Funny Booking Office

Hatari bin danger au ni mwakijiji kafunga tu kujingikinga na jua jamani manake kule vijijini unaweza kukuta bango la celtel limeziba dirisha ni vitu vya kawaida ati!
 
Na kwa uwepo wa FM stations, ofisi hii ni full muuziki na kahawa ama tangawizi kwa wingi


Hivi ndivyo tulivyo japo hatuko hivyo
 
Back
Top Bottom