FT: Yanga SC 1-3 APR FC | Mapinduzi Cup | Aman Complex | 07/01/2024

Tumechakazwa kwakweli😭😭😭

Kocha hajui thamani timu!
 
GAMONDI mbinu Hakuna..
Anatembelea tu timu ya NABI..
Hana mbinu kwenye hii michuano ya Mapinduzi? Umeangalia wachezaji waliotumika kwenye hii michuano ya Mapinduzi ubora wao dhidi ya wa kikosi cha kwanza? Kuna timu ipi nyingine imeweza kufanya hivyo alivyofanya kocha kwa kupanga wachezaji wengi wasiotumika kikosini? Sio swala la mbinu bali ni swala la ubora wa wachezaji waliopo Yanga, ukiachana na wa first eleven wengine wana viwango vya kawaida sana. Mbona kwenye ligi kapoteza mechi moja pekee na klabu bingwa kapoteza mechi moja pekee?
 
Tujiulize Skudu out mapema kabisa.
Lomalisa Nje mapema.
Uchezaji ukawa wakawaida kabisa hakukuwa na juhudi yoyote ya Yanga kutaka kusawazisha.
Tunawajua.
Kwa kifupi walitaka iwe hivyo. Tumeelewa!!
Mkuu ni kweli Yanga wametaka kutoka...hata zile sub za kina Skudu ni ujanja ujanja tu.....hata wenye mashindano wameuma midomo maana Yanga wanawaperemba tu.......Inshort matokeo wamepanga Yanga
 
Nyie wapuuzi mmeona muiaibishe nchi?Yaani nimeaibika sana Leo,Yanga inabidi mfukuzwe nchini mpelekwe Kongo huko.
 
Miguel Gamond, tunaomba upange kikosi cha ushindi. Maana huo ushindi unatakiwa upatikane ndani ya dakika 90 za mchezo. Siku zote penati hazina mwenyewe.
😂 mkuu kwenye ushabiki wa mpira sijui akili yako huwa unaazima wapi?😀
 
Mkuu ni kweli Yanga wametaka kutoka...hata zile sub za kina Skudu ni ujanja ujanja tu.....hata wenye mashindano wameuma midomo maana Yanga wanawaperemba tu.......Inshort matokeo wamepanga Yanga
Watu wanaweza wasielewe kabisa.

Capacity ya Yanga kupambana inajulikana. Kifupi hakukuwa na juhudi zozote zile.
 
Back
Top Bottom