Fu*** up at your own risk

komedi

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
204
17
Jamani kuna watu wanadhani JF ni ya siasa tu kwa hiyo tunaoandika udaku na utani na mengineyo wakati mwingine wanatuambia tusiandike upupu humu.

Hapa silalamiki ila natoa angalizo kuwa tunaogopa kujibu kwa kuwa kuna namna tutajibu mtu anaweza kupata mshtuko. ''we could be that creative''

Tunaomba tuishie kuheshimiana, isipokuwa kama JF Senior Expert member atataka kuvalishwa nguo ya kioo, poa tu, tunazo kibao, na njia za kukuvalisha zipo nyingi, tukifungiwa tunafungua nyingine.
 
Back
Top Bottom