Full Text: Ripoti ya PAC Bungeni kuhusu Tegeta Escrow Account

Tamko la kurudisha hela liambatane na tamko la kustaafu uaskofu, kama adhabu aliyopewa na kanisa kwa kuondolewa makao makuu ya kanisa kwa mh pengo ns kukaa chini ya uangalizi WA askofu WA jimbo la bukoba, kama haikuwa funzo naomba kiongozi wangu ustaafu utalikwaza kanisa!!
 
Namshauri,ninaombea Zitto akili makosa aombe samahani na tumsamehe arudi kundini ili tuendeleze mapambano ya kumtimua mkoloni mweusi chama cha masilahi!
 
Katika ma pm duniani wajinga basi Pinda ni wa kwanza. Utapigaje deal namna hiyo? Sehemu nyeti? Pinda hawezi uraisi hata huo waiziri mkuu aliukwaa tu. Wamesahahu kisema na Membe alipokea hizo hela.
 
Kama report ya PAC inavyoonyesha kiwa kuna watu wamechukuwa pesa kuyoka hii bank kwa cash na kiwango cha mabilioni, je ni nani had?je ni kati ya hawa?
1. Pinda
2. Maswi
3. Werema
4. Muhongo

Uchunguzi ufanyike ijulikane pesa hizi za malipo ya kihalifu PAP wamepewa akina nani na kwa nini BOT haikuwa na taarifa ya malipo haya
 
Mkuu majina yalioyoonekana yametajwa yote hata Saliboko katajwa, Kimiti katajwa, Kilaini katajwa, chenge katajwa, mama wa TRA katajwa, prof. Tibaijuka katajwa.

Mkuu zile list tulikuwa tunaziona mtaani ni confidential?

Maana niliamini uhalali wake ungelithibitishwa na bunge walau kwa wabunge kupewa, unless uniambie ndani ya ripoti hizo papers za majina zipo....
 
Wezi wote ni majasiri sana. Yaani werema , mhogo na waziri mkuu walivyokuwa wanatetea unaweza kudhani watakatifu kama hao duniani hakuna. Nenda zenu enyi wezi kwa maana imeandikwa kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe. Zilaumuni roho zenu za uroho ambazo mmekuwa nazo. Pamoja na kupewa mishahara mikubwa na marupurupu kibao.

Ama kweli tumbo haliwezi kujaa na kuridhika na inachopata. Kinachoweza kuridhisha tumbo ni mchanga kaburini

May you all rot in hell. Watu wangapi wamekufa kwa sababu yenu?
 
Wajanja walijibebea bilioni zao kwenye magunia wakasepa.....

Nani anataka kuacha ushahidi???

Labda wakaombe record ya camera za benki



Nimesikia na kuona Majina mengi ya waliokula mlungula, lkn Sijaona Waziri Muhongo ameingiziwa ngapi ningependa kujua, kwa maana huyu ndio Ring leader mwenyewe akifwatiwa na Kikwete!

 
Back
Top Bottom