Fumbo mfumbie mjinga bana.....

Msanii

Platinum Member
Jul 4, 2007
22,606
29,754
Wakati anawindwa, tayari wawindaji walishaandaa mbadala wake....
Aliponasa kilingeni basi mwelekeo wa hoja na pambio ulibadilika kutoka FREETHINKING kuwa FULL PRAISES. Ingizo jipya ameonekana anafiti kushika nafasi ya fikrahuru yule ambaye eviction yake imekamilika kamilifu.

Jinsi wanavyoopareti sivyo wengi wanavyodhania. jifunze kwa chatu anayewinda. Huwa na subira windo lijae kwenye 18 zake kisha bila huruma hulizingira na kulinyofoa pumzi kibabe na kimya kimya huku shughuli za msituni zikiendelea kana kwamba hakuna kilichotokea....

Ushamba unaweza kuwa deal pia.

coded
 
Back
Top Bottom