Mtana wa Batemi
Member
- Sep 4, 2013
- 19
- 20
Karibu na hongera kwa kuwa mfugaji wa kuku.
Karibu Sinade poultry farm tuko Morogoro. Tunajighulisha na ufugaji hasa wa kuku aina ya Kuroiler. Kwa mahitaji yako ya Kuroiler karibu uwasiliane na sisi tutakutumia huko uliko.
Kwa ufupi huduma zetu zinazingatia yafuatayo
1. Ubora.
Kuroiler tulionao, ni bora kwa kuwa tunatotolesha wenyewe kwenye hatchery zetu ambazo zinazingatia viwango vya usafi wa hatchery. Tuna parent stock na vifaranga tunaouza ni first filial generation (F1). Hivyo unapata vifaranga walio bora.
Kwa kuroiler tunaowauza, tegemea kuanza kuuza baada ya miezi 3 (hii ni halisi hususani majogoo) na wanakuwa uzito wa 3. ...Kg, na baada ya miezi 4.5 lazima waanze kutaga mayai. Majogoo ya miezi 7 hadi mwaka mmoja yanauzito wa kuanzia kilo 6 nakuendelea
2. Magonjwa.
Tunafuata taratibu zote za ufugaji bora, ikiwemo utoaji na uchanjaji wa chanjo sahihi na kwa wakati. Kuna magonjwa mengine ambayo asili yake ni kukosa usafi, tunamshauri ufugaji namna na kuepukana na hayo. Unaweza pata vifaranga bora halafu vikapata maambukizo baada ya kuwa navyo. Mfano, Coccidiosis, typhoid, salmonellosis na mengine.
3. Vifaranga wa kuuza.
Tunauza vifaranga wa umri tofauri kulingana na mahitaji ya mfugaji, na uzoefu wake katika tasnia ya ufugaji. Tunauza vifaranga wa siku moja (Tsh. 3,000) na tunaunauza vifaranga wa mwezi mmoja Tsh 6,000/=. Hao wa mwezi mmoja wanakuwa wamepata chanjo 4 za magonjwa hatarishi na yasiyo na tiba. Hivyo, wateja wetu wengi ambao ni wakulima na hawajawahi kufuga tunawashauri wachukue wa mwezi mmoja na ushauri bure. Wafugaji wazoefu ni uamuzi wao. Vyote hivi unavipata kwa order.
4. Kuku wakubwa
Kama unahitaji pia kuku kwa ajili ya kuuza kitoweo wanapatikana kwa order. Na kwa sababu ya changamoto za usafiri, tunashauri, mnunuzi awapate wakiwa wamechinjwa na kupakiwa vizuri. Kama unahitaji wakiwa hai unarkaribishwa kuja kuchukua mwenyewe. Kwa kuku wakubwa bei zetu ni mapatano kutegemeana na ukubwa/uzito wa kuku mwenyewe.
5. Mawasiliano
Unaweza kuwasiliana na sisi kwa namba 0673343601 au sinadefarm@gmail.com au karibu Kilombero Morogoro. kwa wanaohitaji picha nitapost baadae.