Full Text: Ripoti ya PAC Bungeni kuhusu Tegeta Escrow Account

hii ni aibu kubwa sana kwa kanisa ,kila jumapili tumaimba toa ndugu toa ndugu ulichonacho wewe na tunatoa kumbe wakitoka wanakula mlungula wa escrow .Kilaini umelitia aibu sana kanisa

Hii ni aibu kubwa sana
 
hii ni aibu kubwa sana kwa kanisa ,kila jumapili tumaimba toa ndugu toa ndugu ulichonacho wewe na tunatoa kumbe wakitoka wanakula mlungula wa escrow .Kilaini umelitia aibu sana kanisa

Hata me naona aibu kwelikweli, duh!
 
Fedha tamu kijana....

Askofu Zangu Kilaini Na Nzigiwa Asanteni Sana Sitatoa Sadaka Tena Tena Na Wote Wawili From This Time Naenda Kuwa'unfriend Kule Fb. Very Sad N Disappointed My Faith Has Shaken.
 
"Aidha, Kamati inalikumbusha
Bunge lako tukufu pendekezo
muhimu lililotolewa na Kamati
Teule ya Mheshimiwa Dkt.
Harrison Mwakyembe kuhusu
sakata la maarufu la Richmond" ...Lowasa arudiwe?
 
Hayawi hayawi sasa yamekua ..
mnaomtakia mabaya Mh. Pinda a.k.a mtoto wa mkulima sasa mmeumbuka

Pinda msafiii .. hajakomba hata Tsh ya Escrow .

Movement ya Mtoto wa mkulima kuelekea Uchaguzi mkuu , bado upo pale pale .

We better talk with evidence .
 
Long Live ZZK, long live Filikunjombe, long live PAC, long live wazalendo!!!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Askofu Zangu Kilaini Na Nzigiwa Asanteni Sana Sitatoa Sadaka Tena Tena Na Wote Wawili From This Time Naenda Kuwa'unfriend Kule Fb. Very Sad N Disappointed My Faith Has Shaken.

Ndugu, toa sadaka yako kwa Mungu, sio kwa Mwanadamu...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom