Fundisho kwa wenye akili kama hizi

Criterion

JF-Expert Member
Jan 8, 2008
11,798
11,881
Wazazi waleeni watoto wenu katika njia sahihi.

Miradhi bora kwa mtoto ni maarifa mema na si hulka za kijinga na angamizi.



Mama msaidie huyo binti. Kuolewa siyo mtaji wa maisha. Angalua siyo leo. Shule ilimshinda pengine ajili ya umal.aya ma kichwni haizmo. Badala ya kumwongoza namna gani atengeneze maisha, unazidi kumsindikiza katika mambo ya kijinga. Aoelewe na mzungu waafrika hawafai. yeye anafaa?

Kinachon mponza mwanao ni tabia zake chafu, upumbvu, unafiki na uwongo.

Mtu anayesema hana imani katika ndoa, hajui thamani ya ndoa na ndiyo sababu hawezi kuheshimu mahusiano ya watu kuishi kama mke n amme. Na kwa sababu hiyo kwenda kujitumbukiza kwa Dai wakati anajua anafamilia yake tayari na kisha kusababisha mitafaruku na hadi kuzaa mtoto na mtu mwenye failia yake, bila shaka ni uthibitisho wa matamshi yake hapo juu.

Shida ya huyu inaonekana ni kutafuta vyanzo vya mapato baada ya kujua hana uwezo wa kujisimamia wala kujiendeleza.

Mjukuu wangu huyu na genge la mashangingi wenzake kiila siku anajisifia "Mimi kijana, mimi.mzuri", Ni kweli ni kijana kwa umri, lakini ameshajiangalia usoni anaonekanaje akikaa na hao anaowaona ni wazee? Hivi nani alimshauri kwamba yeye hakui? Ujana bila akili na maarifa vinakusaidia nini? Hivi huyu anaju akweli maana na faida ya ujana? Bila shaka anazeeka haraka na mwisho wa iksu hataona nni alikfanya katika ujana wake zaidi ya kuzaa watoto (aombe mungu wawe na akili) akidhani ni vitega uchumi.


Uzuri wa mtu yeyote uko katika macho ya wakutazamaji na si yeye kujisifu. Huyu binti anaposema yeye ni mzuri, ameliangalia hilo domo lake lakini? Hayo mashavu kama majipu nundu ameyaona lakini? Mnaomshauri mnamwambia vile uso unavyowahi kumshuka? Akifika miaka 35 atakuwa na hali gani?

Mwambieni awe na focus katika maisha. Anavyojivunia havidumu.

Ninatafakari sana anavyovuruga familia ya Dai na bila haya anasema "Yeye alimjua Dai zamani na hajaingilia uhusiano wa Zari na Dai. Hivi huu ni ujinga wa kudhaniwatu wote niwajinga ama ni nini?

Alikuwa naye kwa miaka 9, halafu tena ana mtoto sijui wa miaka 5 au around hapo na Maj. Hivi anataka kusema alikuwa na mitala ya wanaume?

Huyu binti kama mama yake na wapambe wake hawatamfundisha akaendelea na upumbvu huu, bila shaka jina lake aliloitwa litakuwa lake maisha yote. Dai alisemwita "Shetani, alimwingilia", na Juzi dada wa Dai tena kasema "Shetani huingia", akim refer yeye.

Na ajue mtindo wa kubeba mimba ili kumbana mwanaume awe na wewe ulishapitwa na wakati. Na huyu binti hatafuti kuolewa bali anatafuta mwamamme mwenye pesa ili amhudumie. Hakuna furaha katika mahusiano bila mapenzi.

Pamoja na matatizo ya Dai ambayo nayo ni makubwa sana tu, lakini huyu binti hafaia kuwa mke wa mtu yeyote. Matusi aliyoyasema hapa, yamehitimisha kwamba yeye ni mtu wa aina gani na wanaomsapoti ni watu wa aina gani. Wale wenye akili kaeni mbali na huyu binti pamoja na timu yake kwa sababu ni mharibifu tu. Kazi yake ni uharibifu.

Kama kuna mtu anayemheshimu karibu yake, naomba kama mnamtakia mema, acheni kumshabikia katika uovu kwa kkuwa mnampoteza.



Kwa mambo haya, ndiyo sababu wanasema huyu binti siyo mtu.

Anasingizia kuzaa na dai ndiyo sababu ya kumganda Dai. Eti waheshimu Damu ya Dai. Kuheshimu damu ya Dai ndio kukubaliana n?a ufusika wake? Kwa nini analazimisha mahusiano na dai kwa kisingizio cha uzazi wenza hata anapokataliwa? Kwa nini kama ni damu asimgande na kulazimisha na maj? Siyo kwamba kamwona Dai mnyenyekevu ndiyo sababu anaona akimlazimisha atakuwa na kitega uchumi cha muda mrefu? Sio kwamba ameona hakuna mwanamme anaweza kuwa naye na hivo kaona amng'ang'anie Dai kwa kisingizio cha mtoo?

. Eli analinda damu, kulinda damu ndiyo kuendeleza mahusiano ya ngono kiasi cha kulazimisha hata unapokataliwa? Damu gani hiyo analinda? Kwa nini halindi damu ya binti yake?

Huyu binti kujilazimisha kwenye mahusiano kwa kisingizio cha mtoto ndiko kunamdhalilisha. Eti Dai mzazi wa mwenzako, mzazi mwenzako ndiyo kulaimizha mahusi ano wakati hutakiwi? Kumlinda mtoto eti akikua asiyaone haya, unamaanisha asione kama ulikuwa unamtumia kamake uchumi?

Asione kama ulikuwa hutakiwi na kwamba ulijirahisi na kujilazimisha kwa baba yake? Asione kipi wakati wewe ndiye unamwaga matusi kama haya ambayo mtun yeyote mwenye akili timamu hawezi yazungumza? Huna sifa ya kulea wala kulinda mtoto kwa kuwa wewe mwenyewe hujielwi, akili zako pungufu na huna maadili.

No wonder Dai ameshaona anapotea kwa kuwa huna uwezo wa kulea familia kaitka maadili sahihi kwa kuwa na wewe huna lolote kwa dai zaidi ya ngono. Mke ni zaidi ya ngono mama.

Umekuwa ukimwinga Zari eti hata kuongea kana kwamba hujui kiswahili. Mswahili wa tabia halafu unajifanya hujui kiswahili. Wewe hufai hata kuwa "house girl wa nyumba". Kama ulivyojisema hapo juu. Hujui hata mke ni nani na unataka leo uw mwalimu wa ndoa.

Bila kkujitambua na kuacha ta bia za kipumbavu, ushambenga, ushamba, ulimbukeni, ushari wa kich.wi, utaishia kuwa kah.aba. sang.oma. Unaona a lakini matokeo yuch.aiwi, unapo expire?
Chunga sana wewe binti usikae kuharibu watoto wa watu kwa upumbaveu wako.

Huyu hapa kamaliza yote. Hufai wewe mtoto. TAfuta njia nyingine ya kuendesha maisha. Kulazimisha wanaume wenye pesa wakuhifadhi kwa gharama ya watoto, hakukusaidii.
 
Njoo tu tunashona wenyewe hatubahatishi

mimi nitakuja. Ila isiwe nguo zinashonwa kwingine mnasingizia zenu

Umpende,usimpende,hilo juu yako...hakujui humjui...
Wajipa presha ya bure..humpendi mtu kutwaa kumfatilia kila kona nakuonea huruma tu ukizeeka usije kua mwanga bure kwa chuki!!!

Hamisaaaa yuleeeeeeeeeeeeee! Anashine tu!we beba chuki zako wenzio wanafanya kama changamoto

Home wrecker. Sikapendi haka kasichana.
 
Njoo tu tunashona wenyewe hatubahatishi



Umpende,usimpende,hilo juu yako...hakujui humjui...
Wajipa presha ya bure..humpendi mtu kutwaa kumfatilia kila kona nakuonea huruma tu ukizeeka usije kua mwanga bure kwa chuki!!!

Hamisaaaa yuleeeeeeeeeeeeee! Anashine tu!we beba chuki zako wenzio wanafanya kama changamoto
tutakua tunapaa wote mbona na wewe kuna watu unawachukia. Naona utakua mwalimu wangu wa uchawi. Kachukiwa Yesu sembuse tununu.

Simpendi ndio na sijamfatilia popote. Habari zinakuja zenyewe utasemaje namfatilia. Meza mate kwanza
 
tutakua tunapaa wote mbona na wewe kuna watu unawachukia. Naona utakua mwalimu wangu wa uchawi. Kachukiwa Yesu sembuse tununu.
mi sina muda wa kumchukia mtu dyadyaaa!!

Eti sikapendi zaa wa kwako shosti huyu wa mama mobeto!!!

Mwalimu wako hao watu wazima wenzio wenye chuki zisizoisha kila siku mkilala hamisa,mkinya hamisa,,kutwa kucha hamfanyi yenu!

Unamfatilia haswaa ndo maana kila thread yenye mtazamk hasi kwake waifatilia,haswaa na akipondwa wakomenti

Jamaniii ni majaaaliwa tu ya Allah(s.w)hamisa kuzaaa na mondi hata wewe ukitaka kazae bwanaa

Halafu daimond hajaoa ujue alikua anazini tu na Zari na ktkt Uislam kama hujui nikujuze Dada,mwanaume anaruhusiwa kuoa wake wanne...Daimond mmoja wapo na mbaya zaidi daimond hana hata mke mmoja!!

Mate nshameza shostisijui shosti yangu ushaosha Mrs Vanny!

Simpendi ndio na sijamfatilia popote. Habari zinakuja zenyewe utasemaje namfatilia. Meza mate kwanza
 
Heheee sawa mama mobeto nimekusikia. Ila kwa ufupi kweli sikapendi hako kamwanao kama unaweza pasuka, pasuka tu.
Halafu mwenzio mama wa nyumban saiv msafii nipo na simu yangu na bando liko full.
 
Heheee sawa mama mobeto nimekusikia. Ila kwa ufupi kweli sikapendi hako kamwanao kama unaweza pasuka, pasuka tu.
Halafu mwenzio mama wa nyumban saiv msafii nipo na simu yangu na bando liko full.
Hapana sikuchukii,wala siwezi kupasuka..always something that can't kill u makes u stronger...

Changamoto kwetu tunaigeuza kua fursa...

Endeleza chuki shoga yangu tena tunahitaji haters kama millioni hivi!
Wamechukiwa mitume na manabii!!seuse sie!
Ukiona kila mtu anakupenda hauna hater hata mmoja ujue una shida!!

Haya shosti badilisha pampaz ya mtoto!
 
Siri anaijua daimond ndio maana hamtakiii,kwenye picha binti ,live mzee nani miaka 28 aendelew kutomba k ya kizeee . Alijizalisha haraka akadhani ataolewa wapiiiii daimond usirudii nyumaaa
Screenshot_2018-06-05-09-48-22.jpg
 
Hapana sikuchukii,wala siwezi kupasuka..always something that can't kill u makes u stronger...

Changamoto kwetu tunaigeuza kua fursa...

Endeleza chuki shoga yangu tena tunahitaji haters kama millioni hivi!
Wamechukiwa mitume na manabii!!seuse sie!
Ukiona kila mtu anakupenda hauna hater hata mmoja ujue una shida!!

Haya shosti badilisha pampaz ya mtoto!
Sasa kumbe unajua kama mitume walichukiwa kwanini ushangae mimi kumchukia mwanao.

Mwanangu havai diaper anatumia nepi na hajasusu wala kupupu
 
Karibu mobetostyles ushonewe nguo za harusi, kitchen party,send off,n.k

Pia tunauza perfume,viatu,mikoba na vitu vyote vya urembo


Hamisa anashona wapi wewe, yeye kazi yake ni kuazima tu nguo za wenzake huku akivaa bila hata kuoga na kuacha harufu ya mkojo kwenye nguo. Anashindwa hata kutumia perfume mnazoziuza anawauzia wengine, this is funny.
 
Sasa kumbe unajua kama mitume walichukiwa kwanini ushangae mimi kumchukia mwanao.

Mwanangu havai diaper anatumia nepi na hajasusu wala kupupu
Ndo maana nakuambia endeleza chuki shosti ili ukizeeka uje kua mwanga!
 
Siri anaijua daimond ndio maana hamtakiii,kwenye picha binti ,live mzee nani miaka 28 aendelew kutomba k ya kizeee . Alijizalisha haraka akadhani ataolewa wapiiiii daimond usirudii nyumaaaView attachment 794478
Wanakomaa amuoe kizee kile hivi daimond angekua ndugu yao wangekubali!
Ukitaka kujua wabongo wanaafiki wanamcheka uwoya kuolewa na dogo janja huku wanataka mondi amuoe zari!kaaahh!
 
Hamisa anashona wapi wewe, yeye kazi yake ni kuazima tu nguo za wenzake huku akivaa bila hata kuoga na kuacha harufu ya mkojo kwenye nguo. Anashindwa hata kutumia perfume mnazoziuza anawauzia wengine, this is funny.

kumbe mko wengiii hahaaaahaaa!

Hatariiiiii!!loooh!kumbeeeee!
 
Wanakomaa amuoe kizee kile hivi daimond angekua ndugu yao wangekubali!
Ukitaka kujua wabongo wanaafiki wanamcheka uwoya kuolewa na dogo janja huku wanataka mondi amuoe zari!kaaahh!
kuna swali umeliuliza hapo ila sijui kama ataweza kukujibu asilani
hebu nitajie ilo swali nijue kama kweli tupo pamoja
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom