Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,085
- 144,519
Hii serikali imefeli kuliko maelezo!!
Vp moyo wako unastuka ukiskia hilo jina ama?? Hv jf mnawatoa wapi vilaza kama hawa...nenda instagram huku si kwa wavivu wakufikiri.Kuna mambo ni ya msingi kwenye hii hotuba
Ila nadhani bado mbowe analenga sana kumdhibiti Makonda kwa vile naye alitajwa kama muhusika wa ngada
Nimeona mbowe kamtaja makonda mara tatu akijitahidi kutengeneza njia ya kumshawishi mkuu
Ndio hivyo ndugu. Tena waziri wa fedha ni profesa"Aidha, Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni iliita bajeti inayomaliza muda wake kuwa ni hewa kwa sababu iliainisha vyanzo hewa vya mapato. Kwa mfano, kuingiza malipo ya kiinua mgongo cha wabunge ambacho kinatakiwa kulipwa mwaka 2020 kwa mujibu wa sheria na kukifanya kuwa chanzo cha mapato katika mwaka huu wa fedha 2016/17, hakuna jina lingine la kukiita chanzo hicho cha mapato isipokuwa ni ‘chanzo hewa cha mapato’ kwa kuwa fedha hiyo itapatika mwaka 2020 wakati wabunge watakapolipwa kiinua mgongo hicho"
Serious kweli katika jambo la muhimu sana kama bajeti kweli mnaingiza usanii jamani..? Kuna wakati ninapata shida sana kuamini kweli we are doomed to that extent..
Huna akiliHotuba nzuri lakini nina hofu kama wenyewe wataisoma labda ingewasilishwa kwa njia ya 'shilawadu' au whatsap/insta ndo nauhakika ingewafikia
Kilaza huyoWacha tabia za kimama...utareply vp lihotuba lote hilo...unatuchosha ku scroll na visim vyetu alaah
Acha ubashite mkuu.una quote uzi mrefu namna hii ili?kwanu ukitoa maoni bila kuquote ayataonekana?Hotuba nzuri lakini nina hofu kama wenyewe wataisoma labda ingewasilishwa kwa njia ya 'shilawadu' au whatsap/insta ndo nauhakika ingewafikia
mku aibu yaan bajet 2016/17 ndo chanzo chake 2020 ndo kije kkatwe magu bwege kwel"Aidha, Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni iliita bajeti inayomaliza muda wake kuwa ni hewa kwa sababu iliainisha vyanzo hewa vya mapato. Kwa mfano, kuingiza malipo ya kiinua mgongo cha wabunge ambacho kinatakiwa kulipwa mwaka 2020 kwa mujibu wa sheria na kukifanya kuwa chanzo cha mapato katika mwaka huu wa fedha 2016/17, hakuna jina lingine la kukiita chanzo hicho cha mapato isipokuwa ni ‘chanzo hewa cha mapato’ kwa kuwa fedha hiyo itapatika mwaka 2020 wakati wabunge watakapolipwa kiinua mgongo hicho"
Serious kweli katika jambo la muhimu sana kama bajeti kweli mnaingiza usanii jamani..? Kuna wakati ninapata shida sana kuamini kweli we are doomed to that extent..
mku aibu yaan bajet 2016/17 ndo chanzo chake 2020 ndo kije kkatwe magu bwege kwel"Aidha, Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni iliita bajeti inayomaliza muda wake kuwa ni hewa kwa sababu iliainisha vyanzo hewa vya mapato. Kwa mfano, kuingiza malipo ya kiinua mgongo cha wabunge ambacho kinatakiwa kulipwa mwaka 2020 kwa mujibu wa sheria na kukifanya kuwa chanzo cha mapato katika mwaka huu wa fedha 2016/17, hakuna jina lingine la kukiita chanzo hicho cha mapato isipokuwa ni ‘chanzo hewa cha mapato’ kwa kuwa fedha hiyo itapatika mwaka 2020 wakati wabunge watakapolipwa kiinua mgongo hicho"
Serious kweli katika jambo la muhimu sana kama bajeti kweli mnaingiza usanii jamani..? Kuna wakati ninapata shida sana kuamini kweli we are doomed to that extent..
Acha ku-copy Uzi ndugu.....!unaleta usumbufu kwa wasomaji.......!Hotuba nzuri lakini nina hofu kama wenyewe wataisoma labda ingewasilishwa kwa njia ya 'shilawadu' au whatsap/insta ndo nauhakika ingewafikia
From KolomijeWacha tabia za kimama...utareply vp lihotuba lote hilo...unatuchosha ku scroll na visim vyetu alaah
Acha ujinga una quote post ili iweje? usipo quote utaonekana hujachangia?Hotuba nzuri lakini nina hofu kama wenyewe wataisoma labda ingewasilishwa kwa njia ya 'shilawadu' au whatsap/insta ndo nauhakika ingewafikia
Mbona wewe umequote?Acha ujinga una quote post ili iweje? usipo quote utaonekana hujachangia?