FULL TEXT: Hotuba ya Lema bungeni

Big up lema unatisha mkuuuuuuuuuu, chadema huu ndio mmfano hakuna kupindisha wala kuuma maneno inakubalika unatisha lema wamezidi kuua.
 
Kaka lema hizo ndizo politics ambazo mimi nazipenda neno kwa neno bila kuficha
tahnk you
 
Hongera CDM. Angalienei suala la arusha (umeya) kuna mkono wa nani pale? Tuyamalize tuanza mapya, Lema pls play your part, tumechoka sasa. Moja ya sifa za chama bora ni kuwa na uwezo wa kutatua matatizo kwa wakati.
<br />
<br />
 
Mungu ibariki tanzania..wabariki watanzania na pia uwabariki na kuwapa nguvu viongozi wetu walio wachache wanaotetea maslahi ya watanzania, ameni.
 
Lema hana akili ya kuandaa hotuba anachojua ni vurugu.
Mwenyekiti wenu wa magamba mbona kila siku anaandikiwa hotuba lakini haziwi na mvuto hata kidogo? Anayoibuni mwenyewe utaijua tu, kama vile ya "kujigeuza mawingu akanyeeshe mtera"!!!
 
Asante Lukuvi!!! Maana kwa umbumbumbu wako utasababisha watu watafute ulikuwa unapinga nini, hapo ndo watakutana na nondo hizi. Yaani ccm wanazidi kujipeleka wenyewe shimoni! Asanteni wapinzani wote wa ukweli mlioko bungeni.
 
Nipo hapa Arusha mjini vijana wamekusanyika kwenye vikundi vikundi wakijadili hotuba ya Mhe. G. Lema aliyoitoa leo bungeni. Wengi wanashauriana kuandaa maandamano kumpokea mbunge wao mara baada ya bunge kumalizika, sababu wanazotoa ni kwamba kaonyesha ujasiri kwa kuiambia serikali bila woga hali halisi ya maisha ya vijana na wananchi kwa ujumla hasa suala la polisi kuwabambikia kesi na mauaji ya raia wasio na hatia. Wanasema hawajashtushwa na Lema kutolewa nje maana wanajua kazi ya kuwasemea waliyomtuma siyo rahisi kama wengine wanavyofikiri. Nauliza ikiwa Chadema Arusha iko tayari kuwaunga mkono vijana hawa, kwangu naona ni suala la heri wanaJF mna mawazo gani.

nikweli tutampokea mbunge wetu kuanzia kikatiti mpaka town kwa maandamano makubwa ambayo hayajawahi kutokea ila tutaenda moja kwa moja mpaka manispa kushinikiza meya na naibu meya wajiuzulu yatakuwa ni maandamano yasiyo na kikomo. kila mwanaarusha tutamuomba *kushiriki siku hiyo. tutatangaza kwakutumia msg kwani namba zote za wakazi waarusha tunazo so msg itampata kila mwanaarusha. LEMA ndiyo mbunge wetu na ndiye mwokozi wetu.
 
Sio arusha tuu hata mwanza hali ilikua mbaya wa2 walipanwda jazba afta upuuzi alouongea lukuvi unajua ccm wanadhani eti bdo watz wanawaamini,,,,ccm kwiiissha
 
Mi nafikiri haina maana ya kujikusanya na kwenda kumpokea.......labda tu kwasbabu hatuna kazi za kufanya.........hayo ni mambo anayotakiwa kuyasema mara kwa mara na kuikosoa serikali na kuwakosowa wenzake pale wanapokosea ................NO BIG DEAL
&lt;br /&gt;<br />asante baba
&lt;br /&gt;
 
Hivi ile hotuba nani kaiandaa?
Jamani hamuamini kuwa kaiandaa yeye, hivyo ndivyo inavyotakiwa kuwa hotuba ya upinzani si hotuba za kusifia na kupaka mafuta serikari ukiona serikali inalalamika jua imeguswa penyewe. Natamani sana kuwa mwana Arusha kwa sababu wakati wa uchaguzi walijua nini wanatakiwa kufanya hongera sana Lema na hasa wana Arusha wote.
 
Tuijenge nchi,tuangalie nini kitafanyika baada ya hiyo "hotuba kali" kutolewa,...
kuandamana kwa kila kitu ni ujinga sasa!!!!

Hamna tofauti na msiwashangae wale wanao andamana "kupongeza hotuba nzuri ya JK"!!!!

This is wastage of the time we don't have
 
Lema the great. Machungu yamenijaa moyoni kumbe ndo wanachi na polisi wanafanyiwa hivyo. one day God will say yes.
 
siku wakipata kazi za kufanya wataacha kudanganywa na kina form two - lema na madisko joka mbowe!
 
Back
Top Bottom