Fuatilia hapa LIVE route - radar ya ndege SPAR19 iliyombeba Speaker Nancy akielekea Taiwan

Then kama china hawata fanya actions zozote mbaka huyu mama akiondoka bila shaka Taiwan watapata kiburi mara mia zaidi.

Yani mbaka nashindwa kuelewa china wanavyo sema Taiwan nisehemu ya nchiyao alafu mtu mgeni anaingia kwenye nchiyako bila ruhusa yako tena kwa lazima!!.

It's more than pc of sht!.
Mkuu, hii mipaka ni maalum kwa watu fulani fulani kama vile we ukiwa unasafiri utahitaji ruksa kuvuka. We hujiulizi Malkia Elizabeth hamiliki passport ila anaingia nchi yoyote bila shida?

Wana msemo wao wanasema, "all people are equal but some people are more equal than others"
 
Bosi leo US service men were out on Alert of war. Na wakaambiwa wakishambuliwa washambulie. Unahisi Congress ilikutana. Nooooo...kuna wakati mwingine rais anapower kulingana na mazingira na wakati.
Uko sahihi kabisa kwa kesi ya dharura, ila issue ya 'Kiduku' haina udharura wowote ndio maana nikasema kumvamia yule itahitaji idhini ya congress, unless 'Kiduku' aishambulie US basi hapo hakutakuwa na namna lazima US arespond accordingly.
 
Tulikosea sana china kumuweka pamoja na Russia na USA china siyo superpower ni mwehu tu kwa dharau aliyofanyiwa leo atokuja kuisahau watu walikuwa wanamtegemea kumbe amna kitu afadhali ata ya mandonga alirusha japo ngumi lakin china ajarusha ata jiwe
Badala yake Mchina amegeuka kuwa mlinzi wa Nancy Pelosi usiku kucha analinda anga na mipaka ya bahari
 
Wavaa kaunda suti wamefungisha.

IMG_20220803_084001_930.jpg

Nalog off  Z
 
mkuu sisi warusi wa uku misugusugu atutokuelewa china kafanya pro nato uku wanatamba wengine tulikuwa atuwafahamu ni pro nato ila kwa aibu aliyotuletea china zimekuja ID mpya kibao wanashereeekea ukienda kwenye blogs za ulaya ndio kabisa wachina wanadhalilishwa uko twitter uko wanatamba western tu
Wachina wanajibu kuwa wao wako wengi kule Weibo kuliko Twitter. Kwahiyo kama wanataka ligi na wachina waende kule 😂😂😂. Uchina kafungisha sana.
Nalog off  Z
 
mkuu sisi warusi wa uku misugusugu atutokuelewa china kafanya pro nato uku wanatamba wengine tulikuwa atuwafahamu ni pro nato ila kwa aibu aliyotuletea china zimekuja ID mpya kibao wanashereeekea ukienda kwenye blogs za ulaya ndio kabisa wachina wanadhalilishwa uko twitter uko wanatamba western tu
Hahaha hahahaha hahahaha wale Mashoga wa Russia, China, North Korea na Iran wamejificha kwy maandaki yao uko Kibiti na kule Gamboshi
 
mkuu sisi warusi wa uku misugusugu atutokuelewa china kafanya pro nato uku wanatamba wengine tulikuwa atuwafahamu ni pro nato ila kwa aibu aliyotuletea china zimekuja ID mpya kibao wanashereeekea ukienda kwenye blogs za ulaya ndio kabisa wachina wanadhalilishwa uko twitter uko wanatamba western tu
Hahaha hahahaha hahahaha wale Mashoga wa Russia, China, North Korea na Iran wamejificha kwy maandaki yao uko Kibiti na kule Gamboshi
 
Tupe
Leo ndio leo msema kesho mchawi,

Zaidi ya watu laki tano wanaiouatilia roupe/safari ya Pelosi kuelekea Taiwan ambapo China imekemea vikalh hatua hiyo kwa kurusha ndege za kivita kuizunguka Taiwan huku U.S.A nao wakisogeza meli na manuari zao.

Ungana na maelfu ya watu kufuatilia kitakachojiri kwa kufuatilia safari kwa rada ya flightrader. Bofya link hapo chini

Live Flight Tracker - Real-Time Flight Tracker Map | Flightradar24View attachment 2312006
Tupe Updates mama ameshamaliza ziara yake huyo anasepa 😆😆😆😆😆
 
Hapa China ka win pakubwa sana kwenye international diplomacy. Wajinga wasiojua wanaangalia upade wa ubabe na primitive thinkig ya imperialists.

China ameonesha namna mkubwa anvyotakiwa ku behave ili kuweka dunia iwe salama. Nchi nyingi zitamwamini mchina kuliko marekani.

Vilevile kwa namna hiyo imeonesha ni namna gani marekani hawako sawa ndani. Hii ni dawa ya kutuliza maumivu kwa muda mchache na siyo dawa ya kutibu tatizo walilonalo ndani huko wamarekani.

Tatizo kubwa lililopo ndani ya marekani na Nacy Pelosi ni kwamba imepitishwa Policy inayoyataka makampuni ya Semiconductors ya marekani kufanya kazi locally. Hapo Intel anapata benefit kubwa.
Upande wa mme wake Nacy Pelosi anaangukia pua na kampuni yake ya NVIDIA ambayo ipo Taiwan. You get the point now. Na unaunganisha dots.

Inasemekana mme wake anauza/ameuza hisa za NVIDIA kwa hasara. Pelosi hana cha kupoteza ni mtu ambaye hana matumaini. Yaani tukose wote style. Anavuruga uhusiano kati ya China na USA kwamba China ndio suppliers wa Rare Earth Metal ambazo ndizo zinatengeneza Semiconductors Huku USA and Taiwan ndio watengenezaji wakubwa wa Semiconductors.

Matokeo yake ni yapi sasa. Mgogoro ukiwepo kati ya USA na China, Semiconductors ndani ya USA zitakuwa expensive makampuni ya USA yaliyopo nje yatapata benefit kutokana na cheap Rare Earth Metal zinazotoka China. Huku kampuni yake ya NVIDIA ikiweka ushindani kwenye makampuni ya INTEL nk.

Hii issue is not direct as you think.
Kwa ziara ya Pelosi anayefaidika ni mchina. Na huenda aliye organize safari hii ni mchina.

NGOJA TUONE.....
😄😄😄 yaani mchina a-organize safari ya spika wa marekani kwenda taiwan?? ... na CIA wasijue kitu??
you ar not serious mkuu
 
Back
Top Bottom