Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,798
- 218,447
Brendan Rogers anatajwa kuzaliwa mwaka 1973 , Northen Ireland , hivi sasa anatajwa kuwa na umri wa miaka 50 .
Taarifa zinadokeza kwamba kocha huyu alicheza soka kwa muda mfupi sana , akisajiliwa Reading ya Uingereza akiwa na miaka 18 , akicheza nafasi ya beki , lakini akiwa na umri wa miaka 20 akastaafu soka kutokana na matatizo ya goti yaliyooneka kama ugonjwa wa kurithi (Genetic knee condition)
Alianzia shughuli ya Ukocha katika timu ya Chelsea akihudumu kama kocha wa reserves (wachezaji wa akiba)
MANAGERIAL CAREER
2006 -2008 Chelsea ( Reserves )
2008 - 2009 Watford
2009 Reading
2010 - 2012 Swansea
2012 - 2015 Liverpool
2016 - 2019 Celtic
2019 - onward Leicester City
Siyo mnajiokotea tu makocha wasiofahamika walikotoka wala uzoefu wao na kuwapa timu huku mkitarajia Ubingwa .
Maisha hayawezi kuwa Rahisi hivyo yaani .