Funniest name for a human you've ever heard

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,409

I think the funniest I have ever heard, there was a guy called 'Major Dickie Head'.

jina jingine ni ..................
 
Brian Kut KerkHof,hili ni jina la kidachi ambalo linamaanisha najisi(nimepunguza ukali wa neno)kaburi..
 
Na kuna jamaa mwingine maarufu sana pale njiapanda ya kwenda Ngudu sehemu za Mabuki anajiita Ng`wani Ifuzi Madako,,hilo la kwanza anamaanisha mwana ushuzi na la pili nadhani umelielewa...
 
Maeneo ya Tandika kuna mzee anaitwa mkun**kuwaka..

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Frankly writing ... Just emergine .... Please would you be able to handle this .. Samahani .... My strange name i ever see is ninya bunga.. Au kwa kugeuza maneno ni nyani ngabu. Nakupenda na mapoints zako ila jina.... Hakuna ziada mkuu.
 
Muheshimiwa, Ndugu, Mbunge wa Ilala, Alhaji, Captain, Marehemu Ukiwaona Ramadhani Mwinyishehe Ditopile Mzuzuri
 
Back
Top Bottom