kutokana na ukame ambao umepelekea njaa kwenye Wilaya nyingi Nchini humo.

Serikalini imesema kipindi Cha ukame kimefuatia baada ya mfululizo wa majanga ya mvua za El nino zilizoleta maafa na uharibifu mkubwa wa Mali na mashamba msimu uliopita Nchini humo.
View attachment 2945742

My Take
Serikalini msifunge mipaka Ili Wakulima Wetu wauze mahindi Kwa sababu uzalishaji msimu wa mwaka Jana na huu ni mkubwa kiasi kwamba bei za nafaska hasa mahindi zimeporomoka na soko hakuna.

Mpaka Sasa Zambia, Malawi na Ethiopia Wanakabiliwa na njaa Kali.

Tunawapa pole nyingi ila Kufa kufaana.
sure,
Mwaka jana tuliteleza kidogo, Mwezi July 2023, niliuza mahindi gunia kadhaa mzigo walikuja kuchukulia shambani gunia moja kwa elfu 90, mzigo mwingine nikaweka store, aise nimeuza January mwaka huu elfu 60 gunia dah 🐒

This is an opportunity, ni kujipanga tu. Mkulima anapo uza mazao yake kwa bei anayoifurahia, anapata spirit na nguvu ya kulima eneo na sehemu kubwa zaidi msimu ujao na tena kwa bidii zaidi, other wise kwa bei hizi elekezi, tunamvunja moyo na kumkatisha tamaa sana huyu mkulima wa chini huku mkoani 🐒
 
Serikalini ya Malawi imetangaza Hali ya hatari kutokana na ukame ambao umepelekea njaa kwenye Wilaya nyingi 23 kati ya 28 Nchini humo.

Serikalini imesema kipindi Cha ukame kimefuatia baada ya mfululizo wa majanga ya mvua za El nino zilizoleta maafa na uharibifu mkubwa wa Mali na mashamba msimu uliopita Nchini humo.

View: https://www.instagram.com/p/C471vaBIH_h/?igsh=MXVrOGgwbzE3Z3N5YQ==

My Take
Serikalini msifunge mipaka Ili Wakulima Wetu wauze mahindi Kwa sababu uzalishaji msimu wa mwaka Jana na huu ni mkubwa kiasi kwamba bei za nafaska hasa mahindi zimeporomoka na soko hakuna.

Mpaka Sasa Zambia, Malawi na Ethiopia Wanakabiliwa na njaa Kali.

Tunawapa pole nyingi ila Kufa kufaana.

utasikia tu mipaka imefungwa
 
View: https://twitter.com/BusInsiderSSA/status/1773715732179656828?t=XvZYqGt5g6BTEAxaMS-vWA&s=19
 
Serikalini ya Malawi imetangaza Hali ya hatari kutokana na ukame ambao umepelekea njaa kwenye Wilaya nyingi 23 kati ya 28 Nchini humo.

Serikalini imesema kipindi Cha ukame kimefuatia baada ya mfululizo wa majanga ya mvua za El nino zilizoleta maafa na uharibifu mkubwa wa Mali na mashamba msimu uliopita Nchini humo.

View: https://www.instagram.com/p/C471vaBIH_h/?igsh=MXVrOGgwbzE3Z3N5YQ==

My Take
Serikalini msifunge mipaka Ili Wakulima Wetu wauze mahindi Kwa sababu uzalishaji msimu wa mwaka Jana na huu ni mkubwa kiasi kwamba bei za nafaska hasa mahindi zimeporomoka na soko hakuna.

View: https://youtu.be/m6lU08OSgco?si=3VoO49UNb47sr4dF

Mpaka Sasa Zambia, Malawi, Zimbabwe na Ethiopia Wanakabiliwa na njaa Kali.

Tunawapa pole nyingi ila Kufa kufaana.

View: https://twitter.com/BloombergAfrica/status/1775448652447707179?t=O-bcDRxzyOvKq598-ZzVxQ&s=19

View: https://www.instagram.com/reel/C5yD1OFt5bg/?igsh=Zm11NnhiZnpubWgx
 
Back
Top Bottom