fumanizi

Kimbweka

JF-Expert Member
Jul 16, 2009
8,597
1,683
Hapo vp utafanyaje wakulu

fumanizi.jpg
 
Mbona jamaa anaonekana hakuwahi kufanya lolote? ....anyway inabidi kuwa mpole tu na kutafuta upenyo.......then sepa!
 
_ Alienda kumpa pole staff mwenzie pole alikuwa anaumwa, then mume akarudi gafla akahisi mkewe anajidai anaumwa ili agawe ngono

Ohoo hii balaa tena na siku hizi ma pisto yavyozagaa mtaani mmmmmmh
 
huyo jamaa mbona hata nguo hajavua maana fumanizi linanoga pale unakuta watu wamelowa jasho na kondom inaning'inia kwenye dhakari
 
Mkuu mbona huyo mnyama mbona katia pozi haonyeshi dalili za kufumwa? Nilitegemea hapo uso ungebadilika, inawezekana ni igizo hilo ila kama ni mimi ndiyo demu kanifanyia issue kama hizo nikampata live, mimi ningegeuka na kuendelea na issue za maana. Issue kama hizo hazinisumbui kabisa, ataaamua mwenyewe arudi au aelekee anapoona ndiyo muafaka.
 
Back
Top Bottom