Funzo kutoka uchaguzi mdogo wa madiwani

Hiraay

Member
Jan 4, 2012
99
17
Matokeo ya uchaguzi wa madiwani (sampuli ya kata 10)


No.
Kata
CCM
CDM
Others
1
Daraja mbili
1,214
2,047
2
Ipole-Sikonge
373
577
48 CUF
3
Kaloleli-Sikonge
690
329
222 CUF
4
Nanjara Reha
1,134
2,370
5
Kilema kusini
707
727
946 TLP
6
Tamota-Lushoto
901
312
10 CUF
7
Bugarama-Kahama
1,145
772
156 TADEA
8
Mletele-Songea
955
297
27 CUF
9
Mtibwa
1,372
3,096
67 CUF
10
Mahenge
710
444
14 CUF

Jumla ya kura
9,201
10,971
1,490

Jumla ya kura 21,662
CCM 9,201 42.5%
CDM 10,971 50.6%
Others 1,490 6.9%

Takwimu hizi zinatufunza nini?
1. Pamoja na kwamba CCM imeshinda kata nyingi (5 out of 10), wananchi walioipigia CDM ni wengi zaidi (over 50%). Kwa mwendo huu CCM kushika dola 2015 ijiulize mara mbili.
2. Daftari la wapiga kura lingekuwa linaboreshwa kila mwaka matokeo yangekuwa bora zaidi kwa CDM. Hata hivyo kwa kuwa daftari hilo lazima liboreshwe kabla ya chaguzi za 2014/2015 CCM ijue itakuwa na kazi pevu kupita.

Ushauri kwa CDM:
Mikakati na operesheni za sangara na M4C ziendelezwe kwa nguvu nchi nzima
 
Uko sawa kabisa mkuu. Pipoooooooooooz Pawaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Umeonyesha matokeo ya kata 10 je kata 19 ziko wapi? ninavyiojua ccm ilipata julma ya kura 29,000+ na CDM ilipata jumla ya kura 20,000+ kwa kata zote 29. Tafadhali naomba msipotoshe ilituweze kwenda sawa hizi takwimu za kufikia kichani na kuziweka hapa hazitatusaidia katika mapambano ya kuiondoa ccm madarakani.
 
Mbona umeorodhesha kata 10 wakati matokeo ya kata zote yapo;
No.
KATA
CCM
CDM
Jumla
Tofauti
Tofauti Asili mia
1
Magomeni (Pwani)
1,478.00
479
1,957.00
999
51.047522
2
Bangata
1,117.00
881
1,998.00
236
11.811812
3
Daraja mbili
1,324.00
2,193.00
3,517.00
-869
-24.70856
4
Mahenge
710
444
1,154.00
266
23.05026
5
Mtibwa
1,372.00
3,096.00
4,468.00
-1,724.00
-38.5855
6
Mtele
995
297
1,292.00
698
54.024768
7
Mpapai
1,443.00
280
1,723.00
1,163.00
67.498549
8
Luwumbu
565
25
590
540
91.525424
9
Malangali
1,247.00
1,418.00
2,665.00
-171
-6.41651
10
Lwezera
1,317.00
925
2,242.00
392
17.484389
11
Makata
808
38
846
770
91.016548
12
Mlelomiembeni
818
138
956
680
71.129707
13
Minyenze
378
167
545
211
38.715596
14
Karitu
854
354
1,208.00
500
41.390728
15
Kiloleni
648
166
814
482
59.213759
16
Ipole
365
568
933
-203
-21.75777
17
Bugarama
18
Mwananza
794
575
1,369.00
219
15.997078
19
Lubili
1,108.00
620
1,728.00
488
28.240741
20
Kitagiri
1,416.00
157
1,573.00
1,259.00
80.038144
21
Kikokona
1,149.00
367
1,516.00
782
51.583113
22
Nanjaraneha
1,128.00
2,370.00
3,498.00
-1,242.00
-35.506
23
Kilema Kusini
784
734
1,518.00
50
3.2938076
24
Vugiri
1,460.00
337
1,797.00
1,123.00
62.493044
25
Tamota
1,060.00
772
1,832.00
288
15.720524
26
Msalato
869
450
1,319.00
419
31.76649
27
Mpwapwa
1,722.00
1,189.00
2,911.00
533
18.309859
28
Myovizi
1,726.00
1,498.00
3,224.00
228
7.0719603
29
Mpapa
903
310
1,213.00
593
48.887057
JUMLA
29,558.00
20,848.00
50,406.00
8,710.00
17.279689
.....
CHADEMA badala ya kupiga chenga tujifunze kufunga; mpira magori
 
20,848/ 19 = 1,097.
29,558/19 = 1,556.

1,556 - 1,097 = 459

kura 459 katika uchaguzi ambao daftari halijafanyiwa marekebisho na kutawaliwa na rushwa kubwa kwa sababu ya udogo wa maeneo hivyo kurahisisha hongo, na ununuzi wa shahada ni margin ndogo sana kuweza kujivunia.

Lolote linaweza kutokea.
 
Mbona umeorodhesha kata 10 wakati matokeo ya kata zote yapo;

CHADEMA badala ya kupiga chenga tujifunze kufunga; mpira magori.......

Hebu ongeza column ya others, hii itaweza kutoa taswira hasa kwa non- CCM na non-CDM. Tujue kama watu wanataka mabadiliko, wangapi hawataki cccm na cdm, kisha chama gani kipo baada ya ccm na cdm
Wakatabahu
 
Kwa kumbe uchaguzi ulikuwa wa haki na daftari lilikuwa alina matatizo.
 
20,848/ 19 = 1,097.
29,558/19 = 1,556.

1,556 - 1,097 = 459

kura 459 katika uchaguzi ambao daftari halijafanyiwa marekebisho na kutawaliwa na rushwa kubwa kwa sababu ya udogo wa maeneo hivyo kurahisisha hongo, na ununuzi wa shahada ni margin ndogo sana kuweza kujivunia.

Lolote linaweza kutokea.

Mkuu hebu fafanua sijakupata unataka kumaanisha nini kwanini ugawe hizo fg kwa 19
 
M4C isonge mbele mpaka kieleweke. Na CDM ikichukua nchi twataka tuone kila mwananchi akienda zahanati anapata dawa. Wenye uwezo mjiandae kufungua viwanda vidogo vidogo kama wahindi kwa ajili ya mahitaji yetu sisi wenyewe. Mali asili zipo kibao..tujivunie vyetu!
 
Back
Top Bottom